Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,611
- 171,537
Bora umejisemea ukweli, hii kitu sio kwako tu.... I guess hata mtoa mada akiwa hana anakua best husband, akiwa nazo anaenda kula raha zikiisha anarudisha pmb home sasa kwanini asisemewe hivo??!!!Nikiwa sina hela nakuwa mume bora sana chini ya jua!
Wanawake wa kichagga ndio walivyoKatika maisha ya ndoa niliwahi kushuhudia mke wangu wakati fulani anafurahia magumu ninayopitia kazini (demotion na suspension). Tukigombana kidogo tu anabwatuka na utafukuzwa hiyo kazi. Lakini nashukuru Mungu leo hii nafuu kubwa Sana (nilipata kazi nyingine na mshahara mkubwa Zaidi).
Wakati fulani nawaza akili za hawa wanawake wa kichaga siwaelewi). Anyway, pamoja na yote bado tupo pamoja kwa miaka 21 sasa, toka 8 Januari 2000.
La ajabu siku nimepata kazi nzuri zaidi ndo wa kwanza kujibaraguza eti Hongera!
FUNZO: Mume (hasa vijana) chase ur dream achana na maneno ya mke (akiwemo Mama Mkwe).
Tutafute pesa (full stop)Wanawake wa kichagga ndio walivyo
Acha uongo wewe. hakuna upendo bila pesa. Ujue wanawake hawafuati upendo kwa wanaume.Mkiwa na vihela huwa hamshikiki, anaona bora zipungue amani upendo na humbleness inarejea
Shida huondolewa na maneno ya kejeli?Sidhani kama kuna mwanamke mwenye akili timamu akasema maneno hayo kwa mumewe bila sababu za msingi. Lazima kulikua na shida mahali.
Sijaelewaga mke huwa anatakaga nn?Katika maisha ya ndoa niliwahi kushuhudia mke wangu wakati fulani anafurahia magumu ninayopitia kazini (demotion na suspension). Tukigombana kidogo tu anabwatuka na utafukuzwa hiyo kazi. Lakini nashukuru Mungu leo hii nafuu kubwa Sana (nilipata kazi nyingine na mshahara mkubwa Zaidi).
Wakati fulani nawaza akili za hawa wanawake wa kichaga siwaelewi). Anyway, pamoja na yote bado tupo pamoja kwa miaka 21 sasa, toka 8 Januari 2000.
La ajabu siku nimepata kazi nzuri zaidi ndo wa kwanza kujibaraguza eti Hongera!
FUNZO: Mume (hasa vijana) chase ur dream achana na maneno ya mke (akiwemo Mama Mkwe).
Hadi mke akambie hivyo lazima kuna sababu kubwa na wewe ndo chanzo. Na kumuacha huwezi maana unatambua kabisa yupo sahihi chanzo ni weweYaani angekua wangu saivi angekua kwao mwaka wa ishirini.
π πHapana chanzo ni yeye kutokunisikilizaHadi mke akambie hivyo lazima kuna sababu kubwa na wewe ndo chanzo. Na kumuacha huwezi maana unatambua kabisa yupo sahihi chanzo ni wewe
Hata mimi nimewaza hivyoItakua ukiwa na vihela unasumbua sana
Unaongea pumba huwezi kusikilizwaπ πHapana chanzo ni yeye kutokunisikiliza
Unaongea pumba huwezi kusikilizwa
πππ π π Haya umenishinda tabia
Chaaa monoko!Mleke tikyi mshikyi