Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,588
- 81,561
Braza chukua makidi kimbia mbio. Kisha wapime na hao watoto inawezekana hata sio wako
OK Sawa Asante sana kwa ushauri wakoBraza chukua makidi kimbia mbio. Kisha wapime na hao watoto inawezekana hata sio wako
MUME JE?Yani mke kaliwa nje, kaleta ngoma ndani.
Na mngekutwa nao wote. Angesema ww ndio umemuambukiza.
Ok.
Mke akichepuka nje dawa yake ni kumfukuza.
Basi.
Daaaah what a massive advice! Kunyanyapaliwa ni kitendo kibaya sana na kina shusha CD4 za muathirika kwa kasi kuliko ugonjwa wenyewe as anakuwa na psychological torture itakayokuwa inazidisha makali ya hizo virus.Mimi najiuliza, kama alianza kuumwa 2013 na akapima 2015 maana yake kipindi chote mlikuwa mnakutana kimwili.
Kwa nini hakukuambikiza??
Dunia ina mitihani sana, kupitia huu mkasa wako umenifanya nikumbuke mbali sana.
Mke aliugua sana akaenda kupima akakutwa ni mwathirika na alikuwa stage mbaya sana ilibidi apewe sijui dawa gani na vyakula gani ili CD4 ziongezeke aanzishiwe dawa za kupunguza makali ( lugha haijanyooka maana Mimi si mtaalamu wa afya).
Mke akaambiw aende na mtoto wake na mume wake wakapimwe. Mume na mtoto wote walikuwa ni wazima.
Acheni Mungu aitwe Mungu jamani.
Yule mke huu ni mwaka wake wa 15 anaishi na ana afya njema.
Mkuu mpende mke wako, pengine hakuzini, duniani kuna mengi. Ila kama hauna amani kushiriki naye tendo mwambie akuruhusu uoe mke mwingine.
Na hata angejua amepataje ingesaidia nn sana sanaKuitwaa mwanaume haimaanishi ni kuubeba uume mwilini mwakoo tu ni pamoja na maumuzi ya kiume broo na kunamuda lazima kwenye maisha useme inatatosha mkeo alikusaliti yn alikusaliti kweli kwelii wake-up broo angalia kufika hatua mpk unajua ana ukimwi na bado unalalanae ty tn kigezo eti na kondom asee kwenye mapenzi kakuteka kwelikwelii au kakulogaa na still mpaka
Leo etii hajakwambia kaupataje unaumiza kichwaaa tu weee sijuii ufanywajee kweli wa Africa ndio maana mzungu alitutawala yani Mungu amekusaidia yu haii mpaka sasa lakini wapi naona unataka kujiteketeza mwenyewe kwa huruma za kijinga eti mke wanguu mke wangu hakuwa wako peke yakoo broo yani uliolea watuuu na bado unakazana kujitia aibu mke wangu humu chukua maamuzi leo kwa ajili ya kesho yako
[emoji817][emoji817]Daaaah what a massive advice! Kunyanyapaliwa ni kitendo kibaya sana na kina shusha CD4 za muathirika kwa kasi kuliko ugonjwa wenyewe as anakuwa na psychological torture itakayokuwa inazidisha makali ya hizo virus.
Cha muhimu amkubali kwa hali yake na ampende alivyo, Mungu atawawekea mkono wake.
Daaah! Mama mchungaji naahidi kuanzia sasa sitokosa kipindi hata kimoja kanisani pako.[emoji817][emoji817]
Halafu akimfanya vibaya kinaweza kumrudia hicho hicho kilichompata mkewe.
Mimi naamini katika majaribu.
Maandiko yanatuasa tunapojaribiwa tusitende dhambi. Na Mungu akikupa jaribu anakupa na mlango wa kutokea pia.
Hahahahaha.Daaah! Mama mchungaji naahidi kuanzia sasa sitokosa kipindi hata kimoja kanisani pako.
Nitakuwa kondoo wako mtiifu kabisa.
Kila tuliwazalo/tulitendalo Bwana anaona na adhabu/malipo ni jambo la muda tu. So obviously kama ataamua kuikubali hali atawalinda maana teyar pana upendo wa kiroho na kimwili and vice versa.
Ameni Mama MchungajiHahahahaha.
Karibu sana.
Mkuu, unateseka Sana.Anyway, nawashukuru kwa ushauri wenu wadau, kuna watu wamesema nimsamehe maisha yaendelee, Kama umenisoma vizuri utaona tangu 2015 hadi leo ni muda umepita, kimsingi nilimsamehe na kukubali hali iliyopo. Lakini kwa nini sasa na kwa nini nauliza ushauri kwa wadau ni kwamba nimeona zipo Dalili kuwa bado anawasiliana na watu wake. Wiki mbili zilizopita nilichukua simu yake alipokuwa kuoga asubuhi saa 12, nikaona meseji ya kimahusiano toka kwa mtu, sikumuuliza ile asubuhi,,, jioni nikaangalia simu yake nikaona ile sms ameifuta ila alimjibu kuwa "nitakupigia my" na mengine na ni kweli calls zake inaonekana alimpigia. Nilimuuliza aniambie ni nani alimtumia sms asubuhi na aniambie ilisemaje, alikataa kata kata kuwa hakutumiwa meseji yoyote ile,,, sasa hapo kabla ya ile sms alikuwa anaongea na mtu mwingine usiku kama saa nne hivi usiku mimi nikiwa sebuleni yeye chumbani maongezi yao niliyashitukia, nilipomuuliza alikuwa anaongea na nani na walikuwa wanaongea nini alinijibu sio lazima nijue kila anachoongea. Sasa hapo ndipo msamaha niliokuwa nimeutoa kabla natafakari ndio njia panda ilipo wapendwa.
Sawa sawa mkuuSina cha ku comment mkuu umemaliza kila kitu alafu kila idara