Mke kaniweka njia panda, naombeni ushauri

Kinachoua watu kwenye ukimwi, ni ujinga kuhusu ukimwi. Hicho ndicho kinachoongoza kuua, kwa maelezo ya awali uliyoyatoa pamoja na ushauri uliotolewa unaonyesha kiwango cha ujinga kuhusu ukimwi.

Kwenye ukimwi kuna watu wanabeba vimelea vya ukimwi na wao kutokuonyesha wala vidudu kuonekana wakati wa kupima, hawa watu ndio wanasayansi wanatafuta kujua jinsi gani ya kupata vimelea walivyonavyo na kuwawekea wengine ili kuwa ni kinga ya kila mtu, hivyo kunekana kwako kuwa huna inawezekana na wewe ni kati ya watu wenye vimelea hivyo naturally.

Kuna familia moja mume ni mwenye VVU kwa muda mrefu na mke anazaa naye lakini mke wake hajawahi wala hajapata hivyo vijidudu.

Kwa hiyo ndugu yangu inawezekana huo ushauri wa kwenda kwa mwingine ni wa kukuambia kawaambukize wengine.

Huyo mke wako atakufa haraka sio kwa VVU bali kwa mawazo yanayotokana na masimango, masimango hayo chanzo chake ni kufikiria kupata kwake ukimwi kumetokana na kuchepuka kisa wewe huna, hivyo kifikra kapata kwingine.

Kupima mwanzoni mlipima kujua kama mnavyo au la lakini hamkupima kama kuna mbebaji asiyedhurika au kuonyesha amebeba.

Utakapokwenda kwenye kikao cha familia usishangae watano kati ya kumi uliowaita kwenye kikao nao ni waathirika wanaotumia dawa ila hawajakuambia.

Kuna magonjwa mbalimbali yanayotumia dawa kila siku, kisukari, moyo, heartitis B na mengine kwa wagonjwa wote hao niliowataja wanaotumia dawa hao watakuwa wa kwanza kufa kabla ya mkeo kama wote wataendelea kutumia dawa kama walivyoshauriwa. Mwambie mkeo atumie dawa na wewe usiwe sehemu ya kumnyanyasa.
 
Mke wako alichepuka..
Kama unapenda mfe wote mapema na kuacha watoto bila wazazi.. basi kuwa mjinga

Mnunulie matoi umsaidie muyachezee.. kumfikisha bila wewe kupata hayo..

Pole na kila la kheri, anatishia kujiua labda aliyempatia ni mtu wako wa karibu.. ndio maisha jipende..

Jua hawezi kujiua bali anatumia kama njia ya kutokukuambia ukweli.. huku yeye na wake wanajua. Au labda alikuwa analala na wengi wampe maraha na pesa na hajui yupi alimpa
I like your comments madame
 
Umeoa 2009
Ameanza kuumwa 2013
Mkapima ukimwi 2015
Ushauri unaomba 2018
Tangu ameanza kuumwa mpaka kugundua tatizo lake ni miaka miwili,hii inamaanisha kipindi chote hicho mlikuwa mnashiriki tendo pasi kujua anaumwa na pasi yeye kukuambukiza.

Na baada ya kujua imekuchukua miaka mitatu mpaka sasa hivi na manaendeleza maisha japo si kama zamani.

Baada ya maelezo naomba sasa nikushauri ndugu.
Kwakuwa umeshiriki nae tendo kwa miaka miwili bila kinga na hajakuambukiza endelea kushiriki nae bila kinga ila utumie style zilezile ulizokuwa ukizitumia ili asijekukuambukiza.
 
Mke wako alichepuka..
Kama unapenda mfe wote mapema na kuacha watoto bila wazazi.. basi kuwa mjinga

Mnunulie matoi umsaidie muyachezee.. kumfikisha bila wewe kupata hayo..

Pole na kila la kheri, anatishia kujiua labda aliyempatia ni mtu wako wa karibu.. ndio maisha jipende..

Jua hawezi kujiua bali anatumia kama njia ya kutokukuambia ukweli.. huku yeye na wake wanajua. Au labda alikuwa analala na wengi wampe maraha na pesa na hajui yupi alimpa
Kwa mara ya kwanza tangia nizaliwe leo ndio nakupa like
 
Kama anatumia ARVs haina shida sana, we endelea kutumia ndom ila nakushauri uendelee kumpenda mkeo muonyeshe upendo wa dhati kumfariji,
Mimi ni mwanaume wa miaka 35, nilioa mwaka 2009. Kabla ya kuoana tulipima na wote tulionekana tupo salama. Tukazaa watoto Wawili, mwaka 2013 mke alianza kuumwa, alikuwa anatibiwa homa inarudia rudia, baada ya hali kuzidi akashauriwa kupima ukimwi mwaka 2015 na ndipo akagundulika kuwa ameathirika, na mme nikapima zaidi ya mara tatu nikaonekana ni negative, Kwa muda wote huo tumekuwa tukitumia mipira katika tendo la ndoa. Kimsingi tangu nilivyooa sikuwahi kuchepuka. Shida niliyonayo mimi kwa sasa najawa na msongo wa mawazo kwa Muda mrefu hadi nimepungua kiukweli, sioni radha yoyote kwenye tendo, sipati msisimko wowote kwake. Moyo umekufa kabisa. Nikiwa nae karibu ndio najawa na mawazo, sioni mapenzi yoyote kwake,,, kibaya zaidi hajawahi kuniambia alipataje na nikimuuliza anaanza kulia hadi kuchukua sumu kutishia kujiua. Ninashindwa nifanyaje nikijiangalia na umri wangu bado mdogo. Naomba ushauri wenu wadau nifanyaje kwa sababu yeye anaonekana ana njaa kubwa ya tendo la ndoa na mimi hali ndio hivo.
 
Asante sana kwa ushauri wako,,,, ndio maana nimeweka humu ili mnisaidie kimawazo, mawazo ni zaidi ya dawa ndugu zanguni,,, bado endeleeni kutoa nahitaji sana mawazo kama yako Mungu awabariki sana
Mfanye kua mzazi mwenzako tu +muhudumie pamoja nawatoto ( huenda anawaza kua mzigo )

Kisha Oa mwingine.

Barikiwa naww na ujue Mungu anakupenda.

ULAYA +AMERIKA YOTE+CHINA MPAKA URUSI BILA KUSAHAU INDIA NA ISRAEL NA UARABUNI KOTE WANAJUA UKIMWI NI HATARI ....basi tu ni bongo tu hapa ndo tunachukulia poa.

Mfanye km "Mwanamke nlozaa naye" napasipo kuonyesha unyanyapaaji endelea kumfurahisha nje ya mapenzi wakati huo *UWAITE WAZAZI KAMA NILIVOKUAMBIA*

UTAKUA HURU NA HUTOKUA NA MAWAZO TENA , usifanye masihara na Ukimwi, Unaua akili, unaua mwili. Unaua Uchumi, unaua mwonekano wako kwa jamii ..kwaufupi ni Ugonjwa usokua na mfano!!.
 
ashaliwa huyo na we tafuta wa kumla ili mambo yawe droo
 
Kama anatumia ARVs haina shida sana, we endelea kutumia ndom ila nakushauri uendelee kumpenda mkeo muonyeshe upendo wa dhati kumfariji,
khaaa nmecheka. Nataman kungekuwepo kitufe cha Sauti mngenisikia nilivocheka.

Wewe unaweza mkuu?? Nahapo unajizuia kabisa kutokula mzigo nje na ndani naunamiaka 35???
 
Duh! Kweli una moyo! Yani unasex na mtu ambaye unajua kabisa ana UKIMWI? Mpaka hapo kwa kuwa umeshajitoa muhanga, endelea tu...
 
Inawezekana mlipopima kabla ya ndoa mke wako alikuwa kwenye window period kwa vile vipimo vya zamani mngepima tena baada ya miezi mitatu angejulikana.

👉🏾Nenda nae kwenye kitengo siku ya clinic yake na uombe kuongea na daktari wake nyinyi wawili tu. Kwasababu ndiye anaemuelewa magonjwa wake atakupa majibu ya maswali yako mengi.
 
Kinachoua watu kwenye ukimwi, ni ujinga kuhusu ukimwi. Hicho ndicho kinachoongoza kuua, kwa maelezo ya awali uliyoyatoa pamoja na ushauri uliotolewa unaonyesha kiwango cha ujinga kuhusu ukimwi.

Kwenye ukimwi kuna watu wanabeba vimelea vya ukimwi na wao kutokuonyesha wala vidudu kuonekana wakati wa kupima, hawa watu ndio wanasayansi wanatafuta kujua jinsi gani ya kupata vimelea walivyonavyo na kuwawekea wengine ili kuwa ni kinga ya kila mtu, hivyo kunekana kwako kuwa huna inawezekana na wewe ni kati ya watu wenye vimelea hivyo naturally.

Kuna familia moja mume ni mwenye VVU kwa muda mrefu na mke anazaa naye lakini mke wake hajawahi wala hajapata hivyo vijidudu.

Kwa hiyo ndugu yangu inawezekana huo ushauri wa kwenda kwa mwingine ni wa kukuambia kawaambukize wengine.

Huyo mke wako atakufa haraka sio kwa VVU bali kwa mawazo yanayotokana na masimango, masimango hayo chanzo chake ni kufikiria kupata kwake ukimwi kumetokana na kuchepuka kisa wewe huna, hivyo kifikra kapata kwingine.

Kupima mwanzoni mlipima kujua kama mnavyo au la lakini hamkupima kama kuna mbebaji asiyedhurika au kuonyesha amebeba.

Utakapokwenda kwenye kikao cha familia usishangae watano kati ya kumi uliowaita kwenye kikao nao ni waathirika wanaotumia dawa ila hawajakuambia.

Kuna magonjwa mbalimbali yanayotumia dawa kila siku, kisukari, moyo, heartitis B na mengine kwa wagonjwa wote hao niliowataja wanaotumia dawa hao watakuwa wa kwanza kufa kabla ya mkeo kama wote wataendelea kutumia dawa kama walivyoshauriwa. Mwambie mkeo atumie dawa na wewe usiwe sehemu ya kumnyanyasa.
ARV unachukua hospital gani????
 
Inawezekana mlipopima kabla ya ndoa mke wako alikuwa kwenye window period kwa vile vipimo vya zamani mngepima tena baada ya miezi mitatu angejulikana.

Nenda nae kwenye kitengo siku ya clinic yake na uombe kuongea na daktari wake nyinyi wawili tu. Kwasababu ndiye anaemuelewa magonjwa wake atakupa majibu ya maswali yako mengi.
Nadhani ingekuwa hivyo watoto wangekuwa wameathirika.
 
:-NGOJA NIANDIKE KWA HERUFI KUBWAA UNIONE NA KUNIELEWA UJUE NIMEKUONA.MJINGA SANA KWA NN,! Kwa sababu ushawahi ona mtu anataka aambukizwe hiv kipuuzi ndo wewe.. unajua huyo hakupendi hauna mke hapo bali umeona muuaji huyo.. kwanza nenda hosp tena kwa mara ingine ujihakikishie afya yako.. pili:: huyo mke mwache tena ita famiia zote mbili zako na zake eleza kisa cha kuvunja ndoa hiyo.. hata kama kanisani hoy ndoa inavunjwa bila pingamizi zozote muende kanisani mkaivunje na uishi na wanao nao kawapime watoto afya zao kama waxima wachukue watoto wako na ishi nao maana akiishi na mama yao asije ambukiza watoto huo ugonjwa wake........ ukiwa mzima hivyo Mungu amekupa afya ili ulee wabao na sio muugue wote kwani yeye aliyeutafuta ndo atateseka sana... usimpe sex huyo..
NB;; nakuapia kama ungekuwa ndo wee unao huyo mwanamke kwao wangejua na usingepata mapenzi yoyote kutoka kwake angekuacha mchana kweupe kwa kashfa zote na watoto angekupokonya...
KILA LA KHERIII. Mm sijapenda hivyo kiasi cha kutaka kuambukizwa hiv kijinga jinga hivyooo never!!!
 
Mke wako alichepuka..
Kama unapenda mfe wote mapema na kuacha watoto bila wazazi.. basi kuwa mjinga

Mnunulie matoi umsaidie muyachezee.. kumfikisha bila wewe kupata hayo..

Pole na kila la kheri, anatishia kujiua labda aliyempatia ni mtu wako wa karibu.. ndio maisha jipende..

Jua hawezi kujiua bali anatumia kama njia ya kutokukuambia ukweli.. huku yeye na wake wanajua. Au labda alikuwa analala na wengi wampe maraha na pesa na hajui yupi alimpa
Kuishi na Ukimwi sio kufa, kikubwa ni kuzingatia tu masharti cocochanel
 
Back
Top Bottom