kijana , mbele yako ukimuona simba nini utafanya na kwanini akulazimishe kufanya ngono uku anajua hali yake? je nikutaka kutafuta sababu ya kwann licha yaww kua nawe ,hukuupata nayeye ndo akaupata?
kwanini alazimishe ngono ili hali mapenzi nizaidi ya ngono? kwanini usitafute njia za kumridhisha nje ya sex? je umeshindwa kukaa naye nakumweleza kwa upole?
Kademu kako nikajinga kwaiyo kanataka mfanane na mind you, huyo demu anatumia nguvu ya ushawishi walozaliwa nayo kutaka mwisho wasiku mfanane, sikia, huyo demu ni delila wa samson ,yaani kanakudanganya kua kanataka kujiua, ili wewe uliingie mkenge ule mzigo. na kukuakikishia, ikiwa anadiriki kufikia hatua ya kukulazimisha umle ,tena hadi kwakutishia kujiua basi tambua kua uyo demu yupo radhi kutumia kila mbinu ili mfanane kwamaana moyoni mwake ana kitu cha "why me?" angekua anajielewa angekuambia maneno haya
[emoji117]"Mume wangu, we ni baba watoto wangu,, kwanza naomba unisamehe kwa kosa nilokutendea, unisamehe kwa kuleta ugonjwa huu ndani, pili nongeomba kuanzia sasa, tusikutane kimwili badala yake nipe nafasi nitengeze afya yangu lkn kubwa nakuhitaji sasa ubebe jukumu zaidi lakuhakikisha watoto wanakua, ikitokea unataka kuoa unaweza kuoa tu ila mimi naomba unihakikishie tu mahitaji yangu"
sasa weee unapambana na kademu kanawivu sanaaaaa kiasi kwamba licha ya hali iyo bado amekukomalia daaahhh
je umewashirikisha wazazi wenu? eti jibu no [emoji23][emoji23][emoji23] ivi wanaume siku izi ndo mmebakia wahivi?.
kama kweli unajiamini uko salama na yeye nimgonjwa bahati mbaya kabisa na kwa makusudi hataki kukuambia,.kwanini usiitishe kikao cha ghafla nyumban bila kumjulisha? ili ajikute unamuhitaji aseme ukweli mbele ya wazazi wenu? na atakaposema au asiposema wee utakua uhuru kisha utamfanyia ustaharabu wa yeye kua namaisha yake lets say unampangisha unampa mtaji wa maisha kisha anabaki kua mzazi mwenzako wa watoto lkn sio kimwili? .
miaka 35 maana yake bado mdogo unahitaji hitaji la kimwili sana ,sasa utavumilia ?
[emoji117]ushauri naokupa, waite wazazi ,usiwambie kwanza, waite kwa kuwashtukiza na mkeo asijue.
[emoji117]watoto siku iyo wasiwepo,, alafu kisha waeleze wazazi wenu ukweli+ umtake mwanamke wako aseme aliupataje !!!...( hapa kwajibu lolote atakalokupa nahata asiposema , utakua umejitoa ktk mzigo wa lawama tena hata wazazi wa mwanamke watakuambia ruksa kuachana naye ) ..ukweli nikwamba nawao wanajua wasingependa iyo kitu.
sasa kuna mawili [emoji117]uendelee kishi naye on your own risk ( nakwamaelezo yako ,nakuhakikishia ni risk kwelikweli)
au [emoji117]mgeuze kua mzazi mwenzako lkn msishiriki kitu ( ingawa hii kwa myumba moja ningumu) lakini weee nomaaa ,weee kibokoo mkuuu yaan demu umemjua lkn bado unakula mzigo kisa kondomu? ama kweli watanzania na waafrika ndo tunauchukulia ukimwi kama malaria khaaaaaaa.
Alafu usikute ndoa yenyewe ya njooo tuishi, mifujo kibao usikute alikua mchepukaji balaaa sasa mbingu zikamuadhibu uku zikikuponya weee. lkn bado unataka kubebana na msalaba wa mtu huwazii tena kua namtoto kuwaendelezea wanao? au akili yako inakutima kua , hata ukiendelea kumla hutoupata?
Mimi nadhani maelezo yako hayajakamilika , umeficha ficha tu hapaa, maana mwanaume anayejielewa kwanza angeuthibitisha uaname wake hapa, yakwamba "mke wangu nakupenda sana , nitajitahidi kukupa furaha lkn suala la ngono tuliache"....kama kweli unampenda.