Mke kaniweka njia panda, naombeni ushauri

Acha kutumia kondomu ufie mbali kengele we ,jitu limekusaliti unaendelea kujamba Jamba ,muhimu Lea wanao hamia Gest jion hii umezidi homoni za kkiike
 
Anyway, nawashukuru kwa ushauri wenu wadau, kuna watu wamesema nimsamehe maisha yaendelee, Kama umenisoma vizuri utaona tangu 2015 hadi leo ni muda umepita, kimsingi nilimsamehe na kukubali hali iliyopo. Lakini kwa nini sasa na kwa nini nauliza ushauri kwa wadau ni kwamba nimeona zipo Dalili kuwa bado anawasiliana na watu wake. Wiki mbili zilizopita nilichukua simu yake alipokuwa kuoga asubuhi saa 12, nikaona meseji ya kimahusiano toka kwa mtu, sikumuuliza ile asubuhi,,, jioni nikaangalia simu yake nikaona ile sms ameifuta ila alimjibu kuwa "nitakupigia my" na mengine na ni kweli calls zake inaonekana alimpigia. Nilimuuliza aniambie ni nani alimtumia sms asubuhi na aniambie ilisemaje, alikataa kata kata kuwa hakutumiwa meseji yoyote ile,,, sasa hapo kabla ya ile sms alikuwa anaongea na mtu mwingine usiku kama saa nne hivi usiku mimi nikiwa sebuleni yeye chumbani maongezi yao niliyashitukia, nilipomuuliza alikuwa anaongea na nani na walikuwa wanaongea nini alinijibu sio lazima nijue kila anachoongea. Sasa hapo ndipo msamaha niliokuwa nimeutoa kabla natafakari ndio njia panda ilipo wapendwa.
Mkuuu nakushauri kwa mara nyingine TENA kwasababu wer ni Mwanaume mwenzangu.

[emoji117][emoji117][emoji117]Mtu asikudanganye kua "ENDELEA KUISHI NAYE OOHOOOO MSAMEHEE NAUZIDI KUMPENDAAAAAA NAKILA AINA YA MBWEMBWE, NIAMIN HAO WANAOKUAMBIA IVO NAWAO WANAJUA KABISA 100% HAWAWEZI KUISHI NAYE KIMAPENZI ...... Usidanganyike ......MSHUKURU MUNGU KWA KUKUWEKA SALAMA MPAKA HAPO ULIPO,,,, KUNYANYAPAA NIVIBAYA..THEN WHAT NWXT??? MAHOSPITALINI TU HUWA TUNAWASHAURI WASIENDELEE KUFANYA NGONO ZEMBE ( tena hapa wote ni waathirika) .......SEMBUSE WER MZIMA NA MKEO KAUMIA, NDO NIKUSHAURI OHOOOOO ENDELEA NAYE TU ?????

MIMI SIO MNAFIKI NDUGU YANGU, ,, NAKUAMBIA HALI HALISI , LAZIMA UFIKIRIE WANAO NAWATOTO.

MTU ASIKUDANGANYE ETI UKIMUACHA ,MWISHO UTAJIKUTA UNAUPATA TENA KWINGINE...KATAAA KATAKATA HAYA MAWAZO KWA NGUVU ZAKO ZOTE SABABU ,MPAKA HAPO TU NI MUNGU.

[emoji117][emoji117][emoji117]NAKAZIA UKIMWI NIMBAYA, MTU ASIKUDANGANYE, UKIMWI NI UGONJWA MBAYA SANAAA , MAAMUZI YAKO NDIO YATAAMUA MAISHA YAKO.

[emoji117][emoji117]UKIAMUA KUISHI NAYE, MFANYE KUA MZAZI MWENZAKO LKN MSIFANYE NGONO + KUA MWANGALIFU WAKATI WA KUMUHUDUMIA.

[emoji117][emoji117][emoji117] SIKIA NARUDIA, SHIRIKISHA WAZAZI WENU, ALAFU WATAKACHOKUAMBIA FANYIA KAZI

IYO SIRI UNAYOIFANYA KUA SIRI. **** SIKU UTAITOA WAKAT AMBAO TAYARI UMESHAUMIA.

NA NINAKUHAKIKISHIA,,, UKISHAUMIA,UKAJA TENA HUMU KUOMBA USHAURI....UTACHEKWA NA KUKEJELIWA SANAAAAAAAA YAAN SANA TUUUUU.

[emoji117]MIMI SIO KWAMBA NINA MTAZAMO HASI JUU YA WAATHIRIKA, NOOOOOOOO..... ILA NAKUSHAURI HALI HALISI.

[emoji101][emoji101][emoji101][emoji101]UMEKASAMEHE LKN BADO KANAENDELEA KUCHAT NAWANAUME,,, UPUUZI GANI HUO???? YAAAN USIKUTE NAYEYE ANAWAAMBUKIZA WENGINE[emoji48][emoji48][emoji48] KWA MAKUSUDI??? HAPO HAUNA MWANAMKE BALI UNA KASHETANI KADOGO KANAKUONEA WIVU WEWE KUA MZIMA SASA KANATAKA KAKUUNGUZE,,, NDIO MAANA BADO KANAWAUNGUZA WENGINE UKO NJE KWA KAS YA 4G

nmetumia lugha nyoofu ili unielewe,,, usiponielewa basi ilo nijuu yako....

NARUDIA ,SHIRIKISHA WAZAZI WENU ,UTAKUA HURU NAHATA JUU YA MALEZI YA WATOTO UTASHAURIWA VIZURI.

UKIAMUA KUISHI NAYE NA KUSHIRIKIANA NAYE, BASI UWE UMESHAJITOA 100% TU LOLOTE NALIWE...INGAWA UTADHARAULIKA SANA.
 
Nakumbusha tu kuwa kuna njia nyingi sana za kupata VVU ukiacha ngono.
 
Unamfuma nameseji za wanaume..bila shaka yeye ndo mchepukaji kiasi kwamba akaukwaa..bado tu HUJIONGOZI?????

Sikia Kwa stail hiyo niwazi kua kuchepuka kwake, ndio kumeleta hiyo hayo kwake hilo ni adhabu .

Ukisikia What goes around comes around ndio hio sasa ..... Sasankwann ujitese sana na mawazo mpaka ukonde mwisho uwe kichaa???

Watoto huwezi kulea??? Labda asingizie watoto,,, kwan huwezi kumlea yeye nawatoto ukiwa tayar upo nje yake ????.

Sawa ENDELEA KULA MZIGO !!
 
Dah! Pole sana.
Umenikumbusha kisa cha rafiki yangu mmoja
 
Yaani mpaka leo hujui aliutoa wapi...

Aisee, we jamaa...

Em mwambie aache u**nge aseme wapi aliutoa, na uache kuyalea mazoea yake ya kutishia kujiua.

Mjali, mlishe na mheshimu kama umeamua kuishi nae kiroho safi, lakini ua kabisa hiyo tabia ya kutishia sumu sijui.
 
Yaani ukutwe na ukimwi au gorno afu mimi sina afu nibaki na wewe
 
Tafuta mwanamke mwingine ila huyo endelea kumuhudumia pamoja na watoto kama awali usishiriki naye tendo.
Ushauri wa dhahabu huu

Tafuta mke mwengine
ila huyo,usimuache kumuhudumia
kwasababu ni Mama watoto wako
anaweza akawa ameupata kwa njia tofauti na ngono

SI KILA ALIEAMBUKIZWA UKIMWI,ALIUPATA KWA NJIA YA NGONO

mtunze ndg
tuna na watt wako
ila tendo la ndoa.....noooooooopp
 
Anyway, nawashukuru kwa ushauri wenu wadau, kuna watu wamesema nimsamehe maisha yaendelee, Kama umenisoma vizuri utaona tangu 2015 hadi leo ni muda umepita, kimsingi nilimsamehe na kukubali hali iliyopo. Lakini kwa nini sasa na kwa nini nauliza ushauri kwa wadau ni kwamba nimeona zipo Dalili kuwa bado anawasiliana na watu wake. Wiki mbili zilizopita nilichukua simu yake alipokuwa kuoga asubuhi saa 12, nikaona meseji ya kimahusiano toka kwa mtu, sikumuuliza ile asubuhi,,, jioni nikaangalia simu yake nikaona ile sms ameifuta ila alimjibu kuwa "nitakupigia my" na mengine na ni kweli calls zake inaonekana alimpigia. Nilimuuliza aniambie ni nani alimtumia sms asubuhi na aniambie ilisemaje, alikataa kata kata kuwa hakutumiwa meseji yoyote ile,,, sasa hapo kabla ya ile sms alikuwa anaongea na mtu mwingine usiku kama saa nne hivi usiku mimi nikiwa sebuleni yeye chumbani maongezi yao niliyashitukia, nilipomuuliza alikuwa anaongea na nani na walikuwa wanaongea nini alinijibu sio lazima nijue kila anachoongea. Sasa hapo ndipo msamaha niliokuwa nimeutoa kabla natafakari ndio njia panda ilipo wapendwa.
[emoji33][emoji33][emoji33]
 
Mkuuu nakushauri kwa mara nyingine TENA kwasababu wer ni Mwanaume mwenzangu.

[emoji117][emoji117][emoji117]Mtu asikudanganye kua "ENDELEA KUISHI NAYE OOHOOOO MSAMEHEE NAUZIDI KUMPENDAAAAAA NAKILA AINA YA MBWEMBWE, NIAMIN HAO WANAOKUAMBIA IVO NAWAO WANAJUA KABISA 100% HAWAWEZI KUISHI NAYE KIMAPENZI ...... Usidanganyike ......MSHUKURU MUNGU KWA KUKUWEKA SALAMA MPAKA HAPO ULIPO,,,, KUNYANYAPAA NIVIBAYA..THEN WHAT NWXT??? MAHOSPITALINI TU HUWA TUNAWASHAURI WASIENDELEE KUFANYA NGONO ZEMBE ( tena hapa wote ni waathirika) .......SEMBUSE WER MZIMA NA MKEO KAUMIA, NDO NIKUSHAURI OHOOOOO ENDELEA NAYE TU ?????

MIMI SIO MNAFIKI NDUGU YANGU, ,, NAKUAMBIA HALI HALISI , LAZIMA UFIKIRIE WANAO NAWATOTO.

MTU ASIKUDANGANYE ETI UKIMUACHA ,MWISHO UTAJIKUTA UNAUPATA TENA KWINGINE...KATAAA KATAKATA HAYA MAWAZO KWA NGUVU ZAKO ZOTE SABABU ,MPAKA HAPO TU NI MUNGU.

[emoji117][emoji117][emoji117]NAKAZIA UKIMWI NIMBAYA, MTU ASIKUDANGANYE, UKIMWI NI UGONJWA MBAYA SANAAA , MAAMUZI YAKO NDIO YATAAMUA MAISHA YAKO.

[emoji117][emoji117]UKIAMUA KUISHI NAYE, MFANYE KUA MZAZI MWENZAKO LKN MSIFANYE NGONO + KUA MWANGALIFU WAKATI WA KUMUHUDUMIA.

[emoji117][emoji117][emoji117] SIKIA NARUDIA, SHIRIKISHA WAZAZI WENU, ALAFU WATAKACHOKUAMBIA FANYIA KAZI

IYO SIRI UNAYOIFANYA KUA SIRI. **** SIKU UTAITOA WAKAT AMBAO TAYARI UMESHAUMIA.

NA NINAKUHAKIKISHIA,,, UKISHAUMIA,UKAJA TENA HUMU KUOMBA USHAURI....UTACHEKWA NA KUKEJELIWA SANAAAAAAAA YAAN SANA TUUUUU.

[emoji117]MIMI SIO KWAMBA NINA MTAZAMO HASI JUU YA WAATHIRIKA, NOOOOOOOO..... ILA NAKUSHAURI HALI HALISI.

[emoji101][emoji101][emoji101][emoji101]UMEKASAMEHE LKN BADO KANAENDELEA KUCHAT NAWANAUME,,, UPUUZI GANI HUO???? YAAAN USIKUTE NAYEYE ANAWAAMBUKIZA WENGINE[emoji48][emoji48][emoji48] KWA MAKUSUDI??? HAPO HAUNA MWANAMKE BALI UNA KASHETANI KADOGO KANAKUONEA WIVU WEWE KUA MZIMA SASA KANATAKA KAKUUNGUZE,,, NDIO MAANA BADO KANAWAUNGUZA WENGINE UKO NJE KWA KAS YA 4G

nmetumia lugha nyoofu ili unielewe,,, usiponielewa basi ilo nijuu yako....

NARUDIA ,SHIRIKISHA WAZAZI WENU ,UTAKUA HURU NAHATA JUU YA MALEZI YA WATOTO UTASHAURIWA VIZURI.

UKIAMUA KUISHI NAYE NA KUSHIRIKIANA NAYE, BASI UWE UMESHAJITOA 100% TU LOLOTE NALIWE...INGAWA UTADHARAULIKA SANA.
Huyu angekuwa mdogo wangu angekuwa amana saizi ni vibao tu ,hakuna anaemshauri ampige huyo mwanamke tunamshuri aishi maisha yake hayahusiani nahuyo dada muuaji na mbinafsi ,mimi leo nikikutwa na ngwengwe mke wangu hana hakika jioni hii nahamia gest ,siwezi kuwa mbinafsi nimuue mtoto wa watu ,namruhusu akaolewe watoto tutalea ,huyu jamaa hawazi kuhusu mama yake ,babaye na familia yake inavyompenda anahatarisha maisha yake kirahisi hivyo ,mi staki muhukumu huyu dada pengine hajasaliti alichomwa na ncha kali ,ila ndoa hapo noooo
 
Nashangaa tu wanaozuga kumshauri ivo..yaan wanamshauri as if wote wawili wanangoma.

Kumbe mwenye ngoma ni demu najamaa yuko poa hahaha

Alafu unaambiwa" endelea kula"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom