Hiyo ya kuishi nasi kwa akili wako wepesi sana kukariri ila hawajui ni kwa namna gani waishi nasi kwa akili. Wanauchukulia huu mstari kijuujuu tu. Matokeo yake wanaumia waoacha tu wagombe .. ndiyo maana wanaume wengi wa tz wanaishia kujenga nyumba na kigari basi ... akili nyingi kwa wanawake eti wanasingizia biblia imesema isha na mwanamke kwa aliki... yenywe imesema mwanamke ikimaanisha mmoja its more than enough .. sasa ukiongeza idadi lazima uwe chizi....... kwa hiyo kuongeza mwanamke zaidi ya mkeo ni vi here here vyao
mtaa gani
akili nyingi wantaka kuwazia ngono shauri laoHiyo ya kuishi nasi kwa akili wako wepesi sana kukariri ila hawajui ni kwa namna gani waishi nasi kwa akili. Wanauchukulia huu mstari kijuujuu tu. Matokeo yake wanaumia wao
shamba lipo kwa ajili ya kustawisha mazao mbalimbali. mwanamke ni kama shamba, ukiweka mbegu ya kiumbe / mtu / mwanadamu anazaliwaHahahahaha nimecheka zaidi hapo kwenye "mtoto wa kiume ndo mwana wakike ni binti"
Ama kweli maandiko ni yale yale ila tafsiri ni tofauti.
Haya, sasa mwanaume anazaliwa na mwanamke (ambaye sio mtu)
Kwa hiyo mwanaume atakua nusu mtu nusu sijui kiumbe gani.
Si ndivyo?
Wacha wakomeshwe viherehere viwaisheakili nyingi wantaka kuwazia ngono shauri lao
Spati picha angekua mchaga hali ingekuaje kwenye Uzi huuMjadala leo umekuwa mzuri sana kwakuwa si MMACHAME wala MKASKAZINI ndiye muhusika wa hayo mauaji... Naona Mungu kaamua kuwajibu kwa wakati wake. Na bado ile dhambi ya kuwapakazia Wamachame itawamaliza..
Mwanadamu ambae ni mwanaume ndio anazaliwa kutokana na shamba ambalo ni mwanamke,shamba lipo kwa ajili ya kustawisha mazao mbalimbali. mwanamke ni kama shamba, ukiweka mbegu ya kiumbe / mtu / mwanadamu anazaliwa
ha ha ha hawakomagiWacha wakomeshwe viherehere viwaishe
ndio si unajua tena msiba hauna kadi wala mualikoMkuu unataka kwenda msibani?
hhaahhahahahahaa nimeipenda hii.Usithubutu kuoa nyumba ndogo haziolewi
Ungesikia tu watu humu.. Mara mimi mjomba wangu, mara mimi kaka yangu na blah blah kibao.. Ila kwakuwa si Mchagga hakuna anayejoosha kidole wamebaki kuwa washauri na kunukuu Biblia tu hapa..Spati picha angekua mchaga hali ingekuaje kwenye Uzi huu
ndio si unajua tena msiba hauna kadi wala mualiko
asante maana watu wengi huwa wanasema wanawake wa kaskazini ndo wauwajiIringa
Mnipitie namiendio si unajua tena msiba hauna kadi wala mualiko
Mkuu ukipajua nipe taarifa na mimi tusindikizane.
Na mstari mkuu waliobaki nao ni "ishini nao kwa akili"Ungesikia tu watu humu.. Mara mimi mjomba wangu, mara mimi kaka yangu na blah blah kibao.. Ila kwakuwa si Mchagga hakuna anayejoosha kidole wamebaki kuwa washauri na kunukuu Biblia tu hapa..
Huyu abdallah kichwa wazi ndiye anasababisha haya yote.Waambie
Matokeo ya ku-upgrade michepuko hiyo
Mnajidanganya mnapendwa na kuacha mliookota nao kuni...