Mke kamuua mumewe kisa mali

Mke kamuua mumewe kisa mali

Maandiko yanaagiza: "kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili...." 1 Peter 7
 
Mwanamke fedhuli huyu. Alitaka mume auze nyumba ambazo amezalisha na mke wa kwanza ili ahakikishe hapati kitu. Sasa atafia jela. Ila ninaomba wanaume wote tujifunze kuwa mke wa ujana wako ana maana sana katika maisha yako. Kwa kawaida wake wa pili huwa ni sheeda sana nimejionea kwa wanaume wengi vinginevyo umpate mwenye hofu ya Mungu. Mwanaume ukipata mali ujue hiyo ni bahati na kuwa mkeo ana bahati pia. Sasa mke mdogo huyu nionavyo lengo lake ni mali na kumfilisi huyu baba tu. Tushikamane na ndoa zetu, tuvumiliane pale inapowezekana kuvumiliana na kama ikishindikana kuishi basi pia mpe mke haki ya mali mnapoachana. Sasa alikuwa na nyumba 3 hakumpa mke wa awali hata moja na sasa zimemtoa roho. Kilio cha mke wa ujana wako ni kibaya sana. Tutafakari kwa mapana hii thread. Kila mtu hapa afunge macho ajikague maisha yake ya ndoa na mahusiano. Nimejifunza kuwa kuachana katika ndoa si suluhisho au guarantee ya kuwa na maisha mazuri zaidi. Yote tuweke maombi mbele za Mungu. Mahusiano yamekuwa na utata, utata mkubwa sana. Mungu ashuke kunusuru.
 
Dah mwanamke ni kiumbe hatari sana duniani!
 
AMEN
 
Taarifa za kiitelijensia zinaonesha huyo mwanamke ana damu kimangi.
 
Back
Top Bottom