Konakali
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 1,533
- 266
Atakuambia kama ifuatavyo;mkoa gani?wilaya gani?tarafa gani?kata gani?kijiji gani?
Mkoa : Dodoma
Wilaya : Kondoa
Tarafa : Ondoa
Kata : Ndoa
Kijiji : Doa
Kitongoji : Oa
Atakuambia kama ifuatavyo;mkoa gani?wilaya gani?tarafa gani?kata gani?kijiji gani?
Tatizo sio mali...Kujiweka mbali na hawa viumbe kuna manufaa makubwa kuliko kukaa nao karibu....hasa kwenye nyakati kama hizi ambazo mali zimechukua nafasi za ubinaadamu mioyoni mwa wanadamu....
PROUDLY FIELD MARSHALL
Cc Badili Tabi
HahahahHuyu abdallah kichwa wazi ndiye anasababisha haya yote.
Tukiwaoa mnatushindisha njaa sana. Wakati mwingine kupata angalau kimoja kwa wiki ni mbinde. Wakati huo huo kuna michepuko ambayo kabla ya kuiingiza ndani utayapata ya Sikinde waliyoimba 'utakutana na wanafunzi wa mapenzi waikaange roho yako inyauke kama mti' wakishaikaanga roho yako unachukua jumla na bimkubwa anaexit. Siku si nyingi fedha ikipungua mannyanyaso ya bimdogo yanaanza; matokeo abdalah anakuwa taabani na bimdogo anatafuta kiserengeti. Kiserengeti lazima kiwaadhibu ukoo mzima
Tatizo sio mali...
Tatizo ni kuchagua.....
Mchepuko wowowte (bila kujali jinsia ni uharibifu).
Na biblia inasema kahaba ni shimo refu....sasa bahati mbaya marehemu kadumbukia kwenye shimo alilolichagua mwenyewe
Ndio maana maandiko yanasema usiache mke wa ujana wako
ili ikusaidie nn, utatoa mchango gani...mkoa gani?wilaya gani?tarafa gani?kata gani?kijiji gani?
Mie michepuko hairuhusiwi..... sitaki kupoteza furaha yangu na kudumbukia shimoniKweli mpwa....na wewe uwe makini kwenye kuchagua michepuko.....
Mie michepuko hairuhusiwi..... sitaki kupoteza furaha yangu na kudumbukia shimoni
Halafu ujue michepuko stress tu....
Kwanza iko kikazi zaidi.....hela yangu kama haina matumizi niendee shopping
Miaka 9 mkubwa. Mbona hati alitunza.Mkuu mtoto mdogo anamiaka 9 asingepata iyo akili haraka haraka.
Ameeen ameeen....tatizo mali zikisha ongezeka hasikiagi hawa...hili fundisho tosha......bado waouliwa in direct kwa kubebeshwa ngomaTatizo sio mali...
Tatizo ni kuchagua.....
Mchepuko wowowte (bila kujali jinsia ni uharibifu).
Na biblia inasema kahaba ni shimo refu....sasa bahati mbaya marehemu kadumbukia kwenye shimo alilolichagua mwenyewe
Ndio maana maandiko yanasema usiache mke wa ujana wako
Mmmh sio wa kule kaskazini? Utakuwa umekosea..Iringa
Basi subiria movie Mkuu
Itakua sio huyu....kumbuka mzee ana mke mkubwa ukute alimpa mtoto mwingine mkubwa aliyezaa na mke mkubwaMiaka 9 mkubwa. Mbona hati alitunza.
unaleta habari nusu unategemea nini hapa sio mahali pa umbea.ili ikusaidie nn, utatoa mchango gani...
achaga unafiki.unaleta habari nusu unategemea nini hapa sio mahali pa umbea.
C.c Patience teh. Mahondaw atamfikishia taarifa lol. Hawaelewagi hawa hadi yawakute. Nina baba angu mkubwa alidhulumiwa hadi nyumba, na kuna siku gari imemuharibikia kasema akapumzike hapo home kidogo, mbonq aliitiwa mwizi mchana kweupe, akalala selo. Tukiwaambia watulie na wake zao aah hawaelewi
kui ukuje
Huyo mtoto aliyeona baba anawekewa dawa, bila neema ya Mungu, hiyo chuki yake dhidi ya wanawake, sijui kama atakuja kuoa na sijui atakuwa anawatreat vipi wanawake. Itamuathiri mno kisaikolojia
Teh tunacheka japo inaumiza. Tukiwaambia hawaelewiTeh!, kama vile mazuri kucheka lakini mbona ni kujitakia!, as if watu wamelazimishwa kuwa na hao wa pembeni, na matokeo always yanakuwa sio mazuri unless kama mke mwenyewe ndo analeta matatizo.
Hiki kisa kinasikitisha lakini.