Mke kamuua mumewe kisa mali

Mke kamuua mumewe kisa mali

Natamani maisha ya "ZAMA ZA MAWE", maisha raha mstarehe.
Unaishi pangoni,unavaa ngozi ya mnyama au kufunika sehemu ya mbele kwa majani,nyama si gharama.Changamoto zingine nakubaliana nazo. Maisha bila stress.

Leo hii kuwa nacho ni tatizo katika kizazi hiki cha TAMAA. Angalia familia ya bilionea Msuya inavyoteketea.
Ufukara ni mtihani, ila mali ni mtihani zaidi ndugu yangu...
 
Huwa nawaambia kuwa wanawake sio watu - wengine mnanikasirikia kwamba siswapendi wanawake! Sio kwamba siwapendi wanawake, hata kwenye biblia imeandikwa "Ishi na mwanamke kwa akili"
Wewe unachekesha kweli...

Wanawake sio watu, ila wakawazaa nyie watu..

Kosa la mwanamke mmoja au kikundi flani cha wanawake limekusahaulisha kuwa hata wewe umezaliwa na mwanamke.
 
Bible inasema tuishi na wanawake kwa akili.
na ndiyo muishi sasa .. kuishi na sisi kwa akili si kuchepuka ukichepuka yule ni mwanamke pia ,,.. nawaza kwa sauti unamichepuko miwili mkeo wa tatu akili yako nyingi nadhani unaitumia kwa ajili yao
 
na ndiyo muishi sasa .. kuishi na sisi kwa akili si kuchepuka ukichepuka yule ni mwanamke pia ,,.. nawaza kwa sauti unamichepuko miwili mkeo wa tatu akili yako nyingi nadhani unaitumia kwa ajili yao

Unatafuta ugomvi na watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwa nawambia kuwa wanawake sio watu - wengine mnanikasirikia kwamba siswapendi wanawake! Sio kwamba siwapendi wanawake, hata kwenye biblia imeandikwa "Ishi na mwanamke kwa akili"
na usioe
 
Huwa nawambia kuwa wanawake sio watu - wengine mnanikasirikia kwamba siswapendi wanawake! Sio kwamba siwapendi wanawake, hata kwenye biblia imeandikwa "Ishi na mwanamke kwa akili"
Kumbe biblia imesema "ishi na mwanamke kwa akili"
Nikajua imesema "mwanamke sio mtu"

Sasa huo usemi wewe umeutoa wapi?
 
Unatafuta ugomvi na watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
acha tu wagombe .. ndiyo maana wanaume wengi wa tz wanaishia kujenga nyumba na kigari basi ... akili nyingi kwa wanawake eti wanasingizia biblia imesema isha na mwanamke kwa aliki... yenywe imesema mwanamke ikimaanisha mmoja its more than enough .. sasa ukiongeza idadi lazima uwe chizi....... kwa hiyo kuongeza mwanamke zaidi ya mkeo ni vi here here vyao
 
Kumbe biblia imesema "ishi na mwanamke kwa akili"
Nikajua imesema "mwanamke sio mtu"

Sasa huo usemi wewe umeutoa wapi?
Soma na hii "Na tumuumbe mtu kwa mfano wetu, akaumbwa Adamu" Hajaumbwa Hawa! So mwanadamu ni Mwanaume tu! Hata katika lugha ya kawaida mtoto wa kiume ndo mwana, wa kike ni binti!
 
Soma na hii "Na tumuumbe mtu kwa mfano wetu, akaumbwa Adamu" Hajaumbwa Hawa! So mwanadamu ni Mwanaume tu! Hata katika lugha ya kawaida mtoto wa kiume ndo mwana, wa kike ni binti!
Hahahahaha nimecheka zaidi hapo kwenye "mtoto wa kiume ndo mwana wakike ni binti"

Ama kweli maandiko ni yale yale ila tafsiri ni tofauti.

Haya, sasa mwanaume anazaliwa na mwanamke (ambaye sio mtu)
Kwa hiyo mwanaume atakua nusu mtu nusu sijui kiumbe gani.

Si ndivyo?
 
Huwa nawambia kuwa wanawake sio watu - wengine mnanikasirikia kwamba siswapendi wanawake! Sio kwamba siwapendi wanawake, hata kwenye biblia imeandikwa "Ishi na mwanamke kwa akili"
Wanawake sio watu ni nani?
 
Back
Top Bottom