Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,036
- 28,082
***Wanawake wengi wana ushetani ndani yao
DONT TRUST QUICKLY TENDING LOVING YOU WOMEN" NOWADAYS.
***Wanawake wengi wana ushetani ndani yao
Nami nasubiri hili jibu mtani wangu, kuna wale "Kuku weupe"ambao Siku zote hunyooshewa vidole,ngoja tuone hiliHuyo nyumba ndogo ni mwenyeji wa wapi?
Mtu anakuwa na uchungu Kwa kile alichokitolea jasho, ndo maana hakuona shida kushinikiza nyumba ziuzwe ili waponde raha.Halafu hawana uchungu na watoto wala mali walizozikuta
Mungu ni mwema moja hiyo iliyosababisha kifo cha baba imesalimikaMtu anakuwa na uchungu Kwa kile alichokitolea jasho, ndo maana hakuona shida kushinikiza nyumba ziuzwe ili waponde raha.
Sasa atakosa yote, nawahurumia tu watoto, wamekosa nyumba na wamemkosa baba.
Niliuliza makusudi ili kuondoa utata, wale jirani zako wangesemwa sana leo, bahati 'mbaya' leo imemwangukia wa Iringa.Nami nasubiri hili jibu mtani wangu, kuna wale "Kuku weupe"ambao Siku zote hunyooshewa vidole,ngoja tuone hili
Huyo mtoto aliyeona baba anawekewa dawa, bila neema ya Mungu, hiyo chuki yake dhidi ya wanawake, sijui kama atakuja kuoa na sijui atakuwa anawatreat vipi wanawake. Itamuathiri mno kisaikolojiaMtu anakuwa na uchungu Kwa kile alichokitolea jasho, ndo maana hakuona shida kushinikiza nyumba ziuzwe ili waponde raha.
Sasa atakosa yote, nawahurumia tu watoto, wamekosa nyumba na wamemkosa baba.
seems a very reckless crime which will raise a few eyebrows..Lets wait for more information to be unfolded.Tuambie ni wapi ukishindwa kufanya hivyo hiyo itakuwa ni bongo movie script tu