ndo inakuaje hio mkuuWatoa ushauri msisahau ni Ndoa ya mkeka!
bado laki tano,,kulikuwa na competition kuna jamaa aliletaga posa kabla yetu na alitoa donge nono,ko si tukapandilia juu zaidi na ma mkwe tukuwezesha biashara yake akatupenda sisi ndo tuwe wakwe,,,broo mamb meng tulifanya ...
Na mitoto Yao kuishi bila baba,nadhan wanaume Kuna mahala pamebomoka Kwa kichwa.Japo ilipaswa apike mbona yoyote Kwa pesa aliyoachiwaMapenzi siyo kukomoana. Kilichopatikana, mke inabidi aridhike
Kwa tabia hizi za wanawake wamesababisha wanaume kuwazalisha tu wanawake na kuwaacha.
Good morningNa mitoto Yao kuishi bila baba,nadhan wanaume Kuna mahala pamebomoka Kwa kichwa.Japo ilipaswa apike mbona yoyote Kwa pesa aliyoachiwa
Hapo hata mimi nimepata ukakasiNdoa ya mkeka na mahari ya Milion 2 wapi na wapi!!?
Nilishawaonya humu mara kibao, mwanamke wa kufanya nae mahusiano serious ni 25yrs and beyond. Hizi nguluvi za 18-24 ni headaches tu. Ona sasa mtoto kakimbia eti kisa nyama haijaletwa.Nina rafiki yangu dam dam kaoa mwaka huu mwezi wa pili,ndoa ya mkeka ya kiislam,kabla ya kuoana walikuwa kwenye mahusiano kwa miaka miwili.
Sasa jana umetokea ugomvi mdogo kisa mke alitaka jioni wale nyama na jamaa hakuagiza boda kupeleka iyo nyama ili ipikwe jioni.maisha yetu ni haya ya uswahilini katika hili jiji la Amos.
Sasa jamaa angu kabla ya haya mambo kutokea asubuh alikuwa amemwachia elf tano kwa ajili ya mboga tu maana kila kitu kipo ndani.sasa jamaa alimwambia kuwa nyama nimegairi tumia hiyo efu tano nilokwachia asubuh ununue mboga yoyote tule jioni mke hakumjibu chochote akakata simu.kufika usiku jamaa alirudi sa nne ana njaa ya atar kakuta mke kalala hajapika chochote jamaa akamaindi akamchapa kofi tatu tu.
Asubuh mapema jamaa huwa tunaenda nae kigamboni kufata mizigo ko alimwacha wife kalala,sa nne kakuta sms mke anasema KWAHERI NITUNZIE NGUO ZANGU UKIONA ZINAKUUDHI ZICHOME MOTO.
Kumpgia hapokei simu hata mi nkampigia hapokei simu yangu.
Ndo jamaa akawa anasema hii inshu ya kukuta mke hajapika imetokea mala mbili hii ni mala ya tatu sasa,na hizo siku zingine alikuwa anamuonya kwa maneno mke hasikii,,,
Tumepiga simu ukweni mama mkwe anasema hajamuona wala ndugu zake kwingine haonekani huko.
Leo mida ya sa nane kanitumia mimi sms anasema yupo kwa shoga yake ametoka kukata tiketi ili kesho aende singida kwa bibi ake eti hataki maisha hayo.
Jamaa hakawahi kumpgia jana ndo ilikuwa mala ya kwanza na anampenda kinoma uyu shemu.
shem ni under 24 jamaa ni 30s.
JAMAA ANAOMBA USHAURI AFANYAJE JUU YA HILI KEJELI SITAKI KAMA HUNA USHAURI TULIA.
(Samahanini kwa uandishi mbovu,mi nilivokuwa shule nilikuwa science pure so masuala ya imla,insha,nomino sijui vishaz tegemeo sivijui)
Hili ndio jibu, utakuta kuna jamaa ashaanza kumfix na ndio ameenda kwake baada ya kukimbia nyumbani kwa mume. Watoto under 25 wengi huwa hawajajitambua wanahitaji nini maishani so ukioa binti chini ya umri una risk mno sababu aina ya mwanaume amtakaye huenda ikawa sio wewe sababu still anakuwa hana maamuzi thabiti.Huyo mwanamke alikuwa anatafuta tu sababu ya kuondoka kwa jamaa, pengine kabla ya kuolewa alikuwa na matarajio makubwaaa kufika ndoani kayakosa........... . Serious kabisa mtu na akili zake timamu unanuna eti kisa nyama?
Nonsense! Basi hapo mpinzani wenu kafanya counter attack yenye akili na amesha score.jamaa anampenda sana tu,hata enzi za uchumba tulipambana sana ili kum-win , alikuwa na mtu wake lakin tulitumia mbinu za kibabe sana hadi tukawachanisha tukamchukua
Duh kama mnada vile. So ng'ombe akauzwa to the highest bidder.bado laki tano,,kulikuwa na competition kuna jamaa aliletaga posa kabla yetu na alitoa donge nono,ko si tukapandilia juu zaidi na ma mkwe tukuwezesha biashara yake akatupenda sisi ndo tuwe wakwe,,,broo mamb meng tulifanya ...
HahahaaaaaTatizo alioa Singida...
Huwa hawatuliagi wanawashwa...
Unatoaje mahali mil 2?uchungu wa mahari bado haujapoa tulitoa mil 2 cash na bado tunadaiwa.
Hilo ndio tatizo kubwa.😂😂😂 na humo ndimo udhaifu wa jamaa yako uliko.kila kitu dem anacho,,na nmzuri haswa,rangi ya mtume na shape la kufa mtu
Yaani wa Singida hapo kamhurumia sanamama ake wa singida baba(r.i.p) ake msukuma ,dem kazaliwa dar
Kosa jingine la kiufundi, huwezi kudumu na mwanamke uliomuiba kwa mwanaume mwenzio. Iko siku atakimbia kwako in the same manner.😂😂😂jamaa anampenda sana tu,hata enzi za uchumba tulipambana sana ili kum-win , alikuwa na mtu wake lakin tulitumia mbinu za kibabe sana hadi tukawachanisha tukamchukua
saiv jamaa ana full stress kalipigia goma lake la zamani ,saiv kaenda huko kupunguza mawazo badae ntampitia tukapige castle lager