Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,675
- 39,092
Kuolewa kwa mahali kubwa inatokana na kabila na si dini.Mkuu kumbe na waislamu huwa wanatoa mahari kubwa!!? Maana humu kila siku tunasakamwa wakristo kwa mahari kubwa kubwa daah
Kuolewa kwa mahali kubwa inatokana na kabila na si dini.Mkuu kumbe na waislamu huwa wanatoa mahari kubwa!!? Maana humu kila siku tunasakamwa wakristo kwa mahari kubwa kubwa daah
Kumbe mlifosi kupendwabado laki tano,,kulikuwa na competition kuna jamaa aliletaga posa kabla yetu na alitoa donge nono,ko si tukapandilia juu zaidi na ma mkwe tukuwezesha biashara yake akatupenda sisi ndo tuwe wakwe,,,broo mamb meng tulifanya ...
tatizo mkiruhusiwa Tena kufanya kazi mnakengeuka,hata mi mkewang mtarajiwa lazima awe mama wa nyumbn uwezo wa kumtunza nnaoAmwache aende atapata mwingine. Na mjifunze maisha magumu siku hizi msioe goalkeepers.
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Kuolewa kwa mahali kubwa inatokana na kabila na si dini.
Kumbe mlifosi kupendwa
sawa mkuuJapo sio wanaume wote ila vijana wetu wa siku hizi ukifuatlia mengi wanayolalamikia siku za usoni tutakosa wazee wa kushauri vijana. Kama hili tu dogo la nyama linasumbua vipi yakija makubwa. Sasa. Labda hiyo nyama tunayoambiwa hapa sio ile ya buchani ni kiambishi.
Mwanamke mwenyewe goalkeeper halafu ndoa ya mkeka anaanza kusumbua hujazaa nae hata katoto. Chukua nguo zake peleka kwa wazazi uwaambie wewe hujaoa nguo. Kisha toa taarifa mahali salama ili akipata matatizo huko aishie hukohuko.
kibenten mwambie huyo rafiki yako furaha ya mtu hailetwi na vitu au mtu. Hivyo ni visababishi tu vya furaha. Atafute kisababiahi kingine cha furaha yake.
Hapana bali muolewaji amepewa nafasi kwenye Uislam kuamua mahali yake mfano mimi naweza kusema mahali yangu ni msahafu na ndoa ikapitaHaa kumbe maana kuna sehemu humu JF kuliibuka mzozo kuwa dini ndio inaamua ukubwa wa mahari.
Hizi ndoa za uswazi ndivyo zilivyo. Kuoana na kuachana ni kama kununua mboga sokoni. Hakuna cha ajabu. Mwanamke anaweza kwenda gengeni akakutana na mwanaume kwa mara ya kwanza, kesho yake wiki ijayo ikafungwa ndoa na wiki inayofuata wakaachana. Hakuna kipya!Nina rafiki yangu dam dam kaoa mwaka huu mwezi wa pili,ndoa ya mkeka ya kiislam,kabla ya kuoana walikuwa kwenye mahusiano kwa miaka miwili.
Sasa jana umetokea ugomvi mdogo kisa mke alitaka jioni wale nyama na jamaa hakuagiza boda kupeleka iyo nyama ili ipikwe jioni.maisha yetu ni haya ya uswahilini katika hili jiji la Amos.
Sasa jamaa angu kabla ya haya mambo kutokea asubuh alikuwa amemwachia elf tano kwa ajili ya mboga tu maana kila kitu kipo ndani.sasa jamaa alimwambia kuwa nyama nimegairi tumia hiyo efu tano nilokwachia asubuh ununue mboga yoyote tule jioni mke hakumjibu chochote akakata simu.kufika usiku jamaa alirudi sa nne ana njaa ya atar kakuta mke kalala hajapika chochote jamaa akamaindi akamchapa kofi tatu tu.
Asubuh mapema jamaa huwa tunaenda nae kigamboni kufata mizigo ko alimwacha wife kalala,sa nne kakuta sms mke anasema KWAHERI NITUNZIE NGUO ZANGU UKIONA ZINAKUUDHI ZICHOME MOTO.
Kumpgia hapokei simu hata mi nkampigia hapokei simu yangu.
Ndo jamaa akawa anasema hii inshu ya kukuta mke hajapika imetokea mala mbili hii ni mala ya tatu sasa,na hizo siku zingine alikuwa anamuonya kwa maneno mke hasikii,,,
Tumepiga simu ukweni mama mkwe anasema hajamuona wala ndugu zake kwingine haonekani huko.
Leo mida ya sa nane kanitumia mimi sms anasema yupo kwa shoga yake ametoka kukata tiketi ili kesho aende singida kwa bibi ake eti hataki maisha hayo.
Jamaa hakawahi kumpgia jana ndo ilikuwa mala ya kwanza na anampenda kinoma uyu shemu.
shem ni under 24 jamaa ni 30s.
JAMAA ANAOMBA USHAURI AFANYAJE JUU YA HILI KEJELI SITAKI KAMA HUNA USHAURI TULIA.
(Samahanini kwa uandishi mbovu,mi nilivokuwa shule nilikuwa science pure so masuala ya imla,insha,nomino sijui vishaz tegemeo sivijui)
Ndio asubiri kuendeshwa kama gari bovu.haya,ila sidhan kama jamaa ataweza Jana tu hadi usiku ananipigia kama uyo mkewe kanitafuta
We are polygamist in nature wote tuko hivyo hadi huyo shemeji yetuKheee kwl mnakua na vimchepuko vyenu pembeni
Madini yote yako hapo. Ila bado naendelea kuwaasa vijana. Baki bachera milele utaishi miaka mingiKwa hiyo age miaka hii wanakuwa hawana akili ya maisha bado wadogo kiakili ingawa kimwili wameshakomaa.
Ni vema kijana atumie busara ya kumuelekeza taratibu kwa mahaba ataelewa haraka zaidi. Kwa umri wake yeye anatakiwa kuwa na experience ya akili za mabinti zina operate vipi ili aende nae kwa timing (ndio kuishi nao kwa akili kwenyewe).
Mambo madogo madogo kama hayo wala asiyape kipaumbele kwenye kichwa,mtu umerudi hajapika why ugombane nae,muamshe mwambie twenzetu tukatafute chakula my love ntazimia kwa hii njaa,fanya utani kabisa ila ndani ya nafsi yako unamuamsha na kumsumbua ili kesho ajue asipopika basi utamuamsha usiku mkatafute chakula.
Haina haja ya kugombana ataenda kuna umri atafika utaona automatically anaanza kuwa serious na mahusino yenu.
Hawa wa siku hizi hawapitishwi mafunzo ya unyago kuwaandaa kwaajiri ya ndoa tunaoa mabinti wamevurugwa akili hawapo serious na maisha wanamizaha mingi.
mwambiye apige mishe ajiongezee kipato aache kufatilia mwanamkeNina rafiki yangu dam dam kaoa mwaka huu mwezi wa pili,ndoa ya mkeka ya kiislam,kabla ya kuoana walikuwa kwenye mahusiano kwa miaka miwili.