Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,050
- 5,114
Akili za tamthilia za kiphilipinoKwa hiyo age miaka hii wanakuwa hawana akili ya maisha bado wadogo kiakili ingawa kimwili wameshakomaa.
Ni vema kijana atumie busara ya kumuelekeza taratibu kwa mahaba ataelewa haraka zaidi. Kwa umri wake yeye anatakiwa kuwa na experience ya akili za mabinti zina operate vipi ili aende nae kwa timing (ndio kuishi nao kwa akili kwenyewe).
Mambo madogo madogo kama hayo wala asiyape kipaumbele kwenye kichwa,mtu umerudi hajapika why ugombane nae,muamshe mwambie twenzetu tukatafute chakula my love ntazimia kwa hii njaa,fanya utani kabisa ila ndani ya nafsi yako unamuamsha na kumsumbua ili kesho ajue asipopika basi utamuamsha usiku mkatafute chakula.
Haina haja ya kugombana ataenda kuna umri atafika utaona automatically anaanza kuwa serious na mahusino yenu.
Hawa wa siku hizi hawapitishwi mafunzo ya unyago kuwaandaa kwaajiri ya ndoa tunaoa mabinti wamevurugwa akili hawapo serious na maisha wanamizaha mingi.

naagiza nyama unaleta tupumbu