kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Hakika mkuu
😀😀😀😀Tuliambiwa elimu ndiyo ufunguo wa maisha Leo tena mnasema mke na mume kwamba kufuli la maisha limebadilishwa au???
Mbon mnatuchanganya wasaka tonge
Mdada wa mjini umuoe bila msafara wa matalumbetaMke au Mume ni ufunguo wa maisha,hivyo msidanganye,vijana wa kiume na wa kike oaneni na sio lazima mfanye sherehe
azizi kFunguo ukiwa unafungua kila mlango unaitwa master key, ila mlango ukiwa unafunguliwa na kila funguo unaitwa...... tuanzie hapo
gari?Mleta mada kama umeoa (umepata funguo), na hauna hata gari, itakuwa umebadilishiwa kitasa