Mke atumia meseji za Mume wake na Mchepuko kuandaa keki ya Birthday

Yani ni sawa na mtu akuulie mzazi wako mmoja halafu mtu mwingine aje akuambie, "hiyo ni changamoto ndogo sana si bora kakuulia mzazi mmoja je angekuulia wote wawili", bruh kuchepuka na kuwa punga yote ni makosa na yanastahili adhabu au malipo kulingana na mkosewa atakavyoona yeye
Fedheha ya Me kutatuliwa rinda ni sawa na kuwa Ke mwenzio, ni heri achepuke ataweza kujitambua na kurudi kwenye mstari ila si kuvuliwa ukamanda "uanaume" NO.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Mwanaume limemshuka. Yani wanaume wanakuaga na vituko hapo tu. Kutuita majina kwa michepuko lakini hawahamii huko ka michepuko.
Mbinu za kibaharia tu hizo msiingie uwoga. Hapo ni namna ya kum fool huyo mchepuko tu na kumfanya ajione wa maana kumbe ndezi tu.

Hujiulizi kwanini kama mkewe hafai asingemuacha kabla ya kuja kwako.
 
Sisi wanaume tunashida sana, ok chepuka lakini usimvunjie heshima mke wako kumuita majina mabaya. Kwani huwezi kuchepuka bila kumdhalilisha mkeo? Mwanamke aondoke tu huyu sio mwanamme. Hakuna kitu kibaya kama Mke au Mume kumsema vibaya mwenzake nje hiyo ni low low low....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom