Siyo kwa ujanbazi huu!Mke na mume wakigombana chukua jembe kalime. Wakija kupatana wewe nenda shambani ukavune
Kama amezaa naye waende kupima DNA.Baada ya kuinasa amekuwa akijirushia 5,000-10,000 mara mbili kila mwezi na muda wa maongezi wa tshs 1,000-2,000 kila siku.
Mume anataka amuache sasa hivi na mimba yake akilalamika kuwa ni mwizi na asiye na shukrani kwani amekuwa akimtunzia ndugu zake na mtoto aliyemkuta kwa miaka mingi tu huku huduma akizitoa.
Lakini pia anadai kuna cases nyingi tu za ye kupoteza hela kila mara bila kuelewa, ingawa alidhani ni yeye mwenyewe tu anazipoteza lkn kwa hali hii anahitimisha kuwa itakuwa ni huyo mke aliyekuwa anamchezea michezo hiyo.
Kwakuwa siku za mwizi ni arobaini amegundua hilo juzi tu baada ya kutumiwa hela ya mtu huku salio likiwa hilo tu, sasa kila akijaribu kutoa anaambiwa salio halitoshi. Alipowapigiwa huduma kwa wateja wakawa wanamwambia mbona umetoa hela mwenyewe. Sasa alipochukua taarifa za miamala ndipo alipokutana na hayo. Mke alikuwa anafuta jumbe zote anazofanya miamala mume asione.
Mimi nimemwambia amwache, tena leo usiku huu huu kwani sio mtu wa kawaida huyo dada.......huwezi kujua ameshamdanganya mangapi na amepanga mangapi dhidi yake! Vipi wadau nimeshauri vibaya?!!!!!
Atamuacha mke wake aje akuoe wewe. Shauri yakoSiyo kwa ujanbazi huu!
Ndugu, unaijua kazi yake?!!! Halafu hilo tukio limeendelea kwa mwaka mzima na kwanini amfiche mumewe kwa kufuta jumbe za miamala?!!!!!Huyu jamaa yako mwambie atafute pesa kuchukuliwa buku kila siku ndio anataka kumuacha?
Na wewe ni mchonganishi unashauri vipi wapenzi waachane?
Imeniumiza sana, nikiwa kama mlalahoi!Mume ana treat kama buzi kitaa Duuu basi sawa maamuzi anayo yeye
Siko comfortable, lakini imenilazimu kushauri tu hivyo hivyo!Comfortably kabisa unashauri wanandoa😅😅😅
Hii mada haiwuhusu wafirwaji, kaa mbali tafadhali!!Atamuacha mke wake aje akuoe wewe. Shauri yako
Sana, lkn huu uhuni hapana aisee!Wanawake mama wa nyumbani wana mazuri yao na changamoto zao
Ajamuacha 7bu ya ela hizo chche1,000 x 30 = 30,000/=
5,000 x 2 = 10,000/=
Jumla 40,000/= kwa mwezi.
Mshahuri kila mwezi awe anampa mke wake 50,000/= ya matumizi binafsi.
Huwezi muacha mtu kisa cha kingese ivo.