Mkatae mkubali heshima ya gazeti Tanzania Daima inazidi kupungua

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
46,615
Points
2,000

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
46,615 2,000
Kuingilia na kulinda personal interest za kundi, watu au mtu fulani na kuchafua jina la Zitto Kabwe kila mara, heshima na hadhi ya gazeti hili inashuka na kupungua kwa kasi sana hapa mkoani kwangu.

Nikiwa nauza magazeti, magazeti ya Rostam Aziz sasa yanafanya vizuri sana sokoni kuliko Tanzania Daima.
Fitna na majungu ndio adui yenu mkubwa MSITAFUTE MCHAWI, MNAJIROGA WENYEWE NA NDIO MAANA MNAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA.
 

Froida

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
8,646
Points
2,000

Froida

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
8,646 2,000
Ninalo Tanzania Daima ya leo ni habari Picha ya Zitto na Mh Pinda ndio imekupa wazimu,nadhani wakati mwingine hakuna sababu ya kuhisi vitu visivyostahiki kabisa,Mbona Mwananchi kuna habari picha ya Mbowe na Wassira acha hizo bwana uchonganishi tuu
 

Nkwesa Makambo

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2011
Messages
4,765
Points
0

Nkwesa Makambo

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2011
4,765 0
Kama Zitto ni habari asiandikwe? cha msingi mtoa hoja angejaribu kueleza pumba kama zipo zinazoandkiwa na tanzania daima dhidi ya zitto ndizo zijadiliwe kuliko kuandika hisia za tanzania daima kushuka huku hakuna maelezo ya maana
 

Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Messages
13,464
Points
2,000

Mzee

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2011
13,464 2,000
Who iz Zitto by the way?????
Kwasasa gazeti lolote litkalotoa habari za Zitto negatively hilo litapingwa!!!!!!!!!!!!!!!!!! Tatizo hapa ni habari ya jana jmosi.
 

Nyambala

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
4,469
Points
1,195

Nyambala

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
4,469 1,195
Kuingilia na kulinda personal interest za kundi, watu au mtu fulani na kuchafua jina la Zitto Kabwe kila mara, heshima na hadhi ya gazeti hili inashuka na kupungua kwa kasi sana hapa mkoani kwangu.

Nikiwa nauza magazeti, magazeti ya Rostam Aziz sasa yanafanya vizuri sana sokoni kuliko Tanzania Daima.
Fitna na majungu ndio adui yenu mkubwa MSITAFUTE MCHAWI, MNAJIROGA WENYEWE NA NDIO MAANA MNAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA.
Unajua allegations kama hizi ili zistick na kuwa logical inabidi ulete na some sort of ushahidi, say the last 20 releases na ukaonyesha ni namna gani Zitto anachafuliwa na gazeti hilo otherwisse utakuwa unaoperate kwa hisia!!!!! Kuhusu mauzo ya Tanzania daima kupungua kuliko yale ya Habari corp. nayo ungeleta facts mkuu otherwise hii pia ni proof kwamba unaoperate kwa hisia kwamba mauzo yanashuka say kwa sababu ya Zitto kuchafuliwa.

Sina interest na kuchafuliwa au kutukuzwa kwa yeyote, ila ni muhimu tuwe tunaweka kwanza facts mbele kabla ya kutuhumu.
 

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
42,258
Points
2,000

Ritz

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
42,258 2,000
Tanzania Daima linakufa kifo cha kawaida kabisa, uwezi kumponda Zitto Kabwe Watanzania wakakuelewa.
Pale shule ya Uhuru, Msimbazi, wanayauza kwa kilo
 

Forum statistics

Threads 1,356,538
Members 518,911
Posts 33,132,884
Top