Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,850
- 155,792
Kuingilia na kulinda personal interest za kundi, watu au mtu fulani na kuchafua jina la Zitto Kabwe kila mara, heshima na hadhi ya gazeti hili inashuka na kupungua kwa kasi sana hapa mkoani kwangu.
Nikiwa nauza magazeti, magazeti ya Rostam Aziz sasa yanafanya vizuri sana sokoni kuliko Tanzania Daima.
Fitna na majungu ndio adui yenu mkubwa MSITAFUTE MCHAWI, MNAJIROGA WENYEWE NA NDIO MAANA MNAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA.