Gazeti la Tanzania Daima wamebadili jina?

Idofu

Senior Member
Oct 24, 2022
108
187
Nauliza tu kwa wanaojua, hivi gazeti la Tanzania Daima wamebadili jina na kujiita Gazeti la Demokrasia? Au ni magazeti mawili tofauti? Kama ndio kwa nini gazeti la Tanzania Daima halipo sokoni siku hizi?
 
Hata Magazeti ya Mtanzania na Rai hayaonekani sokoni!!
 
Back
Top Bottom