Mkatae mkubali heshima ya gazeti Tanzania Daima inazidi kupungua

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,427
154,271
Kuingilia na kulinda personal interest za kundi, watu au mtu fulani na kuchafua jina la Zitto Kabwe kila mara, heshima na hadhi ya gazeti hili inashuka na kupungua kwa kasi sana hapa mkoani kwangu.

Nikiwa nauza magazeti, magazeti ya Rostam Aziz sasa yanafanya vizuri sana sokoni kuliko Tanzania Daima.
Fitna na majungu ndio adui yenu mkubwa MSITAFUTE MCHAWI, MNAJIROGA WENYEWE NA NDIO MAANA MNAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA.
 
Mbona umekuwa mkali sana leo? Au unaripoti ukiwa Tarime Mura?
Punguza munkari kaka, wachache tumeelewa ulichokiongea.
 
Ninalo Tanzania Daima ya leo ni habari Picha ya Zitto na Mh Pinda ndio imekupa wazimu,nadhani wakati mwingine hakuna sababu ya kuhisi vitu visivyostahiki kabisa,Mbona Mwananchi kuna habari picha ya Mbowe na Wassira acha hizo bwana uchonganishi tuu
 
Wacha kuwa na vurugu za maono kama limepingana na mtizamo wako ,huo ndio uhuru wa habari
 
Tatizo la tanzania daima wanataka kumchafua zitto na kumpamba mbowe na limekuwa ni jukwaa la siasa la cdm hilo ndio tatizo watu wengi hatufagilii cdm.
 
Kama Zitto ni habari asiandikwe? cha msingi mtoa hoja angejaribu kueleza pumba kama zipo zinazoandkiwa na tanzania daima dhidi ya zitto ndizo zijadiliwe kuliko kuandika hisia za tanzania daima kushuka huku hakuna maelezo ya maana
 
ukiwa CCM si rahisi kulipenda TANZANIA DAIMA na ukiwa CHADEMA si rahisi kulipenda UHURU....yetu macho tunasubiri mtuchagulie rais uchaguzi ukifika
 
Who iz Zitto by the way?????
Kwasasa gazeti lolote litkalotoa habari za Zitto negatively hilo litapingwa!!!!!!!!!!!!!!!!!! Tatizo hapa ni habari ya jana jmosi.
 
Kuingilia na kulinda personal interest za kundi, watu au mtu fulani na kuchafua jina la Zitto Kabwe kila mara, heshima na hadhi ya gazeti hili inashuka na kupungua kwa kasi sana hapa mkoani kwangu.

Nikiwa nauza magazeti, magazeti ya Rostam Aziz sasa yanafanya vizuri sana sokoni kuliko Tanzania Daima.
Fitna na majungu ndio adui yenu mkubwa MSITAFUTE MCHAWI, MNAJIROGA WENYEWE NA NDIO MAANA MNAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA.

Unajua allegations kama hizi ili zistick na kuwa logical inabidi ulete na some sort of ushahidi, say the last 20 releases na ukaonyesha ni namna gani Zitto anachafuliwa na gazeti hilo otherwisse utakuwa unaoperate kwa hisia!!!!! Kuhusu mauzo ya Tanzania daima kupungua kuliko yale ya Habari corp. nayo ungeleta facts mkuu otherwise hii pia ni proof kwamba unaoperate kwa hisia kwamba mauzo yanashuka say kwa sababu ya Zitto kuchafuliwa.

Sina interest na kuchafuliwa au kutukuzwa kwa yeyote, ila ni muhimu tuwe tunaweka kwanza facts mbele kabla ya kutuhumu.
 
Mbowe na Zito wapi na wapi?
Wajirekebishe na kuondoa tofauti zao sidhani kama Zitto ataandikwa tena.
 
Tanzania daima liko juu ata zitto yupo juuuu habari zako ni hisia tu kaka mpaka ikulu wanalijua hilo
 
Wengi wahariri wa bongo ni makanjanja tu, wanafanyakazi kuwalinda baadhi ya wa2 wala hili halina swali. Achana nao!
 
Tanzania Daima linakufa kifo cha kawaida kabisa, uwezi kumponda Zitto Kabwe Watanzania wakakuelewa.
Pale shule ya Uhuru, Msimbazi, wanayauza kwa kilo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom