Mkataba wa TFF kuipa TBC haki miliki ya kutangaza live mechi zote za NBC premier league ni wa kishenzi

TFF waliwashirikisha wengi kwani tenda ilitangazwa hadharani TBC ndiye aliyeshinda mbona hamna ubaya.
Ni kweli tenda ilitangazwa hadharani lakini iliweka utaratibu wa hovyo kwa kutaka kituo kimoja kitangaze nchi nzima!
 
Ndio ipo hivyo na hawakatazwi kutangaza hii ni biashara wakae na TBC wakubaliane kama ilivyo kwa UFM.
 
Sawa lakini ni utaratibu mbovu vinginevyo tungeshuhudia redio nyingi zaidi zikishiriki utangazaji!
 
Hakuna short cut mkuu.... hata wewe ungekuwa TFFna TPBL unatangaza tenda kwa atakayeshinda anachukua ..... ni ngumu ku deal na media ndogo ndogo kwanza hazina msuli wa kipato... hivyo kama una kituo cha matangazo waone TBC wakupe terms then upige kazi... nadhani abood Fm ya morogoro wanatangaza pia.
 
Kwa kifupi mkataba ule haufai na ni wa kifisadi!
 
Ndiyo sababu nikasema ni mkataba wa hovyo!
We nawe Usitusumbue hapa Uhovyo wake nini?
Umevunja sheria?
Au sababu redio Jogoo ya kwenu songea haitangazi ndio unaona hovyo?
Mpira ni biashara mlitaka mtangaze bure?
Kuna watu mnakera kwa kweli, hauna hoja ya msingi ila unalalamika.
Panga malalamiko yako vizuri basi daah.
 
Mpumbavu mkubwa wee! Watu wanapolalamikia sheria haina maana sheria haipo au sheria imevunjwa bali sheria iliyopo ni mbovu!

Watu wanaodai katiba mpya haina maana hakuna katiba bali iliyopo ni mbovu wanataka ibadilishwe ili wote wapate haki sawa wanayostahili!

Jaribu kuwa mwerevu usidandie hoja zinazokuzidi maarifa!
 
Naona umejidhihirisha ulivyo sasa....
Duniani kote federations huuza haki za matangazo kwanini kwa TFF iwe tabu?
Tabu hasa iko wapi ?
Ni kuuziwa TBC?
Au ni kuuza haki za matangazo?
 
Usiige kunya kwa tembo utapasuka msamba! Wahenga walisema.

Sasa wewe unalinganisha na federations za Ulaya! Huna tofauti na Chief Hagaya anayelinganisha bei ya petroli ya Marekani na Tanzania!

Stupid!
 
Back
Top Bottom