Mkataba una makosa hadi sahihi na majina

Mkataba una makosa hadi sahihi na majina

We kenge uwe na staha kidogo pumbavu wee,kuna jambo lipi jipya hapo?yaanni mzee asipate bia yake sababu ya .pumbavu km wewe.
Nyamaza nyangau we.

Umeshapata yako na wewe umeanguka kichakani watu wakakufanyia kitu nzuri ??
 
Kuna uwezekano Prof. Mbarawa hakusoma mkataba kabla ya kusaini, hadi kusaini alishaanza kusaini nafasi ya katibu mkuu.

Kuna nguvu kubwa ilitumika kupitisha hili dubwasha, haiwezekani jambo kubwa kama hili shahidi amesaini lakini hakuna jina wala cheo.

Watu wanaopigania hili lipite wanasubiri zile asilimia 35% ya uwekezaji ili wanufaike.

View attachment 2687975
The Boss
@feiza foxy

Kuna watu huku wanamdhalilisha
 
Haya tumewasikia, tungoje mkataba.

Msalimieni anna tibaijuka. Anasalimiwa na Jussa wa Unguja.
 
A
Kuna tusi gani hapo au huelewi tusi ni nini ??
Afrika ilivamiwa na Persian Empire, Roman, Ottoman.

Kabla ya wavamizi kuvamia Afrika kulikuwa na Afrika iliyostawi kwa maelfu ya miaka. Ethiopia ni Mfano.

Kemet na Ethiopia wametawala dunia kwa miaka elfu 3000 middle east kabla ya nchi kuwa nchi mfano UK. Uarabuni. Unajua hilo? Ukristo au uislamu.

Dini ya Ukristo imeanza miaka 2000 iliyopita , usilamu ni copy ya ukristo 700 BC years kuchukua nchi, maeneo.
 
A

Afrika ilivamiwa na Persian Empire, Roman, Ottoman.

Kabla ya wavamizi kuvamia Afrika kulikuwa na Afrika iliyostawi kwa maelfu ya miaka. Ethiopia ni Mfano.

Kemet na Ethiopia wametawala dunia kwa miaka 3000 middle east kabla ya nchi kuwa nchi mfano UK. Uarabuni.
Hizo story za alinacha , ni bora ukakojowe ukalale usipoteze muda wako na muda wa watu
 
Hizo story za alinacha , ni bora ukakojowe ukalale usipoteze muda wako na muda wa watu
Uwezo akili zako vzimeanzia Muhamad, Yesu kuwa mtume na waarabu kuvamia kwa Afrika 664 na wazungu miaka 2000 iliyopita Kabla ya hapo dola gani zilisimama kwa maaelfu ya miaka kutumia dini?

Kulikuwa nchi zilizo simama kabla ya wazungu na waaarabu kufuta hìstoria kuhusu mtu mweusi.
 
Nipe elimu, nikiamua kutukana hutani

Mtanganyika ametuuwa kwa maelfu zaidi ya miaka 60 sasa na anendelea kutuuwa kila ufikapo uchaguzi na ameturudisha nyuma miaka 1000 , Mwarabu alitufanya kuwa wenye kutajika ulimwenguni na kuwa na kiwango kikubwa cha huduma za afya, elimu . Mtanganyika kaja kuharibu kwake na kwetu

Mwarabu hakumuuwa mtu yeyote wala kumbambikizia mtu kesi mahakamani . Mwarabu hakuwa na majumba wala hakuiba hata senti moja alipoondoka
Kwanini msiende Oman. Wazazibari milioni mbili. Nyie karibu miliioni mbìli. wote mliyo Tanngantika.
 
"Maliasili zetu Watanzania zinachukuliwa bure haya ni maajabu,sitaruhusu hilo" Hayati Rais John Pombe Magufuli.
 

Attachments

  • VID-20230715-WA0734.mp4
    9.5 MB
Kwanini msiende Oman. Wazazibari milioni mbili. Nyie karibu miliioni mbìli. wote mliyo Tanngantika.

Ondoweni hili jeshi lenu lenye Kambi kila mtaa pamoja na usalama wengine wanavaa rubega Za kimasai
 
Mkuu usipanick , tuliza jazba, hasira.
Twende taratibu. Zazinbar ni nini bila Tanganyika? Imetokea wapi? Watu wanaitwa Wazanzibari wametokea wapi wanaitwa Wazanzibari leo. Unajua maaana ya jina la Zenji. Labda ni ndugu na Watanganyika ila hamjitambui, mnafikiri ndugu zenu ni wa Oman, Waarabu.

Umeshshawahi kumuona hata mweusi mmoja kiongozi mkubwa huko Uaarabuni? Mkiijiunga na Oman status yenh kama watu weusi itakuwa ni ipi?

Maisha, Maslahi ya nusu wa Wazanzibari yapo Tanganyika. Kipato, elimu, huduma zote maisha inapewa kama Mtanganyika mwingine. Tanganyika kiasili sio wabaguzi. Jaribu Kenya, Rwanda, Burundi, nk Uchumi wa Zanzibar unategemea Tanganyika. Siku zote.
ä
Ndugu yako anakuvamia na kukuuwa, kukutia kilema, kukunajisi na kukuharibia nchi yako , kukubambikia kesi, kuchukuwa Mali zako bila ridhaa yako ???
 
Back
Top Bottom