Uko nao walishakushughulikia?Wamsubiri nani huku niko nao hapa.
We kaa utulie ulipo tupo.
Uko nao walishakushughulikia?Wamsubiri nani huku niko nao hapa.
We kaa utulie ulipo tupo.
We binti mbona una gubu hivyo?Uko nao walishakushughulikia?
Kumbe bado vijana wanakushughulikiaWe binti mbona una gubu hivyo?
Kuna ndugu tofauti wengine wanakupa Urais, uwaziri. Ardhi maisha Tanganyika, unafikiri ungepata hizi nafasi Oman, Saudi, UAE, Kenya?ä
Ndugu yako anakuvamia na kukuuwa, kukutia kilema, kukunajisi na kukuharibia nchi yako , kukubambikia kesi, kuchukuwa Mali zako bila ridhaa yako ???
Kuna ndugu tofauti wengine wanakupa Urais, uwaziri. Ardhi maisha Tanganyika, unafikiri ungepata hizi nafasi Oman, Saudi, UAE, Kenya?
Nani aliomba alindwe? Afanye mapinduzi? Kuwapa sauti nyie kutukana hapa, Kuondoa tabaka la ukoloni? Weusi kumiliki nchi yao.Uraisi Si mlimpa wenyewe baada kutuvamia na kuuwa watu ? Mtanganyika yupi tulimuuwa tupate uwaziri?
Huyo ndugu tofauti ni yupi na mumetufanya ni koloni la Tanganyika?
Huko Tanganyika kuna nini na mumujazana huku wengine bmnalala kwenye mapaa ya majumba ya Michenzani?
Nyie hata kukubari mwanamke kuwa Rais ni vigumu. Kujali dini zingine hamna uvumilivu wowote mnajua kuua wengine wote.ä
Ndugu yako anakuvamia na kukuuwa, kukutia kilema, kukunajisi na kukuharibia nchi yako , kukubambikia kesi, kuchukuwa Mali zako bila ridhaa yako ???
Yaan hapo mbalawa mbarawa alikuwa na haraka haraka ya ku sign ndio alikosea akaanza ku sign sehehemu isiyo yake 🤣🤣🤣Kuna uwezekano Prof. Mbarawa hakusoma mkataba kabla ya kusaini, hadi kusaini alishaanza kusaini nafasi ya katibu mkuu.
Kuna nguvu kubwa ilitumika kupitisha hili dubwasha, haiwezekani jambo kubwa kama hili shahidi amesaini lakini hakuna jina wala cheo.
Watu wanaopigania hili lipite wanasubiri zile asilimia 35% ya uwekezaji ili wanufaike.
View attachment 2687975
Chukueni uhuru wenu muaangane kuwa watumwa wa Oman.Rais w JMT anaweza kuwapa uhuru.Uraisi Si mlimpa wenyewe baada kutuvamia na kuuwa watu ? Mtanganyika yupi tulimuuwa tupate uwaziri?
Huyo ndugu tofauti ni yupi na mumetufanya ni koloni la Tanganyika?
Huko Tanganyika kuna nini na mumujazana huku wengine bmnalala kwenye mapaa ya majumba ya Michenzani?
Mtetezi wa wezi naye ni miongoni mwa wezi.Haya tumewasikia, tungoje mkataba.
Msalimieni anna tibaijuka. Anasalimiwa na Jussa wa Unguja.
Chukueni uhuru wenu muaangane kuwa watumwa wa Oman.Rais JMT anaweza kuwapa uhuru. Mpeleke raia wenu Oman kuwa watumwa. Oman ina watu milioni tano. Wengi wageni. Nchi ndogo.⁷
Nani aliomba alindwe? Afanye mapinduzi? Kuwapa sauti nyie kutukana hapa, Kuondoa tabaka la ukoloni? Weusi kumiliki nchi yao. Zenji. Kutoka Oma mli7tuomba tuwakombee. Mpate haki kama binadamu, milikuwa watumwa. Mmesahau?
Naweza kushughulikia hao vijana na ukoo wako wote nyau wee kaa kimyaKumbe bado vijana wanakushughulikia
Anayeomba kulindwa unamuulia raia zake kwa maelfu ? una akili kijana wewe ?? Tabaka la ukoloni kwani mkoloni alikuwa nani ?? msidanganywe, tumie japo akili ndogo ya kuku iliyomo kichwani mwenu , UHURU NDIWO HUU WA KUULIWA KILA UCHAGUZI ??Nani aliomba alindwe? Afanye mapinduzi? Kuwapa sauti nyie kutukana hapa, Kuondoa tabaka la ukoloni? Weusi kumiliki nchi yao.
Hata unachokiandika hukielewi , endelea kushughulikiwa na vijanaNaweza kushughulikia hao vijana na ukoo wako wote nyau wee kaa kimya
Huyo mahbubu mkataba umesema ata act individually. So haizekani kukuta jina la mtu mwingine. Mahala popote ktk huo mkataba kwa upande wa Dubai na hata mahamani atakuja huyu huyu.Kuna uwezekano Prof. Mbarawa hakusoma mkataba kabla ya kusaini, hadi kusaini alishaanza kusaini nafasi ya katibu mkuu.
Kuna nguvu kubwa ilitumika kupitisha hili dubwasha, haiwezekani jambo kubwa kama hili shahidi amesaini lakini hakuna jina wala cheo.
Watu wanaopigania hili lipite wanasubiri zile asilimia 35% ya uwekezaji ili wanufaike.
View attachment 2687975
Usibadilishe mjadala kafungue Uzi wako. Kwanza who wants Zanzibar today?Mbona mliichukua Zanzibar kwa kuuwa watu, msilalamike kwa hicho kibandari , nyinyi mumetupotezea roho za watu , uhuru wa nchi na kiti chetu UN
Anayeitaka Zanzibar ni nyinyi Tanganyika , Mbona mumeweka jeshi lenu kambi kila mtaa na kumejaa usalama wa Taifa mpaka wengine wanavaa rubega za kimasai.Usibadilishe mjadala kafungue Uzi wako. Kwanza who wants Zanzibar today?
Hatuna haja na Zanzibar.Anayeitaka Zanzibar ni nyinyi Tanganyika , Mbona mumeweka jeshi lenu kambi kila mtaa na kumejaa usalama wa Taifa mpaka wengine wanavaa rubega za kimasai.
Inakuwaje kila uchaguzi mnakuja kuuwa watu kuendeleza uvamizi
Piganieni kuondosha majeshi yenu na usalama na mapolisi waliojaa kila uchochoro mtupe uhuru wetuHatuna haja na Zanzibar.