Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,025
Kitu kidogo sana hicho kuweza kuufanya mkataba mzima ukapoteza maana. Watu wa TICTS mna kazi nzito sana ya kumpinga mwekezaji mkubwa kiuwezo kuliko nyinyi.Kuna uwezekano Prof. Mbarawa hakusoma mkataba kabla ya kusaini, hadi kusaini alishaanza kusaini nafasi ya katibu mkuu.
Kuna nguvu kubwa ilitumika kupitisha hili dubwasha, haiwezekani jambo kubwa kama hili shahidi amesaini lakini hakuna jina wala cheo.
Watu wanaopigania hili lipite wanasubiri zile asilimia 35% ya uwekezaji ili wanufaike.
View attachment 2687975