Mkataba una makosa hadi sahihi na majina

Mkataba una makosa hadi sahihi na majina

Kuna uwezekano Prof. Mbarawa hakusoma mkataba kabla ya kusaini, hadi kusaini alishaanza kusaini nafasi ya katibu mkuu.

Kuna nguvu kubwa ilitumika kupitisha hili dubwasha, haiwezekani jambo kubwa kama hili shahidi amesaini lakini hakuna jina wala cheo.

Watu wanaopigania hili lipite wanasubiri zile asilimia 35% ya uwekezaji ili wanufaike.

View attachment 2687975
Null n Void[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzanzibari ana uhuru wa kufanya chochote Tanganyika kama raia mwingine yeyote (kumiliki ardhi, kuishi, kufanya shughuli za kiuchumi na kuchagua au kuchaguliwa kuwa kiongozi). Hakuna pengine popote duniani anapoweza kufanya hayo kwa uhuru huo.
Hiyo ndiyo faida ya Muungano kwa raia wa Zanzibar.
Mambo haya yanapojadiliwa yanahitaji busara na hekima ya kutosheleza.
Wazanzibari wako Na viwanda vya meli Holland , Wazanzibari ni mawaziri Oman , Mzanzibar mwanamke ni Balozi wa Canada Kuwait

Kama kunafaida za muungano kwa Zanzibar sikiliza hii

 
Yaani bandari ni yetu sisi anakuja?mtu tunampa bure.

Halafu anatupoza na 35%.

Hatujafikiri sawa sawa.
Chadema hao ndio wameuza hii Bandari. Heri tungechagua CCM watawale.
 
Ni vigumu sana kuwatenganisha wazanzibari na watanganyika, wote walishakuwa watanzania.
Tofauti zilizopo ni za kisiasa tu, wananchi wamejenga muingiliano ambao siyo rahisi kuvunjika.
Sisi ni ndugu kiasili. Kuliko ndugu zetu wa Zanzibar wavyohisi. Wakiungana na Oman wote watakuwa watumwa.
 
Sisi ni ndugu kiasili. Kuliko ndugu zetu wa Zanzibar wavyohisi. Wakiungana na Oman wote watakuwa watumwa.
Wanatakiwa kuchukua tahadhari badala ya kufuata uelekeo na maneno ya wanasiasa kama nyumbu.
Za kuambiwa wachanganye na za kwao.
 
Isuue ni muhimu kuhusu Rais, kiongozi inabidi atuongoze. Atoe kauli. Inashangaza kiongozi yupo kimya kuhusu issue muhimu. Ni wajibu wake kuongelea na kulituliza taifa
Kazi ya Rais wa JMT ni ipii.


Tuwekeeni kakiba kuhusu hata ĥuu mkataba.
Wakiwa kwenye dini ile hujiona waarabu kama ndugu zake ndiyo maana hashughuliki nalo. Ana ndugu zake Oman.
 
Wanatakiwa kuchukua tahadhari badala ya kufuata uelekeo na maneno ya wanasiasa kama nyumbu.
Za kuambiwa wachanganye na za kwao.
QUite, jiulize hizi nchi za kiarabu zina wa treat vipi weusi. Watumwa walichukulima Mamilioni kuna usawa wowote kati ya mweusi na mwarabu. Wote waliuliiwa kitatili sana.

Waliua watumwa wote nchi zao wanaume weusi nchi zao źibaki za kiarabu., weusi wote waliuliwa. Unalipwa pesa kubwa kuua mweusi na kulinda serikali zao zote.
 
Pia taahira yule mtu aliyekubali kuvamiwa na kuuliwa watu wake kwa maeelfu halafu akasaini kuiondowa nchi yake UN na kuukabidhi uhuru wa nchi kwa Tanganyika
Tushaongea hapa ni mada kwa mada tuelewane.
Ukianza matusi tunayo pia na usilete ujinga wako humu
 
Haya mkuu mjiunge na Oman mtakakuwa watumishi wao, watumwa, Msituombe kuwakomboa Mapinduzi mengine.
Kwani nani aliwaomba ?? ukombozi ni huu wa kuweka kibaraka wenu kwa mtutu wa bunduki kila uchaguzi na kuuwa watu ??
 
Tushaongea hapa ni mada kwa mada tuelewane.
Ukianza matusi tunayo pia na usilete ujinga wako humu
Kuna tusi hapo au hukuona huyo ninayemjibu aliandika kitu gani ??Tulia dawa iwaingie
 
Pia taahira yule mtu aliyekubali kuvamiwa na kuuliwa watu wake kwa maeelfu halafu akasaini kuiondowa nchi yake UN na kuukabidhi uhuru wa nchi kwa Tanganyika
Yule aliyeua watu wake kwa kushitikiana na Nyerere ni tahira
Aliyeasisi muungano wa kitahira pia ni tahira
Aliyegawa BANDARI (mipaka) kwa Waarabu ni tahira tahira tahira zaidi
 
Kwani nani aliwaomba ?? ukombozi niKwq huu wa kuweka kibaraka wenu kwa mtutu wa bunduki kila uchaguzi na kuuwa watu ?

Kwanini nusu ya Raia wa Wazazinbari Wako Tanganyika? Hadi Rais, mawaziri, wakuu wa mkoa na wilaya. Ni kwamba tuna upendo. Hatuna ubaguzi Zanzibar rais mkristo.. kuruhusu watu zaidub milioni wabara waishi Zenji.

Mkataba umesainiwa na Wazinbari wkte. Rais , waziri, katibu mkuu.
 
Kuna uwezekano Prof. Mbarawa hakusoma mkataba kabla ya kusaini, hadi kusaini alishaanza kusaini nafasi ya katibu mkuu.

Kuna nguvu kubwa ilitumika kupitisha hili dubwasha, haiwezekani jambo kubwa kama hili shahidi amesaini lakini hakuna jina wala cheo.

Watu wanaopigania hili lipite wanasubiri zile asilimia 35% ya uwekezaji ili wanufaike.

View attachment 2687975
Name ya huyo aliyesaini kama permanent secretary kwa Tanzania haipo, name kwa Emirate na position yake, haipo. Halafu nilikuwa naamini signatures huwa wanaanza kusaini wadogo kama Permanent Secretary na kisha wanakuja wakubwa kama Waziri.
 
Kuna uwezekano Prof. Mbarawa hakusoma mkataba kabla ya kusaini, hadi kusaini alishaanza kusaini nafasi ya katibu mkuu.

Kuna nguvu kubwa ilitumika kupitisha hili dubwasha, haiwezekani jambo kubwa kama hili shahidi amesaini lakini hakuna jina wala cheo.

Watu wanaopigania hili lipite wanasubiri zile asilimia 35% ya uwekezaji ili wanufaike.

View attachment 2687975
Name ya huyo aliyesaini kama permanent secretary kwa Tanzania haipo, name kwa Emirate na position yake, haipo. Halafu nilikuwa naamini signatures huwa wanaanza wadogo kama Permanent Secretary na kisha wanakuja wakubwa kama Waziri.
 
Kwanini nusu ya Raia wa Wazazinbari Wako Tanganyika? Hadi Rais, mawaziri, wakuu wa mkoa na wilaya. Ni kwamba tuna upendo. Ujinga kwax watu wanao tupagua.

Mkataba umesainiwa na Wazinbari wkte. Rais , waziri, katibu mkuu.
Na kwa nini watanganyika kwa maelfu pamoja na majeshi yao na usalama na mapolisi wako Zanzibar na watanganyika wengine wanalala juu ya mapaa ya nyumba za michenzani
 
Na kwa nini watanganyika kwa maelfu pamoja na majeshi yao na usalama na mapolisi wako Zanzibar na watanganyika wengine wanalala juu ya mapaa ya nyumba za michenzani
Mkuu Kiusalama zaidi. Wewe unamthamini Mwarabu kuliko Mtatanganyika ni akili zenu. Ila Watanganyika wanajali maslahi yenu.
 
Nusu ya wazinbari wa zaidi ya milioni wanaishi Tanganyika, ilala Dar, .morogoro, Tanga wanamiki ardhi, majengo tanganyika. Wana haki zote kama Watanganyika. Tukienda kule kuna sherià maalumu kuwathibiti Watanganyika.

Unaona tupo sawa ?
Wana uhuru mpaka wa kuuza mali za watanganyika, wakati watanganyika hawaruhusiwi kupeleka hata ndizi huko Zanzibari.
 
Mkuu Kiusalama zaidi. Wewe unamthamini Mwarabu kuliko Mtatanganyika ni akili zenu. Ila Watanganyika wanajali maslahi yenu.
Mtanganyika ametuuwa kwa maelfu zaidi ya miaka 60 sasa na anendelea kutuuwa kila ufikapo uchaguzi na ameturudisha nyuma miaka 1000 , Mwarabu alitufanya kuwa wenye kutajika ulimwenguni na kuwa na kiwango kikubwa cha huduma za afya, elimu . Mtanganyika kaja kuharibu kwake na kwetu

Mwarabu hakumuuwa mtu yeyote wala kumbambikizia mtu kesi mahakamani . Mwarabu hakuwa na majumba wala hakuiba hata senti moja alipoondoka
 
Wana uhuru mpaka wa kuuza mali za watanganyika, wakati watanganyika hawaruhusiwi kupeleka hata ndizi huko Zanzibari.
Bunge lilopitisha ni la Wazanzibari na Mwanasheria Mkuu pia aliye draft mkataba ni Mzanzibari,
Waziri Mkuu Mzanzibari , Makamu wa Raisi Mzanzibari

Kumbe mkuki kwa nguruwe mnasahau kuwa sisi tmepoteza uhuru wetu watu kwa maelfu kuuliwa . Tmepoteza kiti UN yote hayo hamyaoni mnapiga kelele kwa kijibandari chenu. Mkuki ni nguruwe tu
 
Back
Top Bottom