Nusu ya wazinbari wa zaidi ya milioni wanaishi Tanganyika, ilala Dar, .morogoro, Tanga wanamiki ardhi, majengo tanganyika. Wana haki zote kama Watanganyika. Tukienda kule kuna sherià maalumu kuwathibiti Watanganyika.
Unaona tupo sawa ?
Kukaa si kuuliwa , Wazanzibari zaidi ya 300 000 wako nchi za kiarabu , wazanzibari zaidi ya 100 000 wako Kenya , wengine wako Msumbiji , Uganda , Zimbabwe , Kongo nk wako na wana haki zote hiyo haina maana kuwa uvamizi uendelee.
Huko Tanganyika hata kabla ya uvamizi wa 1964 Wazanzibari wlikuwa wanaishi na hakukuwa na mambo ya mauwaji. Hata huku Zanzibar watanganyika wamejaa mpaka Uraisi wamepewa na Magufuli. Huku Mtanganyika ana haki zaidi kuliko mzanzibari. Kupata kitambulisho cha Mzanzibari mkaazi ni rahisi kwa Mtanganyika kuliko Mzanzibari. Wazanzibari wengi wamenyimwa kitambulisho kuwazuia wasipige kura