Mkataba una makosa hadi sahihi na majina

Bunge lilopitisha ni la Wazanzibari na Mwanasheria Mkuu pia aliye draft mkataba ni Mzanzibari,
Waziri Mkuu Mzanzibari , Makamu wa Raisi Mzanzibari

Kumbe mkuki kwa nguruwe mnasahau kuwa sisi tmepoteza uhuru wetu watu kwa maelfu kuuliwa . Tmepoteza kiti UN yote hayo hamyaoni mnapiga kelele kwa kijibandari chenu. Mkuki ni nguruwe tu
Kwani sisi Tanganyika yetu iko wapi?
Maelfu kati yenu mmejazana huku Tanganyika wakati sisi kuja kwenu mpaka tuwe watalii!
Hata ndizi tu? Nyie watu mna mtimanyongo nyie!
 
Wana uhuru mpaka wa kuuza mali za watanganyika, wakati watanganyika hawaruhusiwi kupeleka hata ndizi huko Zanzibari.
Muungano flani wa hovyo sana. Hakuna muungano kama ĥùu dunia nzima Mfa iUK umoja wa kifalme naruhisiwa kuwekeza popote kwenye umoja iingawa Tanganyika ni kubwa sawa na England. Ukilingalinisha Na Nothern Ireland, Wales, Scotland.p⁰⁰
Mtanganyika ametuuwa kwa maelfu zaidi ya miaka 60 sasa na anendelea kutuuwa kila ufikapo uchaguzi na ameturudisha nyuma miaka 1000 , Mwarabu alitufanya kuwa wenye kutajika ulimwenguni na kuwa na kiwango kikubwa cha huduma za afya, elimu . Mtanganyika kaja kuharibu kwake na kwetu

Mwarabu hakumuuwa mtu yeyote wala kumbambikizia mtu kesi mahakamani . Mwarabu hakuwa na majumba wala hakuiba hata senti moja alipoondoka
Mkuu asili yako ni ipi, wewe ni mtu mweusi. Maoni yako ni yapu kuhusu utumwa miaka 800.
 
Hujitambui, Waarabu walikata nguvy za kiume za Mwafrika. Ndio wabaguzi wakubwa duniani.
 
Mkuu Kiusalama zaidi. Wewe unamthamini Mwarabu kuliko Mtatanganyika ni akili zenu. Ila Watanganyika wanajali maslahi yenu.

Hujitambui, Waarabu walikata nguvy za kiume za Mwafrika. Ndio wabaguzi wakubwa duniani.
Ndivyo mnavyoambiwa kanisani

Kwanini myaone nyinyi tu huko bara sisi huku hatuyaoni , tunayaona mambo yenu ya kishenzi tu kutuvurugia nchi na panya road wenu??

Dada yako akienda U, USA kulinganisha na Saudi Arabia. Utakuwa na wasiwasi akienda nchi ipi?
 
Ndivyo mnavyoambiwa kanisani

Kwanini myaone nyinyi tu huko bara sisi huku hatuyaoni , tunayaona mambo yenu ya kishenzi tu kutuvurugia nchi na panya road wenu??

Kwaninu mpo zaidi ya milioni moja Tanganyika, bara. Kwanini nyie watu milioni mbili msiende UAE, Saudi Arabia, Oman, itawakubali kama Tangangika inavyowakubali linivna kuwalinipa haki zote?

Lini uliona rais wa nchi ya mwarabu mweusi? Hata kiongozi mwandamizi uarabuni?
 
Muungano flani wa hovyo sana. Hakuna muungano kama ĥùu dunia nzima Mfa iUK umoja wa kifalme naruhisiwa kuwekeza popote kwenye umoja iingawa Tanganyika ni kubwa sawa na England. Ukilingalinisha Na Nothern Ireland, Wales, Scotland.p⁰⁰

Mkuu asili yako ni ipi, wewe ni mtu mweusi. Maoni yako ni yapu kuhusu utumwa miaka 800.

Utumwa ulikuwepo hata kabla Yesu kuzaliwa . Biblia imejaa mambo ya kitumwa .

Utumwa ulianzishwa na Makanisa

Meli ya kwanza iliyochukuwa watumwa kutoka Afrika ikiiwa JESUS

soma

1 Timothy 6:1 "Allwho are under the yoke of slavery should consider their masters worthy of full respect, sothat God's name and our teaching may not be slandered."

Matthew 10:24 "A student is notgreater than the teacher. A slave is not greater than the master."

1 Peter 2:18 "Slaves,submit yourselves to your masters with all respect, not only to those who are good andconsiderate, but also to those who are harsh."

Colossians 3:22 "Slaves,obey your earthly masters in everything; and do it, not only when their eye is on you andto win their favor, but with sincerity of heart and reverence for the Lord."
 
Kwaninu mpo zaidi ya milioni moja Tanganyika, bara. Kwanini nyie watu milioni mbili msiende UAE, Saudi Arabia, Oman, itawakubali kama Tangangika inavyowakubali linivna kuwalinipa haki zote?

Lini uliona rais wa nchi ya mwarabu mweusi? Hata kiongozi mwandamizi uarabuni?

Kumbe hata hujui Mfalme wa Kuwait ana rangi gani, Mfalme wa Oman Qabus alikuwa na rangi gani?

Waafrika kazi yenu ni uvivu , wizi, ngono , ulevi , majisifu, kula sana , madharau , kuharibu kile kilichotengenezwa tayari
 
Utumwa ulikuwepo hata kabla Yesu kuzaliwa . Biblia imejaa mambo ya kitumwa .

Utumwa ulianzishwa na Makanisa

Meli ya kwanza iliyochukuwa watumwa kutoka Afrika ikiiwa JESUS

soma

1 Timothy 6:1 "Allwho are under the yoke of slavery should consider their masters worthy of full respect, sothat God's name and our teaching may not be slandered."

Matthew 10:24 "A student is notgreater than the teacher. A slave is not greater than the master."

1 Peter 2:18 "Slaves,submit yourselves to your masters with all respect, not only to those who are good andconsiderate, but also to those who are harsh."

Colossians 3:22 "Slaves,obey your earthly masters in everything; and do it, not only when their eye is on you andto win their favor, but with sincerity of heart and reverence for the Lord."
Uwe na akili timamu, unafikili ni sawa kuwa mtumwa kwenye nchi yako. Sababu una ngozi nyeusi. Unajitambua. Wewe ukienda Saudi, Dubai, Oman unafikiri utaheshimika?
 
Kumbe hata hujui Mfalme wa Kuwait ana rangi gani, Mfalme wa Oman Qabus alikuwa na rangi gani?

Waafrika kazi yenu ni uvivu , wizi, ngono , ulevi , majisifu, kula sana , madharau , kuharibu kile kilichotengenezwa tayari
Tuwekee picha, Watumwa walichukuliwa na tunaambiwa ni vijana milioni 50. Ukiangalia makolonu ya Spain, Uingereza kuna weusi.
 
Kuna uwezekano Prof. Mbarawa hakusoma mkataba kabla ya kusaini, hadi kusaini alishaanza kusaini nafasi ya katibu mkuu.

Kuna nguvu kubwa ilitumika kupitisha hili dubwasha, haiwezekani jambo kubwa kama hili shahidi amesaini lakini hakuna jina wala cheo.

Watu wanaopigania hili lipite wanasubiri zile asilimia 35% ya uwekezaji ili wanufaike.

View attachment 2687975
Maajabu ya ulimwengu!!
 
Kuna Rais Kama Obama uarabuni. Hau wanakuona wewe ni takakaka, kukuua chapchap
Tatizo labda hujafika uarabuni
Tuwekee picha, Watumwa walichukuliwa na tunaambiwa ni vijana milioni 50. Ukiangalia makolonu ya Spain, Uingereza kuna weusi.

Hizo picha zilichukuliwa na camera gani kwani camera ya kwanza ilivumbuliwa wakati utumwa haupo tena ??

mnadanganywa makanisani tu
 
Kuna Rais Kama Obama uarabuni. Hau wanakuona wewe ni takakaka, kukuua chapchap

Mwarabu alimuuwa nani ?? mbona kila mwaka wanakwenda kuhiji Makkah?? Hizi ndege kila siku siku zinakuja na kuondoka kutoka uarabuni mbona hatujasikia kuuliwa mtu ??

Mbona uko mjinga sana na chuki za kikanisa tu kama babu yenu Padri Slaa ??
 
Uwe na akili timamu, unafikili ni sawa kuwa mtumwa kwenye nchi yako. Sababu una ngozi nyeusi. Unajitambua. Wewe ukienda Saudi, Dubai, Oman unafikiri utaheshimika?

Huu ndio utumwa wa mwisho , kwa uvivu mnaiba mikungu ya ndizi

Mwarabu alimuuwa nani ?? mbona kila mwaka wanakwenda kuhiji Makkah?? Hizi ndege kila siku siku zinakuja na kuondoka kutoka uarabuni mbona hatujasikia kuuliwa mtu ??

Mbona uko mjinga sana na chuki za kikanisa tu kama babu yenu Padri Slaa ??
Usiweke matusi, tusifike huko.
 
Back
Top Bottom