tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,896
- 19,755
Mkuu kasema nyumba hakujenga nae istoshe ushahidi ndio utatoa judgment kua wagawane mali plus nyumba,au wagawane vyombo,fenicha etc
Ok, pole!
IWAPO WAKATI MALI HIZO ZILICHUMWA WAKIWA BADO HAWAKUPEANA TALAKA KISHERIA(which is true)
Dada atagawana nae tu, huna namna ya kuzuia!
Unless kama umiliki wa hizo mali unasoma tarehe za nyuma ya ndoa yao.
BADO NI MUME WAKE HUYO, until wamepeana talaka!
Sikushauri kuanza au kuendelea kuinvest nae huyo mwanaume mpka hapo utakapooneshwa talaka yao!