Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Ya siku nyingine ni uongo?Ukweli utanisamehe bure ila ya leo ni ya kweli kabisa. Kama nadanganya MUNGU ANIHUKUMU. Watu8 NAKUHESHIMU MNOO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya siku nyingine ni uongo?Ukweli utanisamehe bure ila ya leo ni ya kweli kabisa. Kama nadanganya MUNGU ANIHUKUMU. Watu8 NAKUHESHIMU MNOO.
Una dhambi wewe ndo nini kuwa unatuletea hadithi hewa!!! Mnawaponza wengi wenye uhitaji wa ushauriUkweli utanisamehe bure ila ya leo ni ya kweli kabisa. Kama nadanganya MUNGU ANIHUKUMU. Watu8 NAKUHESHIMU MNOO.
Dada huu ni ukweliii mtupu. Hata namba yangu ya cm naweza kukupatia inbox . Basi tu huko nyuma nilipamba huo Uzi kwamba NI mume wakati ni boy friend tu. Ila ya leo ni zaidi ya u kweli.Una dhambi wewe ndo nini kuwa unatuletea hadithi hewa!!! Mnawaponza wengi wenye uhitaji wa ushauri
jamani ustaarabu ni kitu cha bure kabisa
Anyway tuachane na hilo, nilitaka kujua tu maana kwa wakati huo ulionekana una furaha na maisha ya ndoa...Ukweli utanisamehe bure ila ya leo ni ya kweli kabisa. Kama nadanganya MUNGU ANIHUKUMU. Watu8 NAKUHESHIMU MNOO.
Fresh tu kuwa na amani bestDada huu ni ukweliii mtupu. Hata namba yangu ya cm naweza kukupatia inbox . Basi tu huko nyuma nilipamba huo Uzi kwamba NI mume wakati ni boy friend tu. Ila ya leo ni zaidi ya u kweli.
Acha ajiue huyo fala, watu wanaotishia kujiua oooh bila wewe siwezi ni upuuzi mtupu kwani maisha lazima yaendelee.Mimi ni mwanamke
Nipo kwenye mahusiano ya kuishi pamoja kupika na kupakua na mwanaume Mwenye miaka 45 kwa muda wa miaka 3 Huku tulipanes Mipango yakuoana. Wakat tunaanza alidai Ana watoto 2 (ke na me) mama tofauti ila hajawaoa. Na mtoto mkubwa anaishi na shangazi yake. Anadai alichelewa kuoa kutokana na ugumu wa maisha aliyokulia na pia alihaso sana hadi Leo kufikia alipo.
Kuna kipindi niliwahi kupata tetesi kwamba améoa ila alikataa katakata. Juzikati alipata msiba wa moja ya mzazi wake ikabidi aende ila alikataa mimi nisiende. Baada yayeye kuondoka nikapanga Safari nikamfwata ila nilipofika stand akanipotezea hakuja kunipokea.
Niliamua kutumia mbinu zangu hadi kufika kwao na kukuta msiba.
Nilishangaa kukuta ameoa tena ndoa ya kanisani. Tulipokaa na kuzungumza alijitetea kwamba walishaachana kwa kuwa hawakuwa na maelewano na ni kama ndoa haikuwepo. Walishasuluhishwa ikashindikana. Ila Bado mwanamke alikuwa hajahamisha Mali zake kutoka kwenye nyumba ya mwanaume (aliikuta alipoolewa).
Pía alijitetea alinificha kwa kuwa aliogopa nitamwacha.
Mipango iliyopo: amesema anatoa talaka kisha mengine yaendelee kama yalivyopangwa.
Sasa wazoefu na wasio wazoefu naomba mnishauri nifanyejee?? Maana siko vizuri.
Nyongeza:
Tuliwekwa kikao mimi yeye mkewe na ndugu zake. Nikamuuliza alikuwa wapi mbona ckuwahi kumsikia Hata cku moja wala kumuona? Mkewe alikiri kutokuwa vizuri na mumewe na pía ashapata mwingine. Na watu wote walikiri kwamba ile ndoa kiuhalisia ilibaki vyeti. Na ndio wakashauri talaka ili kila mtu awe huru.
Bwana ameomba msamaha sana na anatishia Hata kujiua.
Dada huu ni ukweliii mtupu. Hata namba yangu ya cm naweza kukupatia inbox . Basi tu huko nyuma nilipamba huo Uzi kwamba NI mume wakati ni boy friend tu. Ila ya leo ni zaidi ya u kweli.
Ha ha ha ha ha.Yaani wewe unasemaga ukweli mchungu hadi najikuta sikupendi
Ha ha ha ha.
Kwenda tu ni kuonesha jinsi gani sio muelewa ungebaki usingejua na mapenzi yangeendelea ila kuenda sindio kuonesha sio muelewa kinga'nga'anizi ila mwenye kilanga aliliwi waka awekewi matanga jifunze kuwa na ukomo akuna msafi pote ukikatazwa Jambo uwe mwelewaNimeng'ang'ania nn sasa na kiranga changu ni kipii?? Sasa nisingeenda si nisingeujua ukweli
Pole kwa mkasa,,, fanya hivi usimuache saiv maana upo kwenye mshtuko endelea nae huku ukitibu jeraha lako, ukijiona umepona mbwage