Umetokea pango la wapi ulikoibuliwa?cdm cdm cdm!kule ameguswa slaa na mbowe mumekuwa mbogo sana,halfu mnakurupuka tu,kwl watu kama nyie mpewe nchi,dr slaa angekuwa na akil finyu kama zenu leo hii cdm isingekuwa hapo.Jaribuni kujheshmu muwe fair pia
Hizo zote ni tuhuma tu na hamna popote ilipothibitishwa kuwa Mkapa ndiye mmiliki!
Haya yote ni maneno ya waandishi wasio na ethics!
Nyerere wako wengi. Mimi nilikutana na Gerard Nyerere nikampongeza kwa kuwa Mbunge wa Chadema,akaniambia,siyo yeye,kwamba ni kaka yake ndiye amekuwa Mbunge.
Halafu Mkapa alipokwenda Butiama Familia iliamua kwamba ni lazima aitwe mmoja wa Familia. Kwa hiyo Mkapa pia ni familia ya Nyerere.
Huu siyo mgogoro,it is just a storm in a tea cup. Vincent Nyerere anapaswa kuweka mawazo yake katika sera na aache kumshambulia Mkapa.
hawa akina watoto wasizungumzie mambo ambayo hawayajui baba yao alisitiriwa sana na akina mkapa.wakati baba yao akiugua wawo walikuwa bussy na ulevi wasianze kudharau watu waliowaenzi baba zao laana itawakumba.hata kama ni kampeni ni lazima kijaana aweke adabu kwa watu waliowazidi umri.Ganesh,
The way unavyotetea Mkapa ingekuwa vizuri ukatuthibishia kuwa Mkapa hakuhusika.
The issue ni kwamba Mkapa na timu yake (Lowassa, Jk, nk.) walisuka mpango wa kummaliza Mwalimu kule kule hospitalini. Wali collude na Madaktari kumchinja Mwalimu ili asiwazibie Riziki.
hawa akina watoto wasizungumzie mambo ambayo hawayajui baba yao alisitiriwa sana na akina mkapa.wakati baba yao akiugua wawo walikuwa bussy na ulevi wasianze kudharau watu waliowaenzi baba zao laana itawakumba.hata kama ni kampeni ni lazima kijaana aweke adabu kwa watu waliowazidi umri.
mpingauonevuMy Take:
Mkapa anaendaje kwa mama Maria wakati alisema Vincent sio Ukoo huo(kumbe Mzee Muongo?)
Rais Mstaafu Benjamini William Mkapa amemuomba mjane wa Mwalimu Julius Nyerere ampatanishe na Mbunge wa Msoma mjini Vicent Nyerere. hawa akina watoto wasizungumzie mambo ambayo hawayajui baba yao alisitiriwa sana na akina mkapa.wakati baba yao akiugua wawo walikuwa bussy na ulevi wasianze kudharau watu waliowaenzi baba zao laana itawakumba.hata kama ni kampeni ni lazima kijaana aweke adabu kwa watu waliowazidi umri.
Hizo zote ni tuhuma tu na hamna popote ilipothibitishwa kuwa Mkapa ndiye mmiliki!
Haya yote ni maneno ya waandishi wasio na ethics!
My Take:
Mkapa anaendaje kwa mama Maria wakati alisema Vincent sio Ukoo huo(kumbe Mzee Muongo?)
Ameomba poo mbona ametoa jibu rahisi kwa hoja nzito? Hatutaki kujua kwamba vicent nyerere ni familia ya JKN hapa tunataka ajibu tuhuma zilizotolewa na VN tu!!
Aksante sana mkuu kwa "majibu yako mazuri" nawaachia wasomaji wafaidi uhondo.....kuna mtu ametuasa humu kwa signature yake kuwa tufiche upumbavu wetu na tusijaribu kuficha busara zetu.... sasa naona wewe umehamua kwenda kinyume cha ushauri huo...
May take....
Kuitetea CCM na watendaji wake ni gharama kubwa mno na it is nearly impossible...
Pili yanayomkuta mkapa na yatakayomkuta alaumiwe alomdanganya arudi kwenye majukwaa ya kisiasa.
Tatu na la mwisho....pana tofauti kubwa kati ya Igunga na Arumeru....
Na kama ilivyokuwa kwa Makamba kule Tarime mkapa ajiandae kwa aibu kuu. Nawasilisha!!
Mimi naangalia tu! Ooooooooooooooh Vicent kidato cha nne hatutegemei busara wala nini sijui. Aliyewahi kuwa Raisi wa nchi hii mwenye madegree kebekebe ameshindwa kutumia hata elimu yake kuzuia mdomo wake usiropoke! Ona sasa he is down on his knees kwa kijana wa kidato cha nne! Mwenye werevu na kujua mambo! If you are living in glass house?