Mkapa aomba suluhu kwa Nyerere

Mkapa aomba suluhu kwa Nyerere

mzimu wa nyerere utakutesa sana ben.

na hii ni moja ya sababu nyingi za kumfanya nyerere kuwa 'mtakatifu'
 
Wanafiki wakubwa hao ccm,wanaweka mabango mengi kumsifu mwalimu kumbe ,wauaji.muda umefika kwa watanzania kupambana nao hao mpaka nchi iwe safi.tuirudishe tanzania ya amani .sasa kuna magaidi humu mafisadi.wanaotaka watoto wao waiende kusoma nje .na watoto wa wenzao washindwe hata kulipa fee ,ambayo wao wanaongeza.mungu sasa anawapiga fimbo ,haya yote ni mwenyezi mungu anafanya kazi sasa hivi.tumechoka sana na vitimbwi vyao hao,.tunawasubiri uchaguzi wa rais unaokuja sasa hapo ndio mtaona.
 
Mkapa uliongoza vizuri watu wakakusifia, jiepushe na mambo ya vijana, pumzika kwani uliyoyatenda tuliyakubali. Wanasiasa wanakutumia visivyo. Maintain your respect ben!
 
mkapa alikuwa anaropoka bila kujua sasa inakula kwake alisahau jina nyerere ni jina kubwa ndani ya taifa hili.
 
You better continue believing that Mbowe has bought a mansion in Dubai for Tsh 300/-

Japo umeandika T 300/- nadhani ulitaka kusema Tshs 300M. Sasa mansion in Dubai ununue kwa Tshs 300M?!? Wewe kweli unatoka Mpumbuli. Sidhani hata kama Dar umefika.
 
hawa akina watoto wasizungumzie mambo ambayo hawayajui baba yao alisitiriwa sana na akina mkapa.wakati baba yao akiugua wawo walikuwa bussy na ulevi wasianze kudharau watu waliowaenzi baba zao laana itawakumba.hata kama ni kampeni ni lazima kijaana aweke adabu kwa watu waliowazidi umri.

Wamemsitiri NYERERE!!!!!!!!! EEEEH!
NATAFUTA TUSI, NIKIRUDI NAKUBANDIKA NALO
 
zamani wakati nakua nilijua mtu mwenye upara ana akili kweli but kwa hii ya mkapa nimegundua kumbe ukiwa na upara ndo unakuwa boga kabisa na hasa hasa ukiwa na upara halafu mnene na una domo kubwa....
 
hawa akina watoto wasizungumzie mambo ambayo hawayajui baba yao alisitiriwa sana na akina mkapa.wakati baba yao akiugua wawo walikuwa bussy na ulevi wasianze kudharau watu waliowaenzi baba zao laana itawakumba.hata kama ni kampeni ni lazima kijaana aweke adabu kwa watu waliowazidi umri.
hivi maana ya kumsitiri kumuua?
 
sina tatzo na cdm kubeba nchi ila nina tatizo na nyie wanajf-cdm hamko fair kwnye kujenga hoja!kwa mfano hoja ya ubadhilifu wa pesa za msaada alzotoa sabodo!hakna alyejenga hoja mnakurupuka tu,mara mnalazimisha mod afute thread,hoo lete ushaidi.Mnaharibu chama mna ushahabiki usio na maana,let us be fair in decision making
Kuna ushahidi wa madai hayo mkuu...au ni hasira za waliokosa uwenyekiti wa bavicha.....
 
linapoteka swala kama hili huwa nakumbuka sera za jino kwa jino....mkapa ilibidi apigwe mawe hadi kufa tena hadharani.!
 
Mkapa staafu kama Mwinyi, Nyamaza jitulize na kazi zako za UNCTAD GENEVA
 
.........hivi kweli unampoteza mtu duniani kwa tamaa ya fedha tu? mtu mwenyewe hujajaliwa hata kuzaa, ungezaa ungemaliza wengi (kama ni kweli) ubinafsishaji oyeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!,
 
hivi huyu si ndiye aliyesema kuwa huwezi zungumza kama hujafanya utafiti
 
Huenda Mkapa alimaanisha kuwa familia ni BABA,MAMA na watoto. Hiyo ndiyo iliyompelekea atamke kuwa VN si katika miongoni mwa
familia ya JKN!

HAKUSEMA familia ja JKN Alisema familia ya Nyerere na kwa maana hiyo yako hata Akina Madaraka sio familia ya Nyerere pia....
 
HAKUSEMA familia ja JKN Alisema familia ya Nyerere na kwa maana hiyo yako hata Akina Madaraka sio familia ya Nyerere pia....


Nawashauri CDM waachane na hili swala la Nyerere wpige kampeni. Linawa derail kwenye hoja ya msingi ya ardhi elimu na ajira. Ole Sendeka ameshawasaidia vijana wangapi ajira kutoka katika jimbo lake. Unemployment kule ni 100 percent, leo hii anajisai kuwa atamsaidia Siyo-hii? CDM tumieni data kujibu mapigo ya hawa CCM
 
Back
Top Bottom