Nasema hivi... Kama kweli Mkapa anajiamini na kweli hakumuua Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aende mahakamani!! Sio kumsumbua Mama yetu eti kupatanishwa!!
Na nawahakikishia hapa jamvini "Mh. Mkapa hawezi thubutu hata kusogerea uwanja wa Mahakama!!"
Wote teteeni kwa msilolijua, ila yaliyonyuma ya kifo cha Mzee wetu ni mengi, tena jiulizeni swali dogo tu, "kwanini Mh. Mkapa asiseme naenda kumshitaki VN kwa Mama Maria au Familia, badala yake anaomba kupatanishwa tu!!??"
Hakuna kashfa nzito itakayomkumba Mkapa kama hii ya kumuua JKN, "kwanini asiende Mahakamani au kwenye familia ya Nyerere kushtaki ili VN akose ushahidi awajibishwe!!?"
I 'll be back.