Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

mmmh naona mkapa sasa anaogopa kivuli chake na anahitaji nguvu za dola kumlinda nacho.
 
na Baaadooooo...nakwambiaa tunawasubiriaa mafisadi wote kwenye uchaguzii ujaoo..piaa...maana tukiona chama kimewapitisha kwenye kura za maoni hapo ndio chama kitapasuka kabisa...hatuwezi kuvumiliaa.......nani mkombozi wa kukinusuru chama na maharamia wanaokiwinda kwa hali yeyote ilee??wahindi ,mafisadi wote wanataka bungeni kuwe ndio sehemu kuficha madhambi yao..na kufanikisha biashara zao za kuifilisi nchi yetu....uzalendo wapi jamani........
 
justice delay is justice denial, kwahiyo kama hii inchi inafuata utawala wa sheria, basi mstaafu wetu angekuwa amefikishwa kunako husika. Na matatizo haya ya kuchelea kuchukua hatua zifaazo ndizo zinazo changia watu kuchukua sheria mkononi
 
Hawa Jamaa Wanakatisha Tamaa Yani Pinda Anadhubutu Kusema Hivyo Oooh My God Tuko Peke Yetu Pinda, Naye Ni Walewale Just Give Him Time.mtasikia Pinda Kauza Kwa Wahindi Mount Kilimanjalo.
 
Pinda Mshikaji Acha Papala Ya Kusema Sema Ama Kweli Power Ina Halibu Huyu Bwana Naona Hajui Yeye Akili Yake Iko Tanu Bado, Mkapa Ataendelea Kuzomewa Hadi Aondoke Na Bresha.
 
Watu mnataka nchi iendeshwe kama genge... Acheni tuone taratibu wanazozisema kama zitafanyika au laa. Mkapa amefanya makosa mengi sana kwa kuwafuga mafisadi akijua fika vitu wanavyofanya na yeye mwenyewe kujilimbikizia pamoja na kumangalia mkewake akiiba hela za yatima na kinamama watanzania. Mungu hato ruhusu watu kama hawa waishi tu kwa amani... lazima atapata shida sana na atakosa amani kama hivyo mara azomewe. Atakufa FISADI, atashtakiwa CCM lazma wamtoe mtu kafara lasivyo waowenyewe watakufa.
 
na Baaadooooo...nakwambiaa tunawasubiriaa mafisadi wote kwenye uchaguzii ujaoo..piaa...maana tukiona chama kimewapitisha kwenye kura za maoni hapo ndio chama kitapasuka kabisa...hatuwezi kuvumiliaa.......nani mkombozi wa kukinusuru chama na maharamia wanaokiwinda kwa hali yeyote ilee??wahindi ,mafisadi wote wanataka bungeni kuwe ndio sehemu kuficha madhambi yao..na kufanikisha biashara zao za kuifilisi nchi yetu....uzalendo wapi jamani........

ndugu yangu wee!
wewe pamoja na wenzio msiozidi hata 50 ndo mtakuwa na msimamo huo, ila hao wanaoandamana na mapokezi ya kuwalaki mafisadi wako wangapi?............think twice
 
Hivi ukimuuliza mtu kitu akakataa kukujibu wakati analo jibu utamchukuliaje mtu huyo?
 
Hivi Hawajui Kila Mtu Atavuna Anacho Kipanda Au Naye Anaandaa Mazingira Ya Kutozomewa Akihalibu.
 
justice delay is justice denial, kwahiyo kama hii inchi inafuata utawala wa sheria, basi mstaafu wetu angekuwa amefikishwa kunako husika. Na matatizo haya ya kuchelea kuchukua hatua zifaazo ndizo zinazo changia watu kuchukua sheria mkononi

mfano mzuri wa nchi inayofuata utawala bora wa sheria tumeuona zambia. ila hapo kwenu sheria inawafuata walala hoi na kuwakwepa hao mnaowaita vigogo.

swala la kuchukua sheria mikononi hilo ndio linakuwa kimbilio la walala hoi nchi nyingi. nadhani hii ndo njia pekee ya kuwashtua viongozi kuwa wazalendo wamechoka.
 
Tuliwambia Ukiwa Kwenye System Huwezi Ukafanya Vitu Nje Ya System..that Is ccm Principle Hata Aje mama Rwakatare Pale She Must Follow The System....she Will Do The Same
Goodluck Pinda

mungu Ibariki Tanzania
 
"""Hivi ukimuuliza mtu kitu akakataa kukujibu wakati analo jibu utamchukuliaje mtu huyo?""

""""""""TUNAMWITA FISADI"""""
 
Hapa Solution Ni Kuamua Ccm Basi
Hiyo Ndio Solution Iliobakia...nani Anaanza ....hapo Ndipo Pagumu..inabidi Uingie Vijijini Ukaabadilishe Wale Wanaoujua Raisi Bado Nyerere Chama Ccm Peke Yeke....mungu Ibariki Tanzania
 
Kinyambisi Nadhani Huyu Mugwana Wame Mblackmail Some Where Mbona Jk Kawa Kama Zezeta Wana Jf,lets Help Him Les Find Out Hawa Jamaa Mtandao Wao Ni Mkubwa
 
Pinda anajidhalilisha sana, alivyochaguliwa watu kidogo walidhani kuwa angefanya maajabu lkn ni walewale, hivi jamani tutaongea hivi mpaka lini wakati kila aingiae anaongea uozo tuu
 
Back
Top Bottom