Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,726
He! He! He! mweee jamani! Kwani hela za bara bara na shule ni zake kama Ndesamburo? Mbona hata mtandao wamejenga shule na bara bara?
Sijuhi inabidi tuanze kuulizana madarasa ya shule. Hoja unazotoa ni za emotion na mapenzi yako .
Kwa mfano: Clinton aliacha nchi ina surplus na kwa hesabu zilizopo sasa Bush ataacha nchi ikiwa deficit.
Vilevile hesabu zako za reserve kutosha miezi 10 sio sahihi. Kama dollar billioni 2 zilitosha miezi 10 mwaka 2005 b
Kama kutakuwa na uchunguzi au mashitaka dhidi ya Mkapa hawezi kujitetea kwa kusema aliacha reserve, alijenga barabara, alijenga shule mpya au uwanja wa taifa.
Mkuu Philemon,
Heshima mbele, kwenye jimbo la Zitto hakuna bara bara ambayo imejengwa na matandao? maana nakumbuka kuna wakati alisema yeye mwenyewe hapa, Kama ni shule hata mtandao wako mbele sana mkuu, halafu ni wajibu wa serikali na wananchi, wala sio kiongozi yoyote yule, kwa sababu nafikiri unajua kuwa Kilimanjaro mkoa wenye shule nyingi kuliko zote bongo, hazikujengwa na serikali wala Mkapa, wala muungwana,
Nakumbuka one time uliwahi kusema kuwa Rupia ni msafi, na sasa unasema Mkapa ni msafi, wote hawa wana one thing in common wake zao ni wachagga!, Ahsante mkuu.
Otherwise, wabunge wa CCM na hasa Kimaro, shemeji yake Mkapa wamepania kutimiza kiu yetu wananchi ya kutaka Mkapa atinge kwenye mikono ya sheria, na sio mbali mkuu maana hata mabalozi kutoka nje wanatusaidia kwenye hili, kama walivyotusaidia kwenye ishu ya Chenge, wananchi hatuwezi kushindwa na fisadi Mkapa, hata atetewe na watu kama wewe,
Wananchi hatuwezi kutishiwa nyau ma mafisadi period, tutakula nao sahani moja tu, mpaka kielweke!
THE family of the late Mwalimu Julius Kambarage Nyerere intends to summon ex-president Benjamin Mkapa to Butiama Village next month to discuss widespread allegations of corruption and abuse of office now besetting the former head of state.
Philemon ,
Argument zako nyingi zimejaaa fallacy mkuu , simply kwa kuwa Mkapa aliacha reserve sio sababu inayomruhusu yeye kuiba hela sijui kama tunakubaliana katika hilo. Hii hoja ni ya kitoto , Mkuu Philemon wazungu wanasema " Two wrongs don't make a right ".
Ngoja nikuulize maswali machache
1. Je ni kweli kwamba Mkapa alishindwa kuitetea katiba ya jamhuri ya muungano.
2. Je unafikiri itakuwa ni sahihi kutokana na vitendo alivyovifanya itakuwa ni sahihi kumwita Mkapa mwizi.
Ninauliza hayo kwa makusudi kwa sababu inawezekana tunakuargue mambo makubwa hapa wakati kuna vitu ambavyo ni basic ambavyo hatukubaliani.
Philemon ,
1. Je ni kweli kwamba Mkapa alishindwa kuitetea katiba ya jamhuri ya muungano.
2. Je unafikiri itakuwa ni sahihi kutokana na vitendo alivyovifanya itakuwa ni sahihi kumwita Mkapa mwizi.
Ninauliza hayo kwa makusudi kwa sababu inawezekana tunakuargue mambo makubwa hapa wakati kuna vitu ambavyo ni basic ambavyo hatukubaliani.
Sijuhi inabidi tuanze kuulizana madarasa ya shule. Hoja unazotoa ni za emotion na mapenzi yako lakini ni utumbo katika uwanja wa sheria na ethics. Serikali kutumia na kuacha reserve haina kitu au negative sio kosa la jinai. Na kiongozi hashitakiwa kwa kuacha hazina haina kitu.
Kwa mfano: Clinton aliacha nchi ina surplus na kwa hesabu zilizopo sasa Bush ataacha nchi ikiwa deficit. Pamoja na peformance yake katika uchumi, watu hawakumwachia Clinton kuendeleza ufuska wake akiwa kama rais.
Vilevile hesabu zako za reserve kutosha miezi 10 sio sahihi. Kama dollar billioni 2 zilitosha miezi 10 mwaka 2005 basi dollar millioni 800 zitatosha zaidi ya miezi minne mwaka 1995 na hiyo ni hesabu ya mashine za matendo tu.
[/B]
Kama kutakuwa na uchunguzi au mashitaka dhidi ya Mkapa hawezi kujitetea kwa kusema aliacha reserve, alijenga barabara, alijenga shule mpya au uwanja wa taifa. Itabidi ajitetee kwa kuonyesha sheria za nchi zilivyompa ruhusa kufanya kile alichofanya.
Na wewe kama mtetezi wake tuletee misingi ya sheria kuonyesha alichofanya kilikuwa katika misingi ya kisheria
Hakuna Mtanzania anayetaka Mkapa afungwe jela ama kunyongwa..
..binti maryam hewala barrister...that is really personal attack..i can say below the belt kwa sababu hoja hapa si elimu yangu..hoja inajulikana ....neverthless busara ya mtu haijalishi elimu.....mbona hizi hoja zipo wazi!!..hata hivyo napenda kukuakikichia IQ yangu ni moja ya nzuri...usiwe na shaka!!!!
...national reserve is one of the determinats of economic indicators..uliza mchumi yoyote...
...rule of law haipingiki ...nikuulize je kikwete anaiheshimu...tangu aliponza kutuhumu kuanzia watu wa unga,majambazi hadi sasa mafisadi...nani kafikishwa mahakamani ....!!???
shukrani yangu imelenga kutambua udhaifu wako mkubwa ktk kupambana kwa hoja na jazba za matusi na dharau ya kijivuni,si mjuaji bali mdini uliyekosa hoja ya kupambana na mzee PM, tupe facts achana na mentality za udini ktk kumshikisha mtu adabu,tambua "HAKUNA HAKI ISIYO NA WAJIBU" JK ALIKIRI MWENYEWE KUWA ANAYO HAZINA YA KUTOSHA NA AMBAYO HAIJAWAHI KUTOKEA TANGU TANGANYIKA IJITAWALE,TUAMBIE WEWE NI DOLAR KIASI GANI? NI KULALAMA NA KUTUKUNA. MKO WENGI MNAONG'ANG'ANIA MKAPAxxxxx70 LAKINI ZINAPOWEKWA HOJA ZA KITAALAMU HAPA MNAISHIA KUTUKANA NA KUWAHUKUMU WENZENU ETI SI WAZALENDO, NCHI HII IMEPITIA MAMBO MENGI, MWALIMU ANGELIWEZA KUSHITAKIWA KWA KUIPELEKA NCHI VITANI KAGERA, MWINYI KAMA MKAPA ANGERUHUSU RIPOTI YA WARIOBA ITOKE HADHARANI YANGELIKUWA MENGINE HAPA, TUNAPASWA TUWE WAKWELI JAMANI, TUJIULIZE NI NANI ASIYE NA HATIA KATI YETU NA AWE WA KWANZA KUMTUPIA MAWE MKAPA? JE NI KAWAWA? MSUYA? SALIMU? MWINYI? KIKWETE? LOWASA?SUMAYE? BUTIKU? NI NANI HASA KATI YAO? TUOMBEANE HERI TU NA KWA SASA TUIANGALIE KATIBA YETU KAMA INAWEZA KUREKEBISHWA NA KUJIBU SHIDA ZETU KWA MAANA YA KUTUFANYA SOTE TUWE SALAMA NA SI KUMKOMOA MTU FULANI. UNADHANI NI KWANINI CLINTON ALISALIMIKA KAMA SIYO PERFOMANCE YAKE NA MISIMAMO YAKE ILIYOKUWA WAZI KTK SERA YA NJE YA MAREKANI ,REPUBLICAN NA MAYAHAUDI WALITAKA KUMNG'OA PALE KWA SABABU YA AGENDA ZA CAMP DAVID NA SI HIYO YA KULA MAPAPAI IKULU,WAKATUMIA NGUVU NA HILA SASA UMEONA MPENDA SIFA KICHAKA ALIVYOWAACHA SOLEMBA,NCHI IMEYUMBA SANA KWA KUMUACHIA MHUNI WA TEXAS ,STAY FOCUSED
...umuhimu wa kuwawajibisha wezi wetu bila kulazimika kuangalia wamefanya mazuri gani na mangapi! Tunaowapa nafasi ya kuongoza nchi au taasisi wanatakiwa wafanye kazi zao kwa ufanisi na uadilifu mkubwa, hivyo mazuri kama aliyoyafanya Mkapa ni sehemu ya wajibu wake na sio kinga dhidi ya madhambi aliyoyafanya...
You cant be this certain as if umefanya research Mkandara, mimi ni mmoja wa watanzania wengi ambao tungependa kumona akiozea jela!
Kuna mtu kauliza, je Mkapa angeiweka wazi ripoti ya Warioba/angeamua kuchukua hatua za kisheria je kina Mwinyi wangepona?
mimi nauliza kwa nini iwe Mkapa tu? kwani utawala wa Mwinyi ulikuwa safi? kwa nini na mikataba iliyowekwa kipindi cha Mwinyi isichunguzwe ili ikiwezekana wote mkapa na mwinyi wafikishwe mahakamani?(just curious tu wana ndugu)
Hii ni sawa na kujitetea kwa kusema mbona jana fulani kaiba hamsemi lakini leo mimi kujaribu tu mnanitia hatiani.