Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

NINGEPENDA KUWAKUMBUSHA WAKULU HAO KUWA THE BASIC SOCIAL UNIT/ENTITY NI MOYO,MEANING PSYCHOLOGICAL MOYO AND ANATOMICAL ONE,HIVI BASICALLY BINADAMU WOTE WENYE PSYCHOLOGICAL STATUS SAWA WANAFANA BILA KUJALI VYEO,MALI,KUJULIKANA N.K INGAWA HIVYO VYOTE HUWA VINACHANGIA HEALTH PSYCHOLOGY IWAPO VITATUMIKA KWA UADILIFU.

HIVYO KUTOKUWA MWADILIFU KATIKA KUTUMIA STATUS ULIYOKUWA NAYO YAPELEKEA ILL-PSYCHOLOGY,NA NDIO MAANA NI RAHISI KUMKATA MUOVU KWA SABABU ILL-PSYCHOLOGY YAPELEKEA RESTLESS.

NAWASHAURI TU NYIE MAFISADI-CHENGE,MKAPA,ANNA MKAPA,YONA ......BORA MUREJESHE PEACE OF MIND KWA KUKIRI MAKOSA NA KUREKEBISHA ACCORDINGLY....KILA MWANADAMU ANA MAKOSA,NYIE YA KWENU NI KU ABUSE TAIFA LA WATU 40MIL,BASI REJESHENI HIZO HAKI ZETU,ILI MUPATE HEALTH-PSYCHOLOGY ,MUSIJE MUKAANZA KUROPOKAROPOKA HADHARANI TENA PASIPOSTAHIKI KAMA YULE MWENZENU EL,MUKAPATA KI SUGAR,HEART ATTACK .....et al.
NI MTIZAMO TUUU.
manouver
 
Kama kawaida Yao Chadema wamekuwa wakirukia mambo ya CCM,ila kwa suala la List of Shame wao ndio walionlianzisha.............

Ya Ben, Anna, Yona na wengine yameshaandikwa sana na media na pia kunachozungumzwa hapa si chama cha siasa. La msingi ni kupata mtu mwenye ujasiri wa kulianzisha goma na wengine wajiunge wacheze. Naamini watu wengi sana wanayajua ya BWM na wnzake, ila wenye ujasiri wa kusimama bungeni (kulianza goma) si wengi. Huyu mheshimiwa amethubutu na huenda ikawa mwanzo wa BWM kulazimishwa kuongea na pia kuchukuliwa hatua stahiki.
 
NINGEPENDA KUWAKUMBUSHA WAKULU HAO KUWA THE BASIC SOCIAL UNIT/ENTITY NI MOYO,MEANING PSYCHOLOGICAL MOYO AND ANATOMICAL ONE,HIVI BASICALLY BINADAMU WOTE WENYE PSYCHOLOGICAL STATUS SAWA WANAFANA BILA KUJALI VYEO,MALI,KUJULIKANA N.K INGAWA HIVYO VYOTE HUWA VINACHANGIA HEALTH PSYCHOLOGY IWAPO VITATUMIKA KWA UADILIFU.

HIVYO KUTOKUWA MWADILIFU KATIKA KUTUMIA STATUS ULIYOKUWA NAYO YAPELEKEA ILL-PSYCHOLOGY,NA NDIO MAANA NI RAHISI KUMKATA MUOVU KWA SABABU ILL-PSYCHOLOGY YAPELEKEA RESTLESS.

NAWASHAURI TU NYIE MAFISADI-CHENGE,MKAPA,ANNA MKAPA,YONA ......BORA MUREJESHE PEACE OF MIND KWA KUKIRI MAKOSA NA KUREKEBISHA ACCORDINGLY....KILA MWANADAMU ANA MAKOSA,NYIE YA KWENU NI KU ABUSE TAIFA LA WATU 40MIL,BASI REJESHENI HIZO HAKI ZETU,ILI MUPATE HEALTH-PSYCHOLOGY ,MUSIJE MUKAANZA KUROPOKAROPOKA HADHARANI TENA PASIPOSTAHIKI KAMA YULE MWENZENU EL,MUKAPATA KI SUGAR,HEART ATTACK .....et al.
NI MTIZAMO TUUU.
manouver

Amen to that...One will never have peace of mind no matter how many billions you may have...kila siku asubuhi lazma uamke na uwaze 90% of my wealth belongs to the people ...Kweli judgement hapa hapa duniani..viongozi kuweni makini ...feel the wind of change and understand the tanzanian peoples pains lasi hivyo ni kisukari na kuishi kama mkimbizi ndani ya nchi yako!!
 
Ya Ben, Anna, Yona na wengine yameshaandikwa sana na media na pia kunachozungumzwa hapa si chama cha siasa. La msingi ni kupata mtu mwenye ujasiri wa kulianzisha goma na wengine wajiunge wacheze. Naamini watu wengi sana wanayajua ya BWM na wnzake, ila wenye ujasiri wa kusimama bungeni (kulianza goma) si wengi. Huyu mheshimiwa amethubutu na huenda ikawa mwanzo wa BWM kulazimishwa kuongea na pia kuchukuliwa hatua stahiki.

Goma ndiyo hilo Mbunge Kimaro keshalianzisha bungeni sasa sijui ni wangapi watalicheza au kulikimbia...Zito upooo??
 
...for those who have always wondered why or country has failed to find the tangent of exit from the evil circle of poverty amid all such super sillious excuses ranging from the credible evils of colonialism, its neo antithesis and now golbalisation, UFISADI is just the nearest reachable CLUE. UFISADI is a just cause.
 
sasa kama sera ni kujiuzulu tu? Mkapa na Anna watajiuzulu nini?
Labda kama kuna mtu anafanya uchunguzi wa kisheria tayari kuwashtaki woooote hao, kufreeze accounts zote, na kuwafikisha mahakamani. Otherwise mimi naona ni porojo tuuuu. Balali yuko wapi? kuna mabadiliko, ina maana magazeti yakishaacha kumuandika basi kesi yake imeisha?????
 
tatizo la Mkapa ni kuingia madarakani na ndoto za kutajirika, na cjui kuoa mke mchaga cjui?
 
QUOTE=Bubu ataka kusema;180802]Kalipa 70 millioni tu, anangoja malipo yake ya shilingi 146 millioni kwa siku toka TANESCO ili amalizie deni lake! Fisadi mkubwa. JK rudisha Kiwira chini ya umiliki wa serikali haraka iwezekanavyo na huo mkataba wa mafisadi Mkapa na Yona uubatilishe.[B]
Bubu kisheria unaponunua shirika la umma unatakiwa ulipe 10% ya bei ilishnisha tenda ,kwa ufupi unaposaini Memorandum of Understanding (MOU)unakabidhi na fedha hizo papohapo,baada ya hapo ndani miezi mitatu inafanyika kitu inayoitwa Due Deligency(ni kama stock taking kuthibitisha kilichoandikwa katika Tender na ulichoshindania kipo physically au kuna mapungufu) Baada hilo zoezi linalohusisha aliyenunua na muuzaji inatolewa taarifa ya pamoja ambayo inapekelekwa kwa dalali ambaye ni PSRC ili atengeneze Sale Agreement itakayotokana na Due deligency report,hapo anatakiwa awe amelipa 50% ya amount agreed kwa mujibu wa Due Deligency report,hapa namaanisha atalipa 40% na kwa vile alishalipia 10% ktk MOU anakuwa tayari amelipa nusu ya bei ya kile alichonunua,hapa automatically mnunuzi wa kampuni anakabidhiwa ili aanze uendeshaji na atapewa ratiba ya kumalizia 50% iliyobaki ktk malipo.Lakini PRSC inaweza kumkabidhi mnunuzi kampuni baada tu ya kulipa 10% ya kusainin memorandum of undestanding na hili litatendeka endapo itajidhirisha kuwa mwenendo wa kampuni na hali yake si vya kuridhisha na kuwa Due deligency report haifanani kwa kiasi kikubwa na Tender document iliyomshawishi mnunuzi,hivyo due deligency itapelekwa ktk kikao cha baraza la mawaziri na wao ndio watakaomshauri rais kuamua namna iliyo bora.

Wakubwa nimetoa maelezo haya hapa ili tujue mchakato ukoje maana mimi ni muhanga wa matatizo ya STAMICO na migodi yake tangu chumvi,Minjingu-Soda,Saadani Chumvi Kiwira -Makaa n.k, mwenye macho haambiwi tazama lakini mwisho wa siku tutauona ukweli.[/
 
Wapinzani wanachukua Hoja na kuzifanya zao kwasababu zikiletwa na wanaCCM baadae wanakumbushwa ibara ya 15:1 ya katiba ya CCM, inabidi wafunge mdomo, then wapinzani wanaanzia hapo, i dont see any problem with this. Huyu ndugu kimaro ninajua mpaka sasa ameshaelezwa akasome ibara ya 15:1 na spika na anaweza asijaribu tena katika kipindi cha ubunge chake kulisemea tena hili swala, kwa hali hiyo tunahitaji watu wa kupick hiyo hoja na kuiweka sehemu yake.

Serikali ya kikwete inahitaji kurudisha kiwira mikononi mwa serikali maana watu wenyewe hata kulipa hawajalipa, na sheria ya PPRA haikufuatwa then we are on the right move kurudisha kiwira.

Tukipata mkataba kati ya serikali na kampuni ya mkapa tunaweza kwa kusaidiana na wanasheria kujadili vizuri zaidi with confidance na kuishauri serikali kitu cha kufanya, ambaye anaweza kupata tafadhali tuwekee.
 
Mkapa, Yona washtakiwe

2008-04-23 09:05:17
Na Joseph Mwendapole, Dodoma


Hoja ya Rais mstaafu, Bw. Benjamin Mkapa na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Bw. Daniel Yona, kumiliki mgodi wa Kiwira, imetinga bungeni, kukiwa na shinikizo la kutaka wachukuliwe hatua za kisheria.

Mbunge wa (Vunjo CCM), Bw. Aloyce Kimaro ndiye aliyeibua sakata hilo bungeni, akisema Bw. Mkapa na Bw. Yona, walijimilikisha kwa bei `chee` mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira ulioko mkoani Mbeya.

Alitaka viongozi hao wachukuliwe hatua za kisheria kwa kuwa wamekosa uadilifu na kukiuka taratibu za maadili ya uongozi wa umma.

Bw. Kimaro aliibua sakata hilo wakati akichangia Muswada wa Umeme wa Mwaka 2007 juzi jioni.

Alisema licha ya kuununua kwa bei chee ya Sh. milioni 70, wameanza kufua umeme ambao wanauuza kwa Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) na kulipwa Sh. milioni 146 kila siku kama malipo yanayotokana na uwezo wa mitambo ya kuzalisha umeme.

``Yona kaanzisha kampuni na Mkapa, inaitwa Tanpower Resource Tanzania Ltd, na ndiyo iliyonunua Kiwira kwa Sh. milioni 70 tu badala ya bei halisi ya Sh. milioni 700,`` alisema.

Alisema kutokana na viongozi hao wa zamani kumiliki mgodi huo na kuanza kuzalisha umeme na kuuzia Tanesco, wanalipwa Sh. milioni 146 kila siku kama malipo yanayotokana na uwezo wa mitambo kuzalisha umeme. Tozo hilo (capacity charge) hutolewa hata kama mitambo haizalishi umeme.

Alisema viongozi hao hawaonyeshi mfano mzuri kwa mawaziri wa sasa, wizara hiyo na viongozi wengine waliopo madarakani na akahoji kwa nini hawachukuliwi hatua za kisheria.

``Hawa vijana wataiga mfano gani,`` alihoji Bw. Kimaro.
Wizara ya Nishati na Madini inaongozwa na Waziri William Ngeleja na Naibu wake Bw. Adam Malima ambao ni vijana.

``Malima kule kwake ana gesi, sasa naye aunde kampuni? ``aliendelea kuhoji na kuongeza, ``ifike mahala tuseme sasa inatosha``.

Alisema Rais Jakaya Kikwete lazima aseme mwisho na hawa wanaolihujumu taifa lazima Watanzania waseme mwisho na wahusika wafikishwe mahakamani.

``Ifike mahala sasa tuseme inatosha, Rais Kikwete sasa lazima aseme mwisho, hawa wanaotuhujumu lazima sasa tuseme mwisho, ni lazima wafikishwe mahakamani,`` alisema.

Akifafanua kuhusu Kiwira, Bw. Kimaro alisema thamani ya mgodi huo uliojengwa na Wachina mwaka 2004, ilikuwa ni Shilingi bilioni nne.

Alisema wakiwa madarakani viongozi hao, walijiuzia mgodi huo bila utaratibu wowote kwa Sh. milioni 700 lakini walilipa Sh. milioni 70.

Alisema mwaka 2006, bila utaratibu unaoeleweka walianza kufua umeme huko Kiwira na kuuza kwa Shirika la TANESCO.

Alisema anatofautiana na sera ya kuweka umeme kufanywa kuwa huria kwa sababu tayari wapo watu ambao wamejiwekea mazingira mazuri tangu mapema.

Aidha Bw. Kimaro aliitaka serikali kufuta tozo za ?capacity charge? kwa kuwa halina maana yo yote na linamuumiza Mtanzania.

Alisema haungi mkono muswada huo wa sheria na badala yake aliahidi kupambana na wizara hiyo wakati itakapowasilisha bajeti yake katika Bunge la bajeti.

Meneja Uhusiano wa TANESCO Bw. Daniel Mshana, alipoulizwa aligeuka mbogo na kutaka maswali yanayohusu shirika hilo kulipa mamilioni haya yaelekezwe kwa Bw. Yona.

``Mambo yanayozungumzwa kwenye Bunge mimi siwezi kuyazungumzia hata siku moja. Anayezungumza ni Waziri au Katibu Mkuu, usiniulize umesikia,`` alifoka.

Jitihada za kumtafuta Bw. Yona hazikuzaa matunda licha ya kumtafuta kwa simu ya mkononi na ile ya ofisini kwake Mtaa wa Sokoine kwani zote hazikuwa na majibu.

SOURCE: Nipashe
 
Power woes:MPs descend on Mkapa, Yona

2008-04-23 09:39:57
By Judica Tarimo, Dodoma


Members of Parliament yesterday blamed the power crisis Tanzania has been facing squarely on controversial agreements signed during the third-phase Benjamin Mkapa presidency, when Daniel Yona was Energy and Minerals minister.

They described the contracts as having been so overly dubious, corruption-induced and costly that they threw the country into needless acute social and economic problems.

Debating the 2008 Electricity Bill in the National Assembly, the legislators also said Mkapa and Yona were the primary cause of the current bad blood between the government and MPs over whether the bill should be endorsed.

Energy and Minerals minister William Ngeleja tabled the bill three days ago.

National Assembly Speaker Samwel Sitta was forced to extend debate on the bill, which some legislators have rejected outright.

At the centre of the controversy are provisions which open the doors to Tanzania`s electricity generation and supply sector to private and foreign players that would inevitably compete with the giant but struggling state-owned Tanzania Electric Supply Company (Tanesco).

While some MPs view the open-door policy introduced by the government as a threat to the crucial power sector and the entire Tanzanian population, others see it as a liberating factor, particularly for rural areas with no access to the benefits electricity offers.

In a dramatic turn of events, some lawmakers yesterday openly pointed an accusing finger at Mkapa and Yona over the country`s long-running power woes.

``Today, we are discussing problems with power supply in our country. But these problems were partly caused by
the former president and his friend, Daniel Yona. Using their own company, Tanpower Resource Ltd, Mkapa and
Yona bought the state-owned Kiwira coal-power project at 700m/-, which is far below the actual value of 4bn/-,`` charged Vunjo MP Aloyce Kimaro (CCM).

He said Mkapa and Yona corruptly and secretly purchased the Kiwira power project at the throwaway price in the name of implementing the privatisation policies then in vogue, adding that the controversial purchase was effected in 2005.

He expressed disappointment that, as if that was not bad enough, Mkapa and Yona went on pay a meagre 70m/- as down payment out of the full 700m/- they were supposed to pay.

``It`s extremely painful seeing that they are yet to complete paying the money (700m/-) despite the fact that the project was grossly underpriced and that they sold a state-owned company to their own firm at a paltry 700m/- instead of 4bn/-,`` a visibly shaken Kimaro noted.

He explained that Tanpower Resource and Tanesco also secretly entered into a dubious contract under which the former is now paid a daily 146m/- in so-called capacity charges.

The MP asked President Jakaya Kikwete ``to say No to corrupt public leaders`` and take severe action against all those implicated in dubious contracts that have cost the nation a fortune.

``We cannot solve our electricity and other problems if we don`t take drastic action against these corrupt public leaders. They are a huge disgrace and an embarrassment Very shameful Why do we embrace and entertain elements of such ilk?? queried a fuming Kimaro.

``It`s high time President Kikwete stood firm and said No? a big No to all corrupt leaders. He should not tolerate such leaders. The realization of a better life for all Tanzanians will be impossible if we don?t pin them down,`` he added.

Contributing on the debate, Manju Msambya (Kigoma South - CCM) said NetGroup Solutions ``killed`` Tanesco instead of strengthening the operations of the state-run firm. The South African firm was contracted to manage Tanesco during the Mkapa presidency.

``They (NetGroup) did not come with any power solution in hand, only more problems In short, I could safely say: `They came! They divided us! They netted us! And then there was no solution`,`` stated the legislator.

Opposition MP Philemon Ndesamburo (Chadema) blasted NetGroup Solutions and the third-phase government, saying both contributed to Tanesco`s degeneration, plunging the country into a power crisis without record.

``The third-phase government is the one which caused the electricity problems we are witnessing today. They came up with dubious contracts and capacity charges amounting to billions of shillings but no electricity for wananchi,`` he observed.

The government is having a hard time trying to persuade MPs into endorsing the bill, thus paving the way for its enactment.

Minister Ngeleja was scheduled to wind up debate on the bill yesterday evening but by the time we went to press the fate of the bill still hung in the balance.

SOURCE: Guardian
 
Mkapa na wenziwe warudishe migodi hiyo haraka sana, na wakamatwe haraka iwezekanavyo na kurundikwa Keko, bila dhamana ili mkondo wa sheria za wananchi uweze kufanya kazi yake!


Kwenye hili hakuna mjadala, sheria imevunjwa ni lazima ilipiwe!
 
BWM, I used to see you as leader, but you screwed up. Its high time you face the consequences...and its too late to claen up the mess..just too late.
Please use some of the resources you posses (money and connections - before they break loose) to have someone prepare a descent home in Segerea for you!
 
Mkapa na wenziwe warudishe migodi hiyo haraka sana, na wakamatwe haraka iwezekanavyo na kurundikwa Keko, bila dhamana ili mkondo wa sheria za wananchi uweze kufanya kazi yake!


Kwenye hili hakuna mjadala, sheria imevunjwa ni lazima ilipiwe!

kwani Mkapa wameshamtolea kinga ya kutomshtaki??hii ndiyo maana hana muda wa kujitetea,na kanuni mpya bunge ndio baso tena,tusahau kabisa mzee mkapa kutiwa nguvuni.

tukomae na hawa mapapa ambao wanaakamatika kwanza!
 
kwani Mkapa wameshamtolea kinga ya kutomshtaki??hii ndiyo maana hana muda wa kujitetea,na kanuni mpya bunge ndio baso tena,tusahau kabisa mzee mkapa kutiwa nguvuni.

tukomae na hawa mapapa ambao wanaakamatika kwanza!

Ndo maana nasema wapinzani waachane na kugombea uraisi, mapinduzi ya kweli tutayapata bungeni, wapinzani wangekuwa na majority wangeweza kumvua kinga mwizi wetu tukamshitaki na kumyanganya kila kitu alichonacho.
 
Ndo maana nasema wapinzani waachane na kugombea uraisi, mapinduzi ya kweli tutayapata bungeni, wapinzani wangekuwa na majority wangeweza kumvua kinga mwizi wetu tukamshitaki na kumyanganya kila kitu alichonacho.
That is what i have been saying always.zitto it is my hope you still online,this is is good idea to initiate before you go for presidntial position..

 
Ndo maana nasema wapinzani waachane na kugombea uraisi, mapinduzi ya kweli tutayapata bungeni, wapinzani wangekuwa na majority wangeweza kumvua kinga mwizi wetu tukamshitaki na kumyanganya kila kitu alichonacho.

Mkuu jamco_za, Gembe
Ni ukweli kwamba udhaifu wa upinzani wetu katika uwakilishi unaleta udhaifu mkubwa sana katika ufanisi wa chama tawala, kwani watawala wanahisi kwamba wana hati miliki ya uongozi!

Nina maoni tofauti kuhusu kugombea urais........ nionavyo mimi kugombea urais kuna malengo makuu mawili:
  1. kutafuta kushika hatamu
  2. kuimarisha chama
Hili la pili nadhani ndio nia kuu ya vyama vya upinzani kugombea urais (siamini kama kina Kyara, Pro. Shayo waliamini watashinda).
 
Wapinzani wanachukua Hoja na kuzifanya zao kwasababu zikiletwa na wanaCCM baadae wanakumbushwa ibara ya 15:1 ya katiba ya CCM, inabidi wafunge mdomo, then wapinzani wanaanzia hapo, i dont see any problem with this. Huyu ndugu kimaro ninajua mpaka sasa ameshaelezwa akasome ibara ya 15:1 na spika na anaweza asijaribu tena katika kipindi cha ubunge chake kulisemea tena hili swala, kwa hali hiyo tunahitaji watu wa kupick hiyo hoja na kuiweka sehemu yake.

Serikali ya kikwete inahitaji kurudisha kiwira mikononi mwa serikali maana watu wenyewe hata kulipa hawajalipa, na sheria ya PPRA haikufuatwa then we are on the right move kurudisha kiwira.

Tukipata mkataba kati ya serikali na kampuni ya mkapa tunaweza kwa kusaidiana na wanasheria kujadili vizuri zaidi with confidance na kuishauri serikali kitu cha kufanya, ambaye anaweza kupata tafadhali tuwekee.


Kimara nimepata nyeti kuna force nzito behind inamsimamia so hakuna madhara.Wana sema sasa ukweli baada ya kumwaga unga.Kimaro endelea hadi JK ajue kwamba hata CCM mnaweza kusema despite ibara gani.Kuna Mgombea binafsi unaweza pia kuingia Bungeni kwa ticket hiyo .
 
Watz, naomba tusiogope kupigania maslai yetu. Mkapa ni mtu hatari kwasababu ana wafuasi wengi nyuma yake aliowapata kwenye network yake ya ufisadi alipokuwa kwenye uongozi. wanalindana na watapigana kwa pamoja si rahisi kusalitiana. lakini sisi tukisimama kidete, tutawasambaratisha tu. HATA KABLA ya yule mbunge kuongea hivyo bungeni, tayari wananchi walishakuwa wanaelewa. hili jambo lilishasambaa sana mtaani hata watu wa kawaida walikuwa wanalifahamu. hata mkapa mwenyewe na Yona walikuwa wanafahamu kuwa dili zao zote zimejulikana. ndo maana hajawai hata kufumbua ule mdomo wake kuchangia chochote kile kuhusu selikali toka aage uraisi. Na ndio maana, muda ule wa uchaguzi wa wana ccm, alikuwa anajaribu sana kumtaka Dr.Kigoda liwe chaguo lake ili aje amlinde, lakini JK alikuwa ngangari nae na network yake alikuwa hayuko tayari kushindwa, hadi maji ya shingo kwa mkapa na JK akawa nominated.

JK anamlinda Mkapa. ndo maana aliwaambia watz tusimseme toka mwanzoooo? kwanini tusimseme? wakati amekuwa mbadhilifu?, HATA YULE MBUNGE alikuwa anajitoa muhanga tu kuongea vile. tunamshukuru sana kwa hili na sisi watz na wana JF naomba tuungane nae tupambane naye na tumlinde. Mkapa lazima anyang'anywe ule mradi wa kiwira, ili usimfaidishe yeye peke yake, uwafaidishe watz.

Ni mtu wa aina gani hata kama anafanya biashara kubwa nchi za wenzetu huko, ana weza kuwa analipwa milion zaidi ya miamoja kwa siku sijui mwezi sijui wiki? toka tanesco? yaani hela zote hizo ziende kwenye account ya mkapa kwasababu gani? kama kila mtu anakuwa na minajiri ya kuingia ikulu ili akachume, sisi ambao hatuna hata wazo la kufanikiwa kuingia ikulu tuko upande gani? this is not fair.

Tunatakiwa tupambe moto humu, na lazima tu watz watakuja kuandamana ili mkapa akamatwe. Na hizo hela anaziweka account gani? au anatumia majina ya watu wengine? kuna haja ya siku kuwachunguza watu wote wenye hela nyingi nje na ndani ya tz, kwasababu haya maviongozi, yanaweza yakawa yanatumia watu wengine kuweka hela kwenye account zao ili majina yao yasionekane. si mnajua tena ni sawa tu na wahindi wanavyofanya?wanachukua hela za vigogo, wanaweka kwa majina yao na wanafanya mabiashara makubwa, kumbe si za kwao. tusi we are blinded kwamba biashara ni za wahindi kumbe ni wa vigogo. hawa wahindi wanapata wapi mitaji mikubwa namna hiyo? unajua kuwa wahindi wa tz ni matajiri kuliko wahindi wa India?duh!
 
Siku zote nawaambia Changes lazima zitatokea ndani ya CCM na sio huko kwenu wapinzani. Kwani wengi wa wapinzani (sio wote) ni CCM au waganga njaa!

Mkuu FD

HIli siyo kweli hata wabunge wenyewe wa CCM wanajua kuwa wakati mwingine wapinzani wanawapa msaada sana katika kusaidia kutatua baadhi ya matatizo.

Refer DR Slaa na Mafisadi,. moto mpaka leo unauona kwa hiyo si busara kuwaita waganga njaa.

Pili refer Mama Kilango alishasema Bungeni kuwa si busara kila kazi kumwachia Zitto.

Hayo yote yanaonekana kutambua michango ya wapinzania bungeni.

Ninachojua siyo CCM wote wako tayari kutoka na kuongea kama mbunge huyu pamoja na kwamba hawaridhiki na mambo yanavyo kwenda.

Vile vile lazima utambue mchango wa wapinzania pamoja na kwamba ni wachache.
 
Back
Top Bottom