Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,869
haya tena bomu lingine hilo, wakati la chenge bado moto wake unaunguza watanzania, mkapa na yona nao wamelifumua jingine...
Kimara nimepata nyeti kuna force nzito behind inamsimamia so hakuna madhara.Wana sema sasa ukweli baada ya kumwaga unga.Kimaro endelea hadi JK ajue kwamba hata CCM mnaweza kusema despite ibara gani.Kuna Mgombea binafsi unaweza pia kuingia Bungeni kwa ticket hiyo .
Sheria ya Tanzania inafanya kazi kwa maajabu ya kutisha sana, it functions and works perfectly at catching small fish only, anyway lets see what happens next, kilio chetu ni kuwa Mkapa,Yona & Co. washtakiwe kwa style ile ile ya Kasusura, Hivi sheria inasemaje kwa Rais na Mawaziri wastaafu? wanayo immunity yeyote au ni uoga wa Manumba,Mwema na Hosea?? Help me guyz
Kimara nimepata nyeti kuna force nzito behind inamsimamia so hakuna madhara.Wana sema sasa ukweli baada ya kumwaga unga.Kimaro endelea hadi JK ajue kwamba hata CCM mnaweza kusema despite ibara gani.Kuna Mgombea binafsi unaweza pia kuingia Bungeni kwa ticket hiyo .
Mkapa kushtakiwa tusimlaumu JK, kwa sababu yeye kama mrithi wa Mkapa hawezi tu kuamka na kusema 'hey Mwema, Hosea mkamate Mkapa mumpeleke mahakamani'!
Lakini tukipata fununu kwamba JK anaingilia harakati za kumtendea haki Mkapa.... hapo tumlaumu na yeye. Kumshtaki ex-president (japo kimsingi hapa anazungumzwa Mkapa kama Mkapa) inahitaji mambo mengi yakiwemo ya kikatiba.
Bungeni ni mahali muafaka kuanza kumtafutia BWM haki zake za kisheria.... tafadhali wabunge wengine jiungeni katika hili.
mnakumbuka ni mbunge gani aliongoza hoja ya kukataa muswada wa TANESCO usijadiliwe kwenye Kamati hadi wapate nafasi ya kusikiliza ripoti ya Richmond na ikawa ndio mwanzo wa domino effect...?
Nina habari nzito kabisa na hapa nashanagaa kama JK anaweza kuachia Chenge ashitakiwe .Dot zinaanzia na radar na mikataba mingine .JK hakosi kwenye mikataba kama IPTL na mingine .Ukimshitaji Chenge means next ni BWM na hapa wataanza kutajana na JK hataruka kiunzi .Hapa watu wameamua kusema kwa uwazi kama Kimaro kwa nguvu fulani hivi lakini JK atawachekesha na kusema kaonyesha uungwana na kuondoka .Hii haitoshi na JK ataimaliza kwa style hii .
Alisema viongozi hao hawaonyeshi mfano mzuri kwa mawaziri wa sasa, wizara hiyo na viongozi wengine waliopo madarakani na akahoji kwa nini hawachukuliwi hatua za kisheria.
``Hawa vijana wataiga mfano gani,`` alihoji Bw. Kimaro.
Wizara ya Nishati na Madini inaongozwa na Waziri William Ngeleja na Naibu wake Bw. Adam Malima ambao ni vijana.
``Malima kule kwake ana gesi, sasa naye aunde kampuni? ``aliendelea kuhoji na kuongeza, ``ifike mahala tuseme sasa inatosha``.
Kimara nimepata nyeti kuna force nzito behind inamsimamia so hakuna madhara.Wana sema sasa ukweli baada ya kumwaga unga.Kimaro endelea hadi JK ajue kwamba hata CCM mnaweza kusema despite ibara gani.Kuna Mgombea binafsi unaweza pia kuingia Bungeni kwa ticket hiyo .
Lunyungu,
Mie nakwambia na leo naomba uniquote,kama ni kweli Kimario kapewa nguvu na watu fulani amseme Mkapa,na kama kweli katumwa na watu kuja kuyasemea haya,na kwa kuwa ametumwa na kina Mamvi ili kuweza kujisafisha,nakuhakikishia hili jambo litakigawa Chama,usidhani Mkapa hana watu wake..Na leo au kesho ataitwa katika kamati ya Maaadili kuhojiwa.nitawapa Feed-back kuhusu hili..
HITIMISHO
1.Kumgusa Mkapa kwanza ni kukigawa Chama,Je CCM wako Tayari kukigawa Chama kwa Kumsafisha MAMVI?
2.Pili hakuna shahidi wowote kwamba Mkapa anahusika katika mambo hayo,Go and find everything in BRELA,the guy was bright and he was bririant inthese Deals.
3Tatu kama Mkapa akiguswa basi hakuna mtu atakayebaki hadi Mkuu wa kaya naye atadondoka tu?He is Ready to be one term president?or kukigawa Chama??hell no..
Mkapa is untouchable,ongeleeni jambo lingine tu..simtetei ila habari ndiyo hiyo.

Lowassa anatumia watu hawa kujisafisha na hii ni moja ya mipango yao,walitaka kumuanika kwa kumgeuka Muungwana ila walishindwa kwa kuwa Mku wa kaya ameweka watu wake na ndugu zake wa karibu kila kina na anajua jinsi ya kuwamaliza watu na rafiki zake ambao ni hatari kwake yeye.
Mkapa alipotoa pale state house aliondoka na alikwenda kutengeneza Extranet yake ambayo ina watu anao waamini sana na huwa inatumika kujua ni kina nani wanataka kuwahujumu.ni mtandao hatari zaidi ya JF and is beeing controlled by senior Experts and they are paid good as you cant imagine.
HITIMISHO
1.Kumgusa Mkapa kwanza ni kukigawa Chama,Je CCM wako Tayari kukigawa Chama kwa Kumsafisha MAMVI?
2.Pili hakuna shahidi wowote kwamba Mkapa anahusika katika mambo hayo,Go and find everything in BRELA,the guy was bright and he was bririant inthese Deals.
3Tatu kama Mkapa akiguswa basi hakuna mtu atakayebaki hadi Mkuu wa kaya naye atadondoka tu?He is Ready to be one term president?or kukigawa Chama??hell no..
Mkapa is untouchable,ongeleeni jambo lingine tu..simtetei ila habari ndiyo hiyo.
Gembe kwa uzito nyeti ambazo zinanifikia nakueleza kwamba nyuma ya Kimaro kuna Sumaye ambaye he still hold grudges agains Mkapa kwa kushindwa kumpa support wakati wa kutafuta Rais .Nakupa kidogo urudi ukajiulize why nimesema haya .Next kwa swala hili baada ya Chenge ni Mwandosya .Radar ya Mkapa ni Mwandosya , Chenge na wengine .Makundi yako na yako tayari kumalizana .Watu hawasemi ila wanatenda na hakuna wa kumgusa Kimaro sasa kwa Taarifa kesha mwaga mboga anangoja wazoe.Spika akimwita kaisha maaba dawa yake iko jikoni .
My foot,Lunyungu i know something important than you know about sumaye and Ben.Trust me,which i cant even dare say right here at this time unless otherwise when i decide.