Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,465
Mimi pia sina mengi ya kuandika mkuu!Lakini niweke angalizo tu.Wakuu nyinyi endeleeni na mchakato wa kumburuza mkapa mahakamani na endeleeni kumshawishi Kikwete ili abadili msimamo wake.Lakini yote hayo yakikamilika basi mjiandae na kusambaratika kwa taifa la tanzania.
......................b/s&^%$%$!^$()@#&(*)$@_)$@)$%^&&*^T&*&^*&&*$#$$$%#$#@$@#@$#
Mkuu Kichuguu,
baadhi yetu hii sentensi hatukuelewa... tafadhari tunaomba ufafanuzi
Je tunahitaji kumshitaki JK na Pinda wake baada ya dakika 90 kwa huu uhuni?! Bado hatujui hatma ya Richmond, Buzwagi, ATCl etc zote hizi zikiwa ni JK creation. Tutahitaji kuwashitakia hawa after their tenure?
Sheria haimzuii kufanya biashara kama mwananchi wa kawaida, lakini inamzuia kupora mali za wananchi akiwa rais, hivi wananchi wengine mnakuwa mmerogwa nini?
MKUU WA MEDANI TUSAIDIE KTK HAYA UNAYOYAHUBIRI HAPA KTK UWANJA WA SHERIA ZAIDI, MAANA NINAONA MSUKUMO WA MHEMUKO WA ROHO TUPU HAPA, TUAMBIENI HAPA JAMVINI, KUWA SHERIA NA... NA ADHABU NI FULANI DHIDI YA MUHUSIKA......, KASHESHE NA GEMBE WAMETHUBUTU KUWA WAKWELI NA KUMWAGA FACT HADHARANI, NIMEJITAHIDI SANA KUWATAKA NINYI NDUGU ZANGU HUMU KUIANGALIA SHERIA ZAIDI NA TUONE ANABANWA NA SHERIA IPI? HAKUNA MAJIBU WALA VIAMBATANISHO HUMU, IKULU NI OFISI NA MAKAZI YA RAIS, KAMA MTUMISHI ANARUHUSIWA KUKOPA BENKI KWA SABABU ZA BIASHARA WHY NOT RAIS AMBAYE NAYE NI MTUMISHI?!!! KWA HIYO MLITAKA YEYE AWATAJIRISHE NINYI TU NA YEYE ATEGEMEE PENSHENI YA URAIS, JE YEYE HANA FAMILIA NA NDUGU?
NAO WAKO ENTITTLED KTK PENSHENI YA RAIS MPAKA KUFA KWAKE? HAYA NI YA KUJIULIZA KIUBINADAMU TU NAYO HAYAHITAJI pHD YA FALSAFA. MLICHOTAKA JAMII IJUE NA KUFANYA VIA IPP MEDIA SASA KINAENDA MWISHO WAKUU, SILAA ANAJUA MCHEZO ANAOUCHEZA DHIDI YA CCM NA SI UCHUNGU WAKE KWA TZ, NDANI YETU WANA CCM TUNAJUA UDHAIFU WETU, VIONGOZI WETU NAO PIA WANAJUA MAPUNGUFU YAO ILA JF NI MAHALA PA KUPUMZISHA HISIA NA KUONGEA KWELI, NASHAURI SANA WAKUU TUNAOWAHESHIMU MSIJIINGIZE KTK HEKAYA ZA ABUNUWASI NA HADITHI ZA ALFU ULELAULELA.
SUBIRINI HUKO BUNGENI JANUARI-FEBRUARI 2009, WENYE MASIKIO NA WASIKIE NA WENYE KUONA WAONE. FEBRUARI 2008 ILIVUNJA BARAZA LA MAWAZIRI NA KUMPOTEZA THE PREMIER EDWARD LOWASA, JE FEBRUARI 2009 INA NINI KWA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA? TUPO TUNASUBIRI KUONA JEURI YA SAMWEL SITTA, KIMARO, ZAMBI, SLAA NA WENGINEO....
MKUU WA MEDANI NAKUSAHIHISHA KUWA TBL ILIUZWA AWAMU YA PILI NA SI YA TATU
-, maana inatia uchungu sana kuona mwizi akitetewa kwa maneno ya kusambaratisha taifa, unajua hayo ni matusi makubwa sana kwetu sisi wananchi, yaani huyu Mkapa ni bora sana kwamba akiguswa tu na sheria alizoapa kuzisimamia akiwa rais, lakini akazivunja kwa makusudi kwa sababu ya tamaa za fisi basi taifa litaangamia never before kusikia wa-Tanzania tukitukanwa namna hii, ninataka kuamini kwamba you guys are damn right, kwamba hataguswa ili kulinusuru taifa!
-
- Hadithi za alfe lela u-lela ni yeye Mkapa kujidanganya kwamba hatafanywa kitu kwa sababu aliwapa urais Mtandao, that was a biggest mistake of his life, wewe rais wa jamhuri unaweza kuwaamini kina NChimbi na Rostam kwamba watakufichia siri zako za ufisadi? Unajua ina-raise hata some serious questions on the thinking capacity level ya Mkapa na kama kweli alikua na uwezo wa kufikiri kwa a presidential level, no wonder yuko kwenye hot water,
Yaani hata kama huyu jamaa alikumaliza kivyakovyako kwa namna yoyote ile huwezi kuandika kitu kama hiki hapa juu watu wasome na wakuelewe! Jf kuna watu wengi sana walimpigia kura, tena mara mbili. Kwa kusema namna hivi unataka ku-disqualify akili za hao waliompigia kura......! duh! Hata siwezi amini kama hapa kuna mtu za aina hii. Hamna. Hamna kitu kizuri hata kimoja unaweza sema kuhusu Mkapa?!!!!!!!!!!
Sasa, hivi wewe ndugu, hizi habari kama hivi hapa chini ukikaa na kuzisoma kwa makini sana bila vurugu vurugu kama unazozifanya hapa kuhusu Mkapa,, unapata picha gani hasa.......? Be fair kabisa kwenye analysis, usiingize unazi wowote.
Dar reduces foreign debts by 25 per cent
DAILY NEWS Reporter
Daily News; Tuesday,December 30, 2008 @21:15
The government succeeded to curtail the countrys total foreign debts by almost 25 per cent over the past three years. A report issued yesterday by the Ministry of Finance and Economic Affairs, said the countrys total debts was reduced from $49,383.9 million down to $7,041.3 million between December 2005 and December last year.
The report attributed the success to the governments relentless and deliberate endeavour to manage its indebtedness and to the recent debt cancellations by the countrys development partners for which Tanzania qualified for being among countries commonly known as Highly Indebted Poor Countries (HIPCs).
Beneficiaries of the debt relief initiative included Africa, Latin America and Asian countries. In December, 2006 highly indebted poor countries whose debts the Group of Eight (G8) countries agreed to cancel by 100 per cent. According to the World Bank, Tanzania alone received 3 billion US Dollars in debt relief.
Following such debt cancellation, the government has now focused the money saved from debt cancellation on improving health, water, road infrastructure and also increasing education spending and eliminating school fees in primary education. The report also revealed that the country has for the past three years witnessed a substantial increase in development partners financial support from 1,712.4bn/- in 2005/2006 financial year to 2,429.5bn/- for this financial year.
The funds, says the government, has had been used for intended purposes, particularly to supporting development projects which are geared to improve welfare of the ordinary people. The report also indicated a conspicuous success in revenue collections by the Tanzania Revenue Authority (TRA), which contributes 90 per cent of internal revenue. The collections have jumped from 1,757.4 bn/-. in 2005 to 3,802.2 bn/- this year.
The increase in revenue collections has exceeded intended target by 116.4 per cent. Meanwhile, the government is in the final preparation to employ 617 new internal auditors and accountants who will be deployed to various parts of the country. The move is intended to grapple with the shortage of accountants and auditors in various government ministries and departments. The report also shows other 937 accountants and auditors have already been employed for the past three years.
Mkuu Kichuguu,
baadhi yetu hii sentensi hatukuelewa... tafadhari tunaomba ufafanuzi
Mkuu Mwanjelwa hapo hakuna ubishi...Mimi binafsi siamini kama kuna siasa safi katika nchi yetu ya Tanzania, Tukianza kumchambua kila mwanasiasa hakuna msafi hata mmoja....lakini mahali tulipofikia ni itabidi tu tuanzie na wale wanaolitia hasara kubwa Taifa kabla ya kushuka chini...hakuna asiyejua kuwa Lowassa na timu yake waalikuwa walafi wakubwa wa mali za wananchi, sasa kama kamanda JK alikuwemo time will tell, lakini hivi sasa macho kwa muheshimiwa Ben.QUOTE=mwanjelwa;349831]kujibu kauli yako: Hivi wewe unadhania finance and support kubwa ambayo Lowassa and company waliyompatia Jk kwenda ikulu ilikuwa bure bure! Tatizo Lowassa ni kumba kumba na mrafi wa ghafla ghafla. Ile bond tungeishangaa after 10 years.
Naona hapa umeorodhesha mambo meengi ambayo mengine yanapingana na hoja yako ya msingi...mengine yalikuwa ni uoza wa mheshimiwa Ben Mkapa mkuu. Again hakuna serikali safi hadi hivi sasa, lakini kwa kuanzia tu tuanze kusafisha yale mambo ambayo obviously yalikuwa ni uoza wa waziwazi...kama JK kahusika, time will tell...nani alijua kama mkuu Ben angekuwa katika wingu la hatia hizi kule 1995?Juzi juzi Jk and company wamekodisha TRC kwa wahindi kwa mkataba fake. Reason kubwa- ni kuwa wataalamu wa reli waliwadanyanga investors kuhusu halisi halisi ikiwemo uhai wa mabehewa/engines na kwahiyo wahindi hawakuandaa fungu la kutosha kwa kuendeleza hayo (very stupid)!. Matokeo yake Pinda kuepusha aibu anawabeba wahindi wazi wazi kwa kisingizio cha kuwasaidia wafanyakazi ambao ni wajibu wa RITES huku waalimu na wanafunzi vyuo vikuu wanaambia hakuna hela!. Je hizi hela za kuwapa wahindi wanazichukua wapi na kwa mpango upi? Je tunahitaji kumshitaki JK na Pinda wake baada ya dakika 90 kwa huu uhuni?! Bado hatujui hatma ya Richmond, Buzwagi, ATCl etc zote hizi zikiwa ni JK creation. Tutahitaji kuwashitakia hawa after their tenure?
Nina imani mkuu mzee Ben amefanya ya maana sana kule Mwanjelwa, naona unampigia kifua cha hali ya juu. Lets be serious a bit....mzee kaharibu we all know that, then lets the law take its course.....wengine watafuatia tu....Kwa hiyo, Kuhusu huyu "Serious man, Ben", wabongo ni Jazba na wivu tu kama kawaida yetu. Sheria zote za TZ zinasema kila mtu hana kosa mpaka apatikane nalo. Sasa hili la kusema Ben kaiba nani katoa hukumu na wapi? Halafu ni nani kasema Mramba na Yona wameisababishia serikali hasara? Hakuna hata mmoja mpaka itakapoamuliwa na mahakama kuwa ni hivyo. Inaweza kula kwa serikali tukala hasara zaidi. Until then, let is shut up and work hard for our prosperity!
[
Mkuu Mwanjelwa hapo hakuna ubishi...Mimi binafsi siamini kama kuna siasa safi katika nchi yetu ya Tanzania, Tukianza kumchambua kila mwanasiasa hakuna msafi hata mmoja....lakini mahali tulipofikia ni itabidi tu tuanzie na wale wanaolitia hasara kubwa Taifa kabla ya kushuka chini...hakuna asiyejua kuwa Lowassa na timu yake waalikuwa walafi wakubwa wa mali za wananchi, sasa kama kamanda JK alikuwemo time will tell, lakini hivi sasa macho kwa muheshimiwa Ben.
Naona hapa umeorodhesha mambo meengi ambayo mengine yanapingana na hoja yako ya msingi...mengine yalikuwa ni uoza wa mheshimiwa Ben Mkapa mkuu. Again hakuna serikali safi hadi hivi sasa, lakini kwa kuanzia tu tuanze kusafisha yale mambo ambayo obviously yalikuwa ni uoza wa waziwazi...kama JK kahusika, time will tell...nani alijua kama mkuu Ben angekuwa katika wingu la hatia hizi kule 1995?
Nina imani mkuu mzee Ben amefanya ya maana sana kule Mwanjelwa, naona unampigia kifua cha hali ya juu. Lets be serious a bit....mzee kaharibu we all know that, then lets the law take its course.....wengine watafuatia tu....
Kwani mkuu Ben ali-own Kiwira kabla ya kufika Magogoni? Kama jibu ni ndio basi itakuwa ni biashara kama ulivyonukuu za mashamba ya marais waliomtangulia aliyoianza kabla ya kuwa Rais wa Jamhuri. Kama jibu ni hapana, na tujiulize ni muda gani muheshimiwa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania alioupata wa kufanya biashara wakati alikuwa na full time job ya kuwa kiongozi wa nchi? Conflict of Interests ndio tutakalolipigia kelele hapo....as long as rada, Kiwira na nyinginezo zilikuwa legal businesses.Kweli bwana... kifungu gani cha sheria kilimzuia kufanya hivyo?
Mh. Ali Hassan Mwinyi alivyokuwa ikulu aliendelea na kuwa na mashamba yake...
Mh. Julius K. Nyerere Marehemu, alikuwa na mashamba yake hata alipokuwa ikulu... swali hizo hazikuwa kazi binafsi kwa kizungu business...
Mpaka sasa muda mwingi tunaongelea ana kinga, hana kinga... lakini anatakiwa ashitakiwe kwa lipi?
Pili; Kwani kesi lazima aipeleke Felesi, Huyo Dr. Slaa si anaweza peleka kesi mahakamani?
Kwa nini tunapenda kuongea sana?