Walimpenda kwa sababu ya pesa na fursa yankuhongwa vyeo tu.Kabla hajafariki hayati JPM tuliona wanaCcm wengi wakiimba wimbo wa kupinga ufisadi, uonevu wa wanyonge na kutaka taifa lenye maadili ambalo kuna kipindi lilionekana kuyumba na kuwa taifa la wapiga madili na wala rushwa...
One monster die another one come. 😅😅Magufuli kama angewahi kulitolea ufafanuzi suala la Mayanga Construction atleast angejiweka mbali na mafisadi, lakini kwa CCM yenu hiyo, mafisadi wanazaliwa wapya kila siku ndio maana mnaitwa ukoo wa panya.
JPM aliposema mtamkumbuka alijitua vita anayopigana, ila wengi kutokana na chuki hatukumuelewa!Huu mkanganyiko wa kauli za hawa viongozi waandamizi wa chama na serikali kuhusu bandari ya Bagamoyo inaonyesha kuna madudu sana ndani ya terms of contract,na hii inatokana na baadhi ya viongozi wachache waliolenga kujinufaisha na mradi huo...
Kwa kumnukuu ndugai "tena pesa karibu yote ya ujenzi wanatoa wao".Two wrongs dont make another wrong thing becomes right. Kuna kitu hakiko sawa. Tunalazimisha sana huu mradi kwa sababu zipi?
Very unfortunate hatuna wanaowazia vizazi vijavyoMagufuli Airport International,nimali ya Watanganyika haidaiwi na chochote, Bandari ya Bagamoyo itakuwa mali ya Nani?kuwa mzalendo, inawezekana leo una nafasi,kumbuka uzao wako.
Na mimi wacha niendelee kuangalia hili movie. Popcorn please!
Kwani hawajaijenga kwa hela zao wenyewe za mafuta!?UAE wangeogopa uwekezaji kama sisi hiyo Dubai port isingekuwepo leo. Na pangekuwa jangwa hadi leo
Wamefanya upanuzi tu miaka ya karibuni. Lkn mwanzo palikuwa jangwa. Wazungu ndiyo walikuja na idea ya kujenga bandari halafu wakaiendesha kwa miaka 30.Kwani hawajaijenga kwa hela zao wenyewe za mafuta!?
Nilichouliza ni kuwa hao Waarabu hawakutumia fedha yao wenyewe kugharamia ujenzi hata kama mzungu ndiye alikuwa mkandarasi!?Wamefanya upanuzi tu miaka ya karibuni. Lkn mwanzo palikuwa jangwa. Wazungu ndiyo walikuja na idea ya kujenga bandari halafu wakaiendesha kwa miaka 30.
mambo ya kucheza kwenye mizeituni sio mambo ya mchezo mchezo. 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Kwa kumnukuu ndugai "tena pesa karibu yote ya ujenzi wanatoa wao".
Haja iko wapi ya kujenga badari upya?
Huyu Mzee ana watu..endeleeni kubisha tuHuyo mzee kachemsha, thanks to Nape kamjibu vizuri tuu kwamba wamefanya mengi tuu ambayo hayakuwa kwenye ilani. Ajifunze kwa wazee wenzake wanaozeeka na misimamo imara kama akina Pius Msekwa, Warioba etc