Mkanganyiko wa kauli ya Mzee Mangula, Rais Samia, Waziri Mwambe na ya Hayati Magufuli inaonyesha Mradi wa Bandari ya Bagamoyo ni ‘White Elephant’

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
8,814
2,000
Magufuli kama angewahi kulitolea ufafanuzi suala la Mayanga Construction atleast angejiweka mbali na mafisadi, lakini kwa CCM yenu hiyo, mafisadi wanazaliwa wapya kila siku ndio maana mnaitwa ukoo wa panya.
 

Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
21,500
2,000
Magufuli kama angewahi kulitolea ufafanuzi suala la Mayanga Construction atleast angejiweka mbali na mafisadi, lakini kwa CCM yenu hiyo, mafisadi wanazaliwa wapya kila siku ndio maana mnaitwa ukoo wa panya.
One monster die another one come. 😅😅
 

maghambo619

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
1,090
2,000
Huu mkanganyiko wa kauli za hawa viongozi waandamizi wa chama na serikali kuhusu bandari ya Bagamoyo inaonyesha kuna madudu sana ndani ya terms of contract,na hii inatokana na baadhi ya viongozi wachache waliolenga kujinufaisha na mradi huo...
JPM aliposema mtamkumbuka alijitua vita anayopigana, ila wengi kutokana na chuki hatukumuelewa!

Apumzike kwa amani
 

maghambo619

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
1,090
2,000
Magufuli Airport International,nimali ya Watanganyika haidaiwi na chochote, Bandari ya Bagamoyo itakuwa mali ya Nani?kuwa mzalendo, inawezekana leo una nafasi,kumbuka uzao wako.
Very unfortunate hatuna wanaowazia vizazi vijavyo
 

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
11,806
2,000
Kwani hawajaijenga kwa hela zao wenyewe za mafuta!?
Wamefanya upanuzi tu miaka ya karibuni. Lkn mwanzo palikuwa jangwa. Wazungu ndiyo walikuja na idea ya kujenga bandari halafu wakaiendesha kwa miaka 30.
 

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
4,899
2,000
Wamefanya upanuzi tu miaka ya karibuni. Lkn mwanzo palikuwa jangwa. Wazungu ndiyo walikuja na idea ya kujenga bandari halafu wakaiendesha kwa miaka 30.
Nilichouliza ni kuwa hao Waarabu hawakutumia fedha yao wenyewe kugharamia ujenzi hata kama mzungu ndiye alikuwa mkandarasi!?
 

Tangawizi

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
4,264
2,000
Huyo mzee kachemsha, thanks to Nape kamjibu vizuri tuu kwamba wamefanya mengi tuu ambayo hayakuwa kwenye ilani. Ajifunze kwa wazee wenzake wanaozeeka na misimamo imara kama akina Pius Msekwa, Warioba etc
Huyu Mzee ana watu..endeleeni kubisha tu
 

koro-boy

JF-Expert Member
Sep 29, 2017
894
1,000
Mradi wa Bagamoyo cab never be a white elephant unless huelewi maana ya hilo neno. Kuna gape kubwa pale bandari ya Dar meli zinakaa muda mrefu sana hazijadock pale port. Fanyeni research kidogo kabla hamjaandika. Solution ni kuwa na bandari mbadala haraka. Sijasema waingie mikataba ya hovyo ila uhitaji wa hiyo bandari upo na utakuwepo kabla fursa hiyo haijachukuliwa na majirani hasa Kenya.
 

koro-boy

JF-Expert Member
Sep 29, 2017
894
1,000
Nimefika Roterdam Netherlads nikaona efficiency ya bandari yao hii, kila baada ya dakika 3 train inaondoka kuelekea Ujerumani na nyingine inaingia toka Ujerumani to katika bandari hii. Sisi kunacheza segere hapa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom