Mkakati wa Kuingiza Nchi Kwenye Machafuko

Wanataka wawaburuze waumini mamilioni kwa mamilioni kwenye masuala ya siasa za kuupinga utawala kwa sababu wao ni wanasiasa wenye kuishi na magubu yao mioyoni!!.

Mfumo wa kiusalama upo kazini hata humu ndani ya makanisa tunamosali kila siku.
What is the best, kuwafikisha kwenye vyombo vya usalama na sheria au kuwavamia na kuwaulia huko porini?
 
Huyu kaingzwa kwenye 'payroll' juzi juzi tu,. Sijui kama kaingia kuchukua nafasi ya Tlaatlaah', maana sijamwona humu siku hizi za karibuni.
Bila shaka alikuwa kwenye mipango ya kumwondosha Fr Dr Kitima. Naona bado anasubiri kupoe kidogo.
Kabisa aisee hata mimi nime notice, Tlaatlaa kapotea kiaina inawezekana anapewa maelekezo ya namna ya kuivuruga JF
 
Ila hizi nchi za Afrika hasa hii yetu vijana wake wana mchango mdogo sana wa mawazo ikiwa namna za kufikiri ni hizi. Kwakua wewe upo upande huo basi huoni Kama ni shida kuona shida mtu akisema wewe in una shida? 😀
Mimi siamini kama inawezekana mtu bado haamini Kama Padri kavamiwa. Sasa Kama kavamiwa.
 
Hilo swali ni heri uwaulize watu wa state security siwezi kulijibu.
Hiyo "state security" kuna sheria inayo waelekeza wafanye mambo yao nje ya sheria katika maswala ya ndani ya nchi?
Halafu kwa unafiki tu unasema "huwezi kujibu", swala ambalo linahitaji common sense tu kulijibu!

"Utawala Bora" unahusu kitu gani; jambo mlilojaribu kuhadaa watu kuwa nyinyi mnafuata utawala bora, kumbe ni ulaghai tu. Sasa kila kitu mlichowahi kusema nyinyi wenyewe, hakuna hata kimoja mnacho kiamini tena; 4R, ni takataka tupu!
 
Jambo hili sio jepesi kulisema lakini hakuna budi lisemwe bila kupindisha maneno. Viongozi wa CHADEMA wanataka vurugu na machafuko yaliyotokea Kenya na maeneo mengine duniani yatokee nchini kwetu kama njia ya kuzuia au kuvuruga uchaguzi.

Baada ya Fr Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu (TEC) kujeruhiwa, jana Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Ndugu Godbless Lema, ameandika kuwataka Maaskofu watoe tamko ili waumini wao wasusie uchaguzi.

Pia, Ndugu Godlisen Malisa ambaye ni mwanachama wa CHADEMA ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram akimtaka Askofu Mkuu wa KKKT atoe tamko. Wafuasi wake wamemshambulia sana Askofu Malasusa kwa kila aina ya matusi bila yeye kuchukua hatua zozote.

Naye Bi. Maria Sarungi, shabiki na mshirika wa karibu wa Tundu Lissu aliyeko nchini Kenya akiratibu na kuhamasisha matukio haya kwa msaada wa mataifa ambayo hayana nia njema na nchi yetu, ameandika kwamba aliyekamatwa na Polisi hausiki!! Amejuaje hausiki? Aliyepigwa yuko hospitalini. Je anamjua aliyempiga? Alimuona na kumtambua usiku saa nne?

Maria anasema aliyekamatwa alikuwa anakula tu Kanteen ya TEC. Sasa mtu akiwa anakula hawezi kuwa mshirika wa tukio? Maria anajuaje mtu huyo hakuwa anakula kama sehemu ya mpango wa kutekeleza uhalifu? Anajuaje hakuwa pale akiwaambia aliopanga nao muda Fr Kitima akinyanyuka wakae tayari kumshambulia?

Hii sio bahati mbaya hata kidogo. Ni mkakati maalumu wa kuchochea vurugu za kisiasa kwa kutumia dini.

Suala la kupigwa na kujeruhiwa kwa Fr Kitima ni muendelezo wa mpango wa makusudi kuigombanisha Serikali na wananchi, haswa wa dini ya kikristo.

Ni lazima watanzania tuwe makini sana. Amani na utulivu wa nchi yetu ni lazima tuvilinde. Niwahakikishie, hapa kinachotafutwa na CHADEMA ni ‘trigger point’ (jambo litakalosababisha chuki isiyomithilika kwa kundi fulani aidha vijana au waumini wa dini) ili kuanzisha vurugu na machafuko kuzuia uchaguzi.

Viongozi wa CHADEMA wanatafuta kila namna nchi yetu ionekane inakiuka haki za binadamu iwekewe vikwazo! Wanawaaminisha wafuasi wao kwamba wanakubalika ila wanaonewa na sasa wanaumizwa!

Hii ndio nia yao! Hakuna namna wataweza kushinda uchaguzi sasa wameamua kutekeleza mkakati huu ovu. Wanachi wenzangu, tusikubali kuingizwa mtegoni. TUSIKUBALI. Tuilinde nchi yetu. Tuelimishane. Tuhimizane upendo na kuthaminiana. Tupingane kwa hoja. Tuhakikishe hakugawanyiki 🙏🏿
Mkoundou wewe
 
Hivi mnajua machafuko yanavyotokea nyie au huwa mnajiwehusha tu kudhani watu wakiandika kwenye mitandao ndio kutokea kwa machafuko?

Tokea lini mtu apange machafuko na aandike mahali ambapo polisi na vyombo vya dola vinaona?

Jambo hili sio jepesi kulisema lakini hakuna budi lisemwe bila kupindisha maneno. Viongozi wa CHADEMA wanataka vurugu na machafuko yaliyotokea Kenya na maeneo mengine duniani yatokee nchini kwetu kama njia ya kuzuia au kuvuruga uchaguzi.
 
Mwandishi wa hii mada je unaijua nchi inaitwa Ivory Coast? Ile nchi ilikuwa na amani ukiingia ni kama upo Switzerland lakini kutokana na ujinga wa watawala walikuja kuchinjana sana. Sasa msifikiri Tanzania is so special, amani haikindwi kiwendawazimu bila kutumia akili sababu kutumia mabavu ni kuahirisha tu machafuko.
 
Hivi mnajua machafuko yanavyotokea nyie au huwa mnajiwehusha tu kudhani watu wakiandika kwenye mitandao ndio kutokea kwa machafuko?

Tokea lini mtu apange machafuko na aandike mahali ambapo pilisi na vyombo vya dola vinaona?
Wehu Hawa
 
Kwa hili suala la utekaji limeanza leo?kwa nini mzee kibao,soka na wengine hamkusema haya.
Kwa kuwa shetani yu karibu kuwaumbua ndo mnatafuta mchawi
 
Jambo hili sio jepesi kulisema lakini hakuna budi lisemwe bila kupindisha maneno. Viongozi wa CHADEMA wanataka vurugu na machafuko yaliyotokea Kenya na maeneo mengine duniani yatokee nchini kwetu kama njia ya kuzuia au kuvuruga uchaguzi.

Baada ya Fr Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu (TEC) kujeruhiwa, jana Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Ndugu Godbless Lema, ameandika kuwataka Maaskofu watoe tamko ili waumini wao wasusie uchaguzi.

Pia, Ndugu Godlisen Malisa ambaye ni mwanachama wa CHADEMA ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram akimtaka Askofu Mkuu wa KKKT atoe tamko. Wafuasi wake wamemshambulia sana Askofu Malasusa kwa kila aina ya matusi bila yeye kuchukua hatua zozote.

Naye Bi. Maria Sarungi, shabiki na mshirika wa karibu wa Tundu Lissu aliyeko nchini Kenya akiratibu na kuhamasisha matukio haya kwa msaada wa mataifa ambayo hayana nia njema na nchi yetu, ameandika kwamba aliyekamatwa na Polisi hausiki!! Amejuaje hausiki? Aliyepigwa yuko hospitalini. Je anamjua aliyempiga? Alimuona na kumtambua usiku saa nne?

Maria anasema aliyekamatwa alikuwa anakula tu Kanteen ya TEC. Sasa mtu akiwa anakula hawezi kuwa mshirika wa tukio? Maria anajuaje mtu huyo hakuwa anakula kama sehemu ya mpango wa kutekeleza uhalifu? Anajuaje hakuwa pale akiwaambia aliopanga nao muda Fr Kitima akinyanyuka wakae tayari kumshambulia?

Hii sio bahati mbaya hata kidogo. Ni mkakati maalumu wa kuchochea vurugu za kisiasa kwa kutumia dini.

Suala la kupigwa na kujeruhiwa kwa Fr Kitima ni muendelezo wa mpango wa makusudi kuigombanisha Serikali na wananchi, haswa wa dini ya kikristo.

Ni lazima watanzania tuwe makini sana. Amani na utulivu wa nchi yetu ni lazima tuvilinde. Niwahakikishie, hapa kinachotafutwa na CHADEMA ni ‘trigger point’ (jambo litakalosababisha chuki isiyomithilika kwa kundi fulani aidha vijana au waumini wa dini) ili kuanzisha vurugu na machafuko kuzuia uchaguzi.

Viongozi wa CHADEMA wanatafuta kila namna nchi yetu ionekane inakiuka haki za binadamu iwekewe vikwazo! Wanawaaminisha wafuasi wao kwamba wanakubalika ila wanaonewa na sasa wanaumizwa!

Hii ndio nia yao! Hakuna namna wataweza kushinda uchaguzi sasa wameamua kutekeleza mkakati huu ovu. Wanachi wenzangu, tusikubali kuingizwa mtegoni. TUSIKUBALI. Tuilinde nchi yetu. Tuelimishane. Tuhimizane upendo na kuthaminiana. Tupingane kwa hoja. Tuhakikishe hakugawanyiki 🙏🏿
Hela za ccm zinaliwa kibwege sana! huyu naye kalipwa
 
We nae fala tu, mwanaume kujiita jina la kike. Idiot.
 
Na wewe kunguni naye ni think tank huko Lumumba?

Maajabu haya!
 
Back
Top Bottom