DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 18,025
- 45,578
mzee mwendazake angekuepo ,sijui ili kama lingepingwa hakika watz niwanafiq hatari
Hii ni nchi sio shamba la ukoo wa huyo mzee wako. Kama alikuwa na uchungu wa kutopingwa sana angenunua eneo kubwa la ardhi akawagawie mjane wake na wanaemzee mwendazake angekuepo ,sijui ili kama lingepingwa hakika watz niwanafiq hatari
Chato itakuwa mkoa hilo halina ubishi!
Braza mpaka unamaliza kusoma hujaelewa kilichoandikwa?Hizo ndizo sababu za hiyo RCC au ni maoni yako mleta uzi?
Kwanini isiwe makao makuu ya mkoa wa Geita?Kama Babati ni makao Makuu ya Mkoa wa Manyara sioni sababu Chato isiwe Mkoa
Sawa ila ijiunde yenyewe bila kumega mikoa mingine. Yaani shida zako wewe unataka uvuruge na majirani??Chato itakuwa mkoa soon, mambo yote yanaenda kama yalivyopangwa!
Ni kuongeza gharama pasipo sababu!Chato itakuwa mkoa soon, mambo yote yanaenda kama yalivyopangwa!
Tatizo liko wapi? Tumejua kwamba RCC ya Kagera wamegoma, na kwamba askofu Bagonza ameunga mkono maamuzi ya RCC ila akaenda mbali kutupa faida ya kuwa na Halmashauri nyingi kuliko wilaya au mikoa. Jamani kuna zaidi ya hapo tena?? Mwisho na mimi nawaunga mkono RCC na baba askofu.Mleta hoja badala ya kuleta yaliyojiri RCC Kagera, kaja na mtazamo wa Askofu. Ingekuwa na uzito sana hoja yake kama ingesema nini RCC ya Kagera imeamua then tusikie nini Askofu Bagonza anashauri/ana-challenge.
Freddie Matuja, ungesoma between the lines ungeelewa haya ni yaliyojiri huko RCC au ni maoni ya mjumbe/mwandishi...Kama Babati ni makao Makuu ya Mkoa wa Manyara sioni sababu Chato isiwe Mkoa
Mleta hoja badala ya kuleta yaliyojiri RCC Kagera, kaja na mtazamo wa Askofu. Ingekuwa na uzito sana hoja yake kama ingesema nini RCC ya Kagera imeamua then tusikie nini Askofu Bagonza anashauri/aana-challenge
Iwe mkoa kwa kumega mikoa mingine?? Noooo nawaunga mkono hao RCC kupinga hilo, na Kigoma nao wanatakiwa wapinge!!Kama Babati ni makao Makuu ya Mkoa wa Manyara sioni sababu Chato isiwe Mkoa
Wana CCM wanathibitisha UNAFIKI wao.Chato haistahili hata kuwa wilaya.
Ndio uone nchi ilivyojaa majitu majinga, mtu anasoma kitu na kurudia bado haelewi, ndio mtaji wa ccm hii category ya watu wa hivi.Tatizo liko wapi? Tumejua kwamba RCC ya Kagera wamegoma, na kwamba askofu Bagonza ameunga mkono maamuzi ya RCC ila akaenda mbali kutupa faida ya kuwa na Halmashauri nyingi kuliko wilaya au mikoa. Jamani kuna zaidi ya hapo tena?? Mwisho na mimi nawaunga mkono RCC na baba askofu.
Tibaijuka ni nani katika nchi hii?Mwanasiasa Mkongwe na Waziri wa zamani wa Ardhi, Profesa Anna Tibaijuka ameendelea kusititiza kuwa Chato haina vigezo vya kupandishwa hadhi kuwa Mkoa kama inavyopigiwa debe na baadhi ya viongozi.
Profesa Tibaijuka ambaye amekuwa na msimamo huo tangu muda mrefu aliongeza kuwa hata hayati Dkt John Magufuli hakuwahi kuzungumzia Chato kuwa Mkoa na kwamba analishwa maneno na baadhi ya watu wenye ajenda zao binafsi.
"Kama Mkoa unaundwa kwa vigezo Chato hakuna vigezo siyo kwa sababu mimi ni mtu wa Muleba lakini kwa sababu pia napafahamu Chato, Kama una vigezo kwanini wanamega Muleba ,kwanini wanamega Biharamulo kumega kwenyewe ndiyo ishara tosha kwamba hakuna vigezo sasa kama vigezo vipo kwanini unamega ? Wewe unataka kuwa Mkoa lakini hauwezi kuwa Mkoa mpaka umege vya wenzako ".
"Mimi nyumbani kwangu Muleba ni kilomita 100 tu kutoka Chato kwa hiyo nazungumza kama Mwenyeji wa maeneo yale nayajua, Sisi katika uhai wake hatukuwahi kumsikia Rais Magufuli akizungumzia Mkoa wa Chato kama ni kupaendeleza Chato kweli alikuwa anapaendeleza lakini mambo ya Mkoa tumekuja kuyasikia kwenye Msiba".
"Kama Wazee wa Mkoa tumetoa maoni , wabunge wa Mkoa wa Kagera nao wametoa maoni yao kwa hiyo tunasubiria Mamlaka, Unajua kusaidia Mamlaka ni lazima upeleke maoni sio unakaa unanung'unika ".
"Mama Samia tumuache kama alivyosema ametuasa kwanza tujenge uchumi ,sasa kuanzisha Mkoa Mpya siyo kujenga uchumi ni kula uchumi"
Awamu ya 6 ni shadow ya awamu ya 4, amka kutoka usingizini.Tibaijuka ni nani katika nchi hii?
Usikariri bwashee hii ni awamu ya 6!
Naunga mkono hoja hiiChato iendelee kuwa kijiji ndani ya tarafa ya buzirayombo.
Haya mawazo ya kichato yatatupeleka pabaya.Baada ya Chato tuelekee Msoga, Butiama na Lupaso kuunda mikoa mingine! Na wao tuwatendee haki! Nimewaza Kiccm.....