Rukwa inahitaji Mkuu wa Mkoa aina ya Mtaka

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,272
2,028
Mh. Rais pole na majukumu tuliyokukabidhi watanzania. Ombi kwako ili wananchi wa Rukwa tupige angalau hatua mbili kimaendeleo ni wakati wako sahihi wa kutubadilishia Mkuu wa Mkoa.

Mkoa wa Rukwa ni moja ya mikoa iliyochelewa kupata maendeleo ukizingatia na umri wake wa miaka 50 tatizo kubwa ni aina ya wakuu wa mikoa wanaiteuliwa. Mkoa wa Rukwa ulipata maendeleo ya muda mfupi ulipokuwa chini ya Hayati Tumain Ile Kiwelu, hakika yule alikuwa kiongozi wa maendeleo na Mungu ampe pumziko.

Tunakuomba Mh. Rais tubadilishie Mkuu wa Mkoa na mkoa wa Rukwa unataka viongozi wafuatiliaji kama Mh. Mtaka RC wa Njombe.
 
Juzi nilikuwa najiuliza hili swali,role ya mkuu wa mkoa au wilaya kwenye kuleta maendeleo ni ipi? Kati ya mkuu wa mkoa na wilaya na wabunge wa eneo husika nani haswa ana jukumu la moja kwa moja la kuleta maendeleo?
 
Bajeti wanakabidhiwa wakurugenzi wa Halmashauri zilizoko kwenye mkoa husika,ambao kimsingi ndo watendaji,so mkuu wa mkoa ni msimamizi na mfatiliaji wa utekelezaji,pamoja na mkuu wa wilaya,ambao hao wako kisiasa zaidi.
 
Kiwelu ndo the best mkuu wa mkoa,kuwahi kutokea kwenye mkoa wa Rukwa,wengine ni wapuuzia tu,mfano huyo mkuu wa wilaya ya Nkasi ni mpumbavu wa kutupwa.

Karibu Kirando Republic.
 
MKUU WA MKOA NDIO ANAPASWA KUHAKIKISHA WAKURUGENZI WANATUMIA FEDHA ZA MAENDELEO IPASAVYO NA MAENDELEO YAONEKANE
 
Kiwelu ndo the best mkuu wa mkoa,kuwahi kutokea kwenye mkoa wa Rukwa,wengine ni wapuuzia tu,mfano huyo mkuu wa wilaya ya Nkasi ni mpumbavu wa kutupwa.

Karibu Kirando Republic.
Naunga mkono hoja. Nitaweka hapa upuuzi alioufanya kijiji cha Kabwe kwenye kampeni za udiwani za ACT WAZALENDO nilipokuwa huko Kwa kazi yangu ya uandishi wa habari za mazingira. Yule sijui Lijuwakali ni among the worst DC kwenye nchi hii.
 
Back
Top Bottom