Mkakati wa Chato kuwa mkoa wapingwa rasmi na RCC ya mkoa wa Kagera

mzee mwendazake angekuepo ,sijui ili kama lingepingwa hakika watz niwanafiq hatari
Hii ni nchi sio shamba la ukoo wa huyo mzee wako. Kama alikuwa na uchungu wa kutopingwa sana angenunua eneo kubwa la ardhi akawagawie mjane wake na wanae
 
Mleta hoja badala ya kuleta yaliyojiri RCC Kagera, kaja na mtazamo wa Askofu. Ingekuwa na uzito sana hoja yake kama ingesema nini RCC ya Kagera imeamua then tusikie nini Askofu Bagonza anashauri/ana-challenge.
Tatizo liko wapi? Tumejua kwamba RCC ya Kagera wamegoma, na kwamba askofu Bagonza ameunga mkono maamuzi ya RCC ila akaenda mbali kutupa faida ya kuwa na Halmashauri nyingi kuliko wilaya au mikoa. Jamani kuna zaidi ya hapo tena?? Mwisho na mimi nawaunga mkono RCC na baba askofu.
 
Kama Babati ni makao Makuu ya Mkoa wa Manyara sioni sababu Chato isiwe Mkoa
Mleta hoja badala ya kuleta yaliyojiri RCC Kagera, kaja na mtazamo wa Askofu. Ingekuwa na uzito sana hoja yake kama ingesema nini RCC ya Kagera imeamua then tusikie nini Askofu Bagonza anashauri/aana-challenge
Freddie Matuja, ungesoma between the lines ungeelewa haya ni yaliyojiri huko RCC au ni maoni ya mjumbe/mwandishi...

Kwa kukusaidia angalia jinsi makala ilivyoanza kwa maneno haya "Na mwandishi Bishop Bagonza..."

Na kimantiki, possibly Askofu Bagonza ni mjumbe wa RCC na haya aliyoandika ni maoni yake lakini msingi wake ukiwa ni maazimio ya kikao cha RCC...

Said Stuard Shily, hata ikiwa mkoa ni ili iweje kwani? Itawasaidia nini hao wana Chato? Kwa sababu tu eneo lao litakuwa na jina la "mkoa wa Chato?"

Ukimsoma vizuri Askofu Bagonza utakubaliana naye ishu siyo kugawa nchi ktk mikoa bali ungependeza sana kukawa na mamlaka za serikali za mitaa [miji, wilaya, manispaa na majiji mengi] kwa sababu hizo ndizo zinazoshughulika na maisha ya kila siku kwa kutoa huduma za kijamii..

Hebu tujiulize, ni nini hasa kazi ya ma DCs na ma RCs...?

Honestly, hawana kazi yoyote na ni vyeo visivyo na maana wala umuhimu wowote....!!
 
Chato haistahili hata kuwa wilaya.
Wana CCM wanathibitisha UNAFIKI wao.

Yule Bwana angekuwapo leo, tusingewfanikiwa hawa watu na hii agenda yao ya leo. CCM ni kitovu cha UNAFIKI..... Wanaendelea kututhibitishia kila siku.
 
Tatizo liko wapi? Tumejua kwamba RCC ya Kagera wamegoma, na kwamba askofu Bagonza ameunga mkono maamuzi ya RCC ila akaenda mbali kutupa faida ya kuwa na Halmashauri nyingi kuliko wilaya au mikoa. Jamani kuna zaidi ya hapo tena?? Mwisho na mimi nawaunga mkono RCC na baba askofu.
Ndio uone nchi ilivyojaa majitu majinga, mtu anasoma kitu na kurudia bado haelewi, ndio mtaji wa ccm hii category ya watu wa hivi.
 
Mwanasiasa Mkongwe na Waziri wa zamani wa Ardhi, Profesa Anna Tibaijuka ameendelea kusititiza kuwa Chato haina vigezo vya kupandishwa hadhi kuwa Mkoa kama inavyopigiwa debe na baadhi ya viongozi.

Profesa Tibaijuka ambaye amekuwa na msimamo huo tangu muda mrefu aliongeza kuwa hata hayati Dkt John Magufuli hakuwahi kuzungumzia Chato kuwa Mkoa na kwamba analishwa maneno na baadhi ya watu wenye ajenda zao binafsi.

"Kama Mkoa unaundwa kwa vigezo Chato hakuna vigezo siyo kwa sababu mimi ni mtu wa Muleba lakini kwa sababu pia napafahamu Chato, Kama una vigezo kwanini wanamega Muleba ,kwanini wanamega Biharamulo kumega kwenyewe ndiyo ishara tosha kwamba hakuna vigezo sasa kama vigezo vipo kwanini unamega ? Wewe unataka kuwa Mkoa lakini hauwezi kuwa Mkoa mpaka umege vya wenzako ".

"Mimi nyumbani kwangu Muleba ni kilomita 100 tu kutoka Chato kwa hiyo nazungumza kama Mwenyeji wa maeneo yale nayajua, Sisi katika uhai wake hatukuwahi kumsikia Rais Magufuli akizungumzia Mkoa wa Chato kama ni kupaendeleza Chato kweli alikuwa anapaendeleza lakini mambo ya Mkoa tumekuja kuyasikia kwenye Msiba".

"Kama Wazee wa Mkoa tumetoa maoni , wabunge wa Mkoa wa Kagera nao wametoa maoni yao kwa hiyo tunasubiria Mamlaka, Unajua kusaidia Mamlaka ni lazima upeleke maoni sio unakaa unanung'unika ".

"Mama Samia tumuache kama alivyosema ametuasa kwanza tujenge uchumi ,sasa kuanzisha Mkoa Mpya siyo kujenga uchumi ni kula uchumi"
 
Tibaijuka ni nani katika nchi hii?

Usikariri bwashee hii ni awamu ya 6!
 
Tibaijuka ni nani katika nchi hii?

Usikariri bwashee hii ni awamu ya 6!
Awamu ya 6 ni shadow ya awamu ya 4, amka kutoka usingizini.

Profesa Tibaijuka ndio source ya mradi wa DMDP wa world bank ndio unaona mitaa mingi ya Dar imewekwa lami, jinga moja likataka kuaminisha wajinga wenzanke kwamba ni yeye ndio amefanya.
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom