mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,310
- 6,546
Huyu ndiye aliyeamua kujiuzulu kashfa ya Richmond ili kumponya jamaa yake asiumbuke. Hata hivyo jamaa yake akawatuma vijana wake akina Nape wamuite Gamba mbele za watu bila kujali kuwa alijitoa muhanga kwa ajili yake.
Ndio maana Profesa Mwongo kakomaa hataki kujiuzulu kwani anajua ukijitoa muhanga huku unamsaidia mkulu yeye analeta uswahili anakutosa.
Hii CCM hii! We acha tuu. Ni kama kundi la mazimwi