Vip bado upo Ukawa unatumia dodoki kumsafisha Lowasa au umeshatoka..?Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Vip bado upo Ukawa unatumia dodoki kumsafisha Lowasa au umeshatoka..?Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
LOWASSA NI NGUMU KUINGIA UKAWA KAMA ILIVYO KWA NGAMIA KUPENYA KTK TUNDU LA SINDANO"lowasa for presidential 2015"via CCM
Hayajitambui kabisa mkuu.....haya maviumbe hai akili vichwa vyao vimelindwa na kinyesi km panziHuwa nafurahi sana kuupitia huu uzi
Makamanda yakitiririka ya moyoni kabisa
Lakini yalivyobadilika ha ha ha
Waliosema manyumbu ni sawa kabisa
ulikuwa unauwakika kile ulichopiga domoLowassa hajawahi kuisaliti CCM na hatokuja kuisaliti milele.
mkuu.Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
wewe ulinena.Lowassa hajawahi kuisaliti CCM na hatokuja kuisaliti milele.
Yametimia.Viongozi wakisema mtafuata.
Dah,ama kweli hujafa hujaumbikaLowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Tunakuja.UKAWA waje hapa wakanushe hii taarifa...
Umeishi maneno yako ama ulizuga tu?Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
MabadilikooooooooUkawa wakimpokea lowassa ntaipigia kura ccm
Mkuu kumbe ulikuwa unaona mbali aisee!!LOWASSA hawezi bila CCM, Acheni kujidanganya!
Muwe mnaweka maneno ya akiba angalia sasa unakula matapishi yako.Wewe unachokifanya hapa ni kuwa blackmail ccm wampitishe LOWASA tu na wala huna lolote. Lowasa hakubaliki UKAWA. Na kwa uroho wake wa madaraka alionao, si ajabu kweli jamaa likahamia chama kingine ili ligombee uraisi. Huu ni wehu.
UKAWA WAKIMSIMAMISHA LOWASA, SISI HATUWAPI KURA. Hatuwezi kupoteza muda wa kupigia kura fisadi lilokubuhu eti kwa kuwa kuna wajinga kadhaa wanalipigia kampeni.
Ninaimani kwa usafi na umakini wa UKAWA, hawawezi kufanya kosa kubwa kama hilo. UKAWA kumsimamisha fisadi lowasa ni kuwasaliti na kuwatukana Watanzania nchi nzima waliosimama macho yao yakiwa UKAWA huku wakiwa wamefungamanisha mikono yao pamoja!.
Na wewe mleta mada usirudie kuwaelekezea UKAWA mifereji ya maji machafu!. Hayo yamalizeni huko huko ccm.
Hahahahahahah!!! Kwa sasa hivi Lowassa kaacha wizi?UKAWA ya wapi,hatutaki majizi sisi
Wakuu baada ya uchaguzi kupita naona tunarudi ktk huu uzi tukiwa "sober" nasema aliyeleta hii taarifa alikuwa zaidi ya mtabiri, alikuwa informer! Na ninashangaa wanaChadema ambao walishindwa kusimamia misingi na matamko yao. Wakakubali kupelekeshwa na Mbowe na kuzungusha mikono.