THINKINGBEING
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 2,779
- 1,304
100%![]()
![]()
![]()
![]()
Hapo kwenye Trump toa weka Lowassa.
100%![]()
![]()
![]()
![]()
Hapo kwenye Trump toa weka Lowassa.
WanaCHADEMA tuliobakia na msimamo ni wachache sana.Waliowengi wamelamba matapishi.Kwa sasa wanaburuzwa tu na akili za ULIPO TUPO.
"Lisemwalo lipo"Japo ambalo si la siri kwamba kambi zote za wagombea uraisi CCM zinamuogopa sana Lowassa, hivyo kuna kila aina ya jitihada ya kuhakikisha jina la Lowassa halipitishwi kugombea nafasi ya uraisi.
Huku wapinzani wakijipanga kukata jina lake lakini Lowassa yeye anaendelea na mikakati yake ikiwa ni pamoja na kugawa fedha kama njugu kwani anaamini yeye ni raisi wa Tanzania 2015-2025 "PIGA UA"
Lowassa anatishia kukiua chama (CCM) endapo hata pitishwa kugombea uraisi.
Wakati huo huo, endapo jina la Lowassa halitapitishwa CCM wanyetishaji wetu wanasema mkakati wa Lowassa kugombea kupitia UKAWA kwakuwa tayari ana mtaji wa wanaCCM wengi hivyo ni rahisi kwake kushinda nafasi ya uraisi.
Inasemekana kuwa tayari Lowassa ameshaanza mazungumzo ya chini chini na viongozi wa UKAWA lakini bado hawajafikia makubaliano rasmi.
Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)
LOWASSA NI NGUMU KUINGIA UKAWA KAMA ILIVYO KWA NGAMIA KUPENYA KTK TUNDU LA SINDANO"lowasa for presidential 2015"via CCM
Huyu ni mwiz tu
Mtu anayeshindwa kuitetea ccm japo Arusha Tu hatumtaki.
Mkuu bado upo JF? Nipe maoni yako kwa sasahatutaki viongozi waliowahi kuliingizia taifa hasara ndo waje huku never on earth, labda awe mwanachama wa kawaida tu na sio kugombea nafasi yoyote ya uongozi vinginevyo arudi huko huko kwa chama chake cha mashetani
Lowassa hajawahi kuisaliti CCM na hatokuja kuisaliti milele.
Mkuu, salama? Kitambo sana, nimeona nikusalimie. Kuna mtu kalitibuahatutaki viongozi waliowahi kuliingizia taifa hasara ndo waje huku never on earth, labda awe mwanachama wa kawaida tu na sio kugombea nafasi yoyote ya uongozi vinginevyo arudi huko huko kwa chama chake cha mashetani
Unataka Ricmond namba 2 iibukiwe UKAWA?
Tena akome anajua jasho la wananchi wanaopigania UKAWA abaki na mazimwi wenzie CCM
Viongozi wakisema mtafuata.
ana nini cha zaidi? hatutaki majizi huku. alifukuzwa kwa escro no1 epa leo anaendelea kugawa hela ili awe rais.mwe nafuuu kuwa bila na kiongozi
Hahahahahahaaaa! Lowassa hana ubavu wa kubaki CCM kama atatoswa kwenye kuwania Urais. Kwa sababu anajua hawezi tena kusubiri miaka kumi ijayo kama alivyokubali kumsubiri Kikwete hadi atakapomaliza ungwe yake. Akitoshwa Urais atatoka tu CCM, na kuna kila dalili kuwa CCM hawatampa nafasi ya kuwania Urais mwakani.
Ova
Ni ww kweli?Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Haiwezekani maana hana sifa za upinzani.hatutaki UKAWA iwe tawi la ccm
ukawa hawawezi mkaribisha mwizi! wezi wenzie wamshindwe sa ukawa itakuaje???
Mwizi ni mwizi tu.