Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .

ERYTHRO bado uko ukawa sasa naona unarudia matapishi yako ,EDO kaingia ukawa sio tu kaivuruga bali pia kamfanya KIPENZI chako SLAA,kumuachia nyumba aliyoijenga kwa jasho na damu kwa muda wa mrefu NI aibu ERYTHRO kuendelea kubaki huko
 
Uzuri JF imeweka record na wanajamvi wanaumbuka. Basi wanakuwa wakali hao kama vile kisa kuwakumbusha walichokisema!
 
Id nyingi sana zilikua zinampinga lakini leo ndizo zinazomtetea.

Kwa hali hii pesaa ni hatari sana unaweza kubadili giza kua mwanga

Humu jf nimegundua Id ambazo ni kongwe nyingi hazimtetei ila kuna baadhi zinamtetea kwa maslahi yao zilizojaa mpya tu

Vijana nendeni field sio kwenye mitandao hapa ni kakikundi kadogo sana ka watu

Hii ndo siasa za tz na watz ni unafiki na ushabiki tu mwanzo mwisho

Jf ni kiboko inaumbua watu!!!!!!!!
 
Wewe ni pompoma uliotukuka tena mbaffu zako ulisema nini? Na leo unafanya nini kama sio kumkampenia huyo

Hujielewi Erythrocyte
people need changes from other political party to show their rage to the ruling party...they need transformation of government system via anybody from very power political party and this time is UKAWA.They don't look whether the man stand for president is good enough or not.
 
Last edited by a moderator:
UKAWA njooni mjipime wenyewe.

Hawaji huku wameshachanganyikiwa sasa wameishiwa hoja wamebaki tu na kelele za kitoto eti hata akisema fisadi tutamchagua. Akili zimewaruka kwa frustration. Ndiyo tatizo la kupelekeshwa na mahaba
 
ERYTHRO bado uko ukawa sasa naona unarudia matapishi yako ,EDO kaingia ukawa sio tu kaivuruga bali pia kamfanya KIPENZI chako SLAA,kumuachia nyumba aliyoijenga kwa jasho na damu kwa muda wa mrefu NI aibu ERYTHRO kuendelea kubaki huko

niko UKAWA na nitaendelea kuwa chadema , ukiangalia kwenye uzi huu page za nyuma kidogo nimefafanua kuhusu jambo hili , nimeulizwa na zaidi ya watu 20 mmojawao ni pasco , na nina mpango kufanya mkutano serena hotel kulifafanua hili tu , hatutafukua makaburi .
 
Wewe ni pompoma uliotukuka tena mbaffu zako ulisema nini? Na leo unafanya nini kama sio kumkampenia huyo

Hujielewi Erythrocyte
hakuna haja ya kutoka povu kubwa kiasi hiki , kuna kitu fulani hukijui , uliza kwanza .
 
Last edited by a moderator:
niko UKAWA na nitaendelea kuwa chadema , ukiangalia kwenye uzi huu page za nyuma kidogo nimefafanua kuhusu jambo hili , nimeulizwa na zaidi ya watu 20 mmojawao ni pasco , na nina mpango kufanya mkutano serena hotel kulifafanua hili tu , hatutafukua makaburi .

Sawa bana naona inzi atafia kwenye kidonda
 
niko UKAWA na nitaendelea kuwa chadema , ukiangalia kwenye uzi huu page za nyuma kidogo nimefafanua kuhusu jambo hili , nimeulizwa na zaidi ya watu 20 mmojawao ni pasco , na nina mpango kufanya mkutano serena hotel kulifafanua hili tu , hatutafukua makaburi .

Ni busara kuweka akiba ya maneno mkuu.na pia kua ña uhakika kamili juu ya UNACHOAMINI ña WANAOKUONGOZA.wengi mliona viongoz wenu ni watu thabiti sana kuruhusu haya yatokee kiasi hata MKAJIAPIZA kumbe mliowaamini walishapiga biashara kitambo!!USIMUAPIE MWANASIASA!
 
Na kweli mwenyekiti wao kasema na sasa malofa wote wamekuwa manyumbu ,aisee we una akili uliyosema ndio yametokea

Haha mkuu usiwe mkali sana. Kufuata mkumbo ni ishara ya kutojiamini ila naona watu wanazidi kuzinduka!
 
Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Vipi alikupa rushwa kiasi gani?kwa sasa bavicha ndiyo watetezi na dodoki la kumsafisha.Na upumbavu na ulofa kawamwagia.Mnafiki mkubwa weeeee!
 
Hayo magazeti yanakuza mambo bila sababu. Ukawa ya nini wakati anao mwaliko kutoka kwa Ayat.olah kujiunga na kupewa nafasi ya kugombea cheo anachokipenda kuliko ampendavyo mkewe?
Wasitusumbue na maugomvi yao wakati sie tunamachungu na ripoti ya CAG
Te te te...kwa sasa upo tayari hata kunywa mkojo wa Lowasa...ha ha siku zinaenda kasi sana.Mnafiki.
 
Back
Top Bottom