Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Mkuu upo? Hebu tupe taarifa zaidi .. hivi Dr Slaa pia alihusishwa?
Tumeshapimwa na tunampa kura zetu...
Mwaka huu utajua zombie ni nani?
LOWASSA hawezi bila CCM, Acheni kujidanganya!
Mkuu hawa BAVICHA wengi ni walevi wa mirungi! Lowassa sio mjinga kama wanavyodhani!
Japo ambalo si la siri kwamba kambi zote za wagombea uraisi CCM zinamuogopa sana Lowassa, hivyo kuna kila aina ya jitihada ya kuhakikisha jina la Lowassa halipitishwi kugombea nafasi ya uraisi.
Huku wapinzani wakijipanga kukata jina lake lakini Lowassa yeye anaendelea na mikakati yake ikiwa ni pamoja na kugawa fedha kama njugu kwani anaamini yeye ni raisi wa Tanzania 2015-2025 "PIGA UA"
Lowassa anatishia kukiua chama (CCM) endapo hata pitishwa kugombea uraisi.
Wakati huo huo, endapo jina la Lowassa halitapitishwa CCM wanyetishaji wetu wanasema mkakati wa Lowassa kugombea kupitia UKAWA kwakuwa tayari ana mtaji wa wanaCCM wengi hivyo ni rahisi kwake kushinda nafasi ya uraisi.
Inasemekana kuwa tayari Lowassa ameshaanza mazungumzo ya chini chini na viongozi wa UKAWA lakini bado hawajafikia makubaliano rasmi.
Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)
"Ni dk Willibroad Slaa ndiye aliyewasiliana na Josephat Gwajima kuhusu Lowassa kuja chadema.Ni dk Willibrod Slaa ndiye aliyemwambia mwenyekiti kuwa lowassa akikatwa tumchukue kwakuwa ana mtaji wa wapiga kura'.Tundu Antipas LissuSwali mazungumzk ya chini kwa chini yalikuwa yanafanyika baina ya nani na nani...jibu lake jwa tunaojua limetushua.
LOWASSA NI NGUMU KUINGIA UKAWA KAMA ILIVYO KWA NGAMIA KUPENYA KTK TUNDU LA SINDANO"lowasa for presidential 2015"via CCM
Lowassa hajawahi kuisaliti CCM na hatokuja kuisaliti milele.
Lowassa hajawahi kuisaliti CCM na hatokuja kuisaliti milele.
"Ni dk Willibroad Slaa ndiye aliyewasiliana na Josephat Gwajima kuhusu Lowassa kuja chadema.Ni dk Willibrod Slaa ndiye aliyemwambia mwenyekiti kuwa lowassa akikatwa tumchukue kwakuwa ana mtaji wa wapiga kura'.Tundu Antipas Lissu
LOWASSA NI NGUMU KUINGIA UKAWA KAMA ILIVYO KWA NGAMIA KUPENYA KTK TUNDU LA SINDANO"lowasa for presidential 2015"via CCM
rugemaa maneno yako hukuweka expire date nadhani..kapige mswaki kaka maana inaonekana ulikuwa usingizi..
unadhani ukawa ni kwepesi kivile?..
akijiloga akaingia tu ataambiwa akagombee udiwani ili wampime imani km kweli ni kamanda
Wezi wabakie huko huko kwenu ccm...ukawa tuko kamili
Hii sikuionaPiga ua Rais Ajaye Wa Tanzania Ni Kati Ya Watu Hawa :
1. Sospeter Muhongo.....15%
2.Stephen Wassira.....20%
3. Jaji Augustino Ramadhani.....5%
4. John Magufuli.........60%
Makamu Wa Rais Iwe Isiwe Amepangwa Kuwa Mzee Samuel Sitta
NB. Endapo Hii Itabadilika Basi Mjue 100% UKAWA Wanashika Hatamu Na Padre Wangu Wilbroad Slaa Kuwa Rais Wangu Mpya.
Yani huyo Lowasa yeye ni spacial kiasigani, hata atoke ccm asubuhi, jioni aingie Ukawa nakupewa nafasi ya juu kiasihicho!!.