Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 12,984
- 11,794
Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Nakuunga mkono.
Huyu mzee hatufai kabisa.
Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
[/QUOTE]
Tumeamua kuungana na maamuzi ya viongozi wetu wa UKAWA kumsapoti Lowasa kama mgombea uraisi kwetu ambalo tuliona haliwezekeni sasa limewezekana kumbe kwenye siasa hakuna urafiki wala uadui wa kudumu lakini bado lengo ni kuitoa ccm madarakani naamini tutafanikiwa huo ndo msimamo wangu
Mkuu Mzee Mwanakijiji, nakubaliana na wewe, hata mimi ningependa kuwasikia, kwanza waliosema hili haliezekani, baada ya kuwezekana leo wanasemaje?!. Kuna waliosema hili likitokea watahama, limetokea lakini hadi leo hawajahama, jee bado wanasubiri nini?!, ila pia kuna waliosusa na kuamua kujinyamazia kimya, tungependa kuwasikia leo wanasimama wapi?!.
Pasco
kapige mswaki kaka maana inaonekana ulikuwa usingizi..
unadhani ukawa ni kwepesi kivile?..
akijiloga akaingia tu ataambiwa akagombee udiwani ili wampime imani km kweli ni kamanda
Kamanda utakoma wewe.Tena akome anajua jasho la wananchi wanaopigania UKAWA abaki na mazimwi wenzie CCM
Kamanda hapa ulikuwa unaongea kama nani?Mtoa mada umeongelea Lowassa 'kugawa pesa kama njugu' ili awe rais. Nakukumbusha kuwa UKAWA haihitaji mgombea mwenye sifa kama hiyo! Na siyo mgombea tu, bali haihitaji hata mwanachama wa kawaida tu kuwa na hiyo sifa ya kutoa rushwa.
Mbona unamvunjia heshima mgombea wetu wa Chadema.Lowasa amechoka kisura mpaka afya hawezi kukimbia kama JK anaweza kufia njiani
Kamanda naona unampa za uso fisadi.
Teh teh teh
Kamanda utakoma wewe.
Teh teh teh
ukawa waje hapa wakanushe hii taarifa...
LOWASSA NI NGUMU KUINGIA UKAWA KAMA ILIVYO KWA NGAMIA KUPENYA KTK TUNDU LA SINDANO"lowasa for presidential 2015"via CCM
Umeshatoka?!Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Na waongo hawahawa ndio wanataka kura zetu ziwapeleke Ikulu?!Siku zote kweli inauma hasa kwa muongo!!.
Japo ambalo si la siri kwamba kambi zote za wagombea uraisi CCM zinamuogopa sana Lowassa, hivyo kuna kila aina ya jitihada ya kuhakikisha jina la Lowassa halipitishwi kugombea nafasi ya uraisi.
Huku wapinzani wakijipanga kukata jina lake lakini Lowassa yeye anaendelea na mikakati yake ikiwa ni pamoja na kugawa fedha kama njugu kwani anaamini yeye ni raisi wa Tanzania 2015-2025 "PIGA UA"
Lowassa anatishia kukiua chama (CCM) endapo hata pitishwa kugombea uraisi.
Wakati huo huo, endapo jina la Lowassa halitapitisBhwa CCM wanyetishaji wetu wanasema mkakati wa Lowassa kugombea kupitia UKAWA kwakuwa tayari ana mtaji wa wanaCCM wengi hivyo ni rahisi kwake kushinda nafasi ya uraisi.
Inasemekana kuwa tayari Lowassa ameshaanza mazungumzo ya chini chini na viongozi wa UKAWA lakini bado hawajafikia makubaliano rasmi.
Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)
Wewe Mbowe akikijua utajuta.ukiona mtu anamsifu mtu mchafu kama Lowassa ujue yeye ni mchafu zaidi raisi ajaye chaguo la watanzania ni DR Slaa pekee yake hana skendo za wizi kama ccm