Mbona unamvunjia heshima mgombea wetu wa Chadema.
Kamanda kwa hiyo utampigia kura yako Dr.Magufuli???Ukawa wakimpokea lowassa ntaipigia kura ccm
Akiba ya maneno muhimu sana daah!!Utadhani ulikuwa kichwani mwangu Mkuu, hakuna sababu yoyote ya huyu fisadi kukaribishwa UKAWA.
Umekiri mwenyewe Lowassa ni jizi?UKAWA ya wapi,hatutaki majizi sisi
Makamanda mpo lakini kamanda huyu hapa katoa kiapo kisomeni.kukwagua gwaride hataweza .Lowasa akishinda uraisi ntatembea uchi dar-moro
Akiba ya maneno muhimu sana daah!!
Umekiri mwenyewe Lowassa ni jizi?
Umeshatoka?!
ufafanuzi umetolewa .
Lowasa hapendwi na wafuasi wa Vyama vya upinzani isipokua alipewa nafasi hiyo kwa kuinunua kwa baadhi ya viongozi wa ukawa ambao wanatamaa ya pesa.
Kila mtu anajua kua huyu bwana ameinunua nafasi hii kwa ukawa ndio maaana watu wenye akili zao timamu wameamua kujiengua kwenye mchakato huo wa kumpa support fisadi huyo na kuwaachia mzigo wao huo usiobebeka.Inashangaza kuona CCM inawafukuza mafisadi hao na kuwafuta uanachama ila ukawa wamekua wakiwapokea na kuwapa nafasi za juu kwenye umoja wao unaoundaukawa sasa wakipewa nchi si itakua hatari sana,hivi umeshawasikia tangu wampokee fisadi huyo wakiongelea masuala tena ya ufisadi? wanaona aibu maana ukitaja mafisadi katika nchi hii huwezi acha kumtaja nguli wa mafisadi Tanzania ambaye ni lowasa,unafikiri watanzania ni wajinga kwamba hawaoni usanii huu unaofanywa na baadhi ya viongozi wa juu wa ukawa?.
Vijana wenzangu nawasihi tumuogope sana huyu adui wa maendeleo ya nchi yetu maana vijana dio tutakaoumia tukishikamana kwa pamoja tutaikomboa nchi yetu TANZANIA.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU IBARIKI CCM
MUNGU MBARIKI DR. JOHN POMBE MAGUFULI
#HAPAKAZITU
CCM inanuka kama kinyesi ni Sawa lkn Lowassa ni kama manukato?
Jiandaeni kazi inaanza Leo ndo hapo mtakapojua watanzania hawadanganyiki kwa kununuliwa
Mkuu nakubaliana nawe ccm inanuka, je alisema kuwa anaemuunga mkono edo akipimwe akili akikuwa ana maana na wewe umo?? Huyo ni mnyika...
Wakati mwingine msitake kutufanya hatuna ufahamu
Edo ni mwizi, fisadi, na kila aina ya ubaya,... sasa mbona hamsemi mkapimwe akili??
Ndiyo maana dr na profesor wamejiweka kando, waliobaki wote ni kama ma..zo..mb
Japo ambalo si la siri kwamba kambi zote za wagombea uraisi CCM zinamuogopa sana Lowassa, hivyo kuna kila aina ya jitihada ya kuhakikisha jina la Lowassa halipitishwi kugombea nafasi ya uraisi.
Huku wapinzani wakijipanga kukata jina lake lakini Lowassa yeye anaendelea na mikakati yake ikiwa ni pamoja na kugawa fedha kama njugu kwani anaamini yeye ni raisi wa Tanzania 2015-2025 "PIGA UA"
Lowassa anatishia kukiua chama (CCM) endapo hata pitishwa kugombea uraisi.
Wakati huo huo, endapo jina la Lowassa halitapitishwa CCM wanyetishaji wetu wanasema mkakati wa Lowassa kugombea kupitia UKAWA kwakuwa tayari ana mtaji wa wanaCCM wengi hivyo ni rahisi kwake kushinda nafasi ya uraisi.
Inasemekana kuwa tayari Lowassa ameshaanza mazungumzo ya chini chini na viongozi wa UKAWA lakini bado hawajafikia makubaliano rasmi.
Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)